minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Kujikomba kwa china ni umalaya huoMalaya pekee hupenda rafiki wa kiuchumi,sie Tanzania sio Malaya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujikomba kwa china ni umalaya huoMalaya pekee hupenda rafiki wa kiuchumi,sie Tanzania sio Malaya!
Hii Habari ni uongo mtupu. Ni propaganda za gazeti la East African la Kenya kuichafua Tanzania na sijui wanafanya kwa maslahi ya Nani au ni Nani amewatuma
Nadhani CCM wana jukumu la kutengua uongozi uliopo Marekani
trade embargo
Nakubali kwamba Magufuli nchi imemshinda, ila sielewi huu 'Wema' wa wazungu kwetu umeanza lini!!
Nijuavyo, wazungu wana permanent interest, hawanaga rafiki wala adui wa kudumu. ******** hata angeua mashoga kwa risasi hadharani, au kumkatakata lissu kama kashoggi, kama asingegusa maslahi ya wazungu ( issue kama acacia, ku ally na China, ku temper na program zao za ukimwi nk) wasinge mgusa wala kutoa tamko lolote. Kuna mahala ******** kagusa maslahi yao, na huwezi kubaki salama ukigusa maslahi yao. ******** aamue kusuka au kunyoa
Utakula nyasi weweTuna akiba ya fedha ya kutosha.Mabeberu hawatubabaishi.#Tupo vzouri.
Hahahahááaàaa!!!Mtoeni SASA mnachosubiri ni kipi hapo?? Nchi imeshatumbukizwa kwenye korongo na huyu ndoroboo!
Hata hayo mapiramid ya kihistoria inasemekana yalijengwa na Waisraeli wakati wakiwa utumwani huko Misri.Waisraeli ndio wataalam hawa waarabu Aswan dam yao walijengewa na warusi.
Ndio maanaka..angalia walivyoijenga USA..Hata hayo mapiramid ya kihistoria inasemekana yalijengwa na Waisraeli wakati wakiwa utumwani huko Misri.
Wewe Soma vizuri utaelewa chanzo/sourceMaongezi ya kina! Anayeweza kukupa taarifa kama hizo ni mtu wa ngazi za juu za serikali. Lakini nikiangalia unavyoandika sioni kama wewe uko kiwango cha kuweza kuzungumza na mtu wa kiwango hicho. UKo chini sana! Labda tu, you are just wishing.
Mmaombea nchi mabaya mnafikiri watapata tabu viongozi au raia wa kawaida?Baada ya maongezi ya kina na kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya taasisi nyeti, bila shaka uwoga umetanda kwamba tunaelekea kwenye vikwazo cha kiuchumi. 90%. Tanzania inabidi ianze diplomasia isiyo ya kawaida. Yaani high gear diplomacy
Licha ya misaada kusitishwa, kuna uwezekano wa travel ban pamoja na trade embargo dhidi ya Tanzania kwensa EU pamoja na Uingereza. Nadhani CCM wana jukumu la kutengua uongozi uliopo Marekani kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi aliyopo madarakani kulinusuru taifa dhidi ya haya matatizo yanayokuja
MY TAKE; bora kusitishwa misaada, ila siyo trade embargo. Tutaumia sana Watanzania
Jina lako tu lina akisi tabia na akili yakonimemaliza kusoma comments zote HAZIJANIRIDHISHA NA WOTE MLIOTUKANA JJIANDAEN
Idiot, alikiuka masharti yake ndiyo maana nchi yake ikamuita, na hilo huwa ni kawaida, ila wewe idiot unaona huyo balozi ni malaika ana nia njema ya kukuendelezaKum- harass balozi wa EU, lilikuwa ni moja ya kosa kubwa sana kama kutia chumvi kwenye kidonda, hivyo ni lazima watunyooshe.
Si kwa sababu ya ushoga tu, kuna sababu 15, iminywaji wa demokrasia, uhuru wa kufanya siasa, uhuru wa kutoa na kupata habari, utekwaji na kushambuliwa kwa raia pamoja na viongozi wa upinzani...... Watu pamoja na watawala wanaisema sababu ya ushoga tu kwa lengo la kuonyesha kuwa maamuzi ya utawala yapo sahihi kwa kuwa karibu wananchi wote hawautaki ushoga ndani ya nchi yetu. Ila ukweli ushoga siyo sababu pekee kwani nchi yetu haijawahi kuukubali, ndo maana hata Makonda alipata ujasiri wa kukurupuka na mawazo yake binafsi ya kupambana nao ambayo yalileta sintofahamu.Ashakum si matusi kama wataweka vikwazo kwa sababu tunakataa ushoga waweke tu.
Kazi ndogo amwage bashite basiNakubali kwamba Magufuli nchi imemshinda, ila sielewi huu 'Wema' wa wazungu kwetu umeanza lini!!
Nijuavyo, wazungu wana permanent interest, hawanaga rafiki wala adui wa kudumu. ******** hata angeua mashoga kwa risasi hadharani, au kumkatakata lissu kama kashoggi, kama asingegusa maslahi ya wazungu ( issue kama acacia, ku ally na China, ku temper na program zao za ukimwi nk) wasinge mgusa wala kutoa tamko lolote. Kuna mahala ******** kagusa maslahi yao, na huwezi kubaki salama ukigusa maslahi yao. ******** aamue kusuka au kunyoa
Hoja ya kipuuzi sana. Nenda kqwnye takwimu za misaada kwa Tanzania kwenye miradi mbalimbali.Stiegle's goarge unapowapatia waarabu unafikiri EU/USA watafurahi iwapo UNITED FRONT tukichukua Dola 2020 kazi za ujenzi wa Hydroelectric dam tutawapa waIsraeli.