Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

Mpaka akubali ushoga?
Hapo sasa!....yeye si ndio kapeleka bakuli akiwakubalia itabidi ushoga autie kwenye Ilani yake ya Chama cha Mapinduzi

Sisi wapinzani tutakuwa tunakula chabo tu kwenye nyumba za kulala wageni hapo Dodoma tujue nani anamla nani Hahahahaha!!! Mimi nitavizia nione Lugola atatoka na nani hahahahaha...CCM ya awamu ya tano ni hasara tu.
 
Wewe vipi,?? Hivyo vikwazo unavyoviomba unadhani wakubwa vitawagusa??!!, ni sisi walalahoi ndio tutakufa kwa vikwazo kutoka nje na KUKAMULIWA KODI kutoka ndani.
Njaa ikituingia uoga unaisha wewe huji hilo?!
 
hapa tulipo ni kama tumewekewa vikwazo vya uchumi; sasa wakiweka si itakuwa balaa
 
As I once contributed kwenye thread moja nyuma.JPM ata feli kwenye haya mambo 4.
1]Sheria mpya ya takwimu
2]Sheria mpya ya vyama vya siasa
3]Sheria ya mtandao
4]Jinsi ya chaguzi zinavyoendeshwa na haki za binadamu.

Hukiwauliza Mapunguani wa CCM ambao ni empty head wanasema China itaokoa jahazi.China yenyewe imebanwa shati na hao hao mabeberu kutoka nchi za magharibi.Inahaa mpaka leo kurudisha hali na uhusiano nao,refer suala la tariff kati ya China na Marekani.Kumbuka China ndio the second largest economy in the world na bado wamesurrender mbele ya Mabeberu.Leo sisi masikini wakunuka tunajivimbisha mbele zao.

Hizo sheria zote hazina impact ya moja kwa moja kwa ustawi wa nchi.Waste of time tu.Tuzirekebishe twende mbele.JPM hatapita hila Tanzania itabaki.Tuipiganie Tanzania yetu.
 
Njaa ikituingia uoga unaisha wewe huji hilo?!


Kuna aliyekuwa dikteta Afrika kuliko Mobutu seseseko mwana wa kukungwendu wa zabanga??!, zaire nchi kubwa na tajiri sana kipindi chake lakini watu wake wengi walikuwa hohehahe na maskini na njaa hadi leo, kilicho muondoa madarakani Mobutu sio shida na tabu za wazairwa bali ni Kagame akisadiwa na Mu7 chini ya capet la Laurent Kabila.

Ujasiri ni asili ya watu, Watz hatuna ujasiri huo kuliko Wazairwa.
 
Tutalala mbele na Uchina na Urusi Long live Dr Magufuli!!!Long live Tanzania Long live!!!!!!
 
niko nyuma hivi Hugo yuko wapi? alifanywaje? sorry........................... he is dead!.....Hugo Chávez, the 62nd President of Venezuela, died on 5 March 2013 at the age of 58.......... Ila sijui alikufa na nini!
Huyo anachanganya Hugo na Madullo. Ndio upotoshaji huo wa kawaida hapaJF. Hugo hakuuliwa, alikufa 'a natural death'.
 
Baada ya maongezi ya kina na kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya taasisi nyeti, bila shaka uwoga umetanda kwamba tunaelekea kwenye vikwazo cha kiuchumi. 90%. Tanzania inabidi ianze diplomasia isiyo ya kawaida. Yaani high gear diplomacy

Licha ya misaada kusitishwa, kuna uwezekano wa travel ban pamoja na trade embargo dhidi ya Tanzania kwensa EU pamoja na Uingereza. Nadhani CCM wana jukumu la kutengua uongozi uliopo Marekani kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi aliyopo madarakani kulinusuru taifa dhidi ya haya matatizo yanayokuja

MY TAKE; bora kusitishwa misaada, ila siyo trade embargo. Tutaumia sana Watanzania
Mtanyooka tu na vihabari vyenu uchwara! Tunasubiri ndege zetu this month na Bwawa la Umeme la Rufiji limeanza kujengwa nyinyi endeleeni kuhangaika na hao mashoga na mabasha wenu!
 
Ujasiri ni asili ya watu, Watz hatuna ujasiri huo kuliko Wazairwa.
Njaa huongeza ujasiri hebu wewe shinda na njaa siku 3 wewe na wanao kama hutampiga mtu loba...usicheze na njaa.

Tena hiyo mbinu hiyo hufundishwa hata jeshini inaitwa "scorch earth pilicy"
 
Back
Top Bottom