Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

Hii Habari ni uongo mtupu. Ni propaganda za gazeti la East African la Kenya kuichafua Tanzania na sijui wanafanya kwa maslahi ya Nani au ni Nani amewatuma

Sio propaganda ni Ukweli lisemwalo lipo na kama halipo linaluja
 
Upumbavu wa mtu mmoja tu utugharimu sisi soote. Why jamanii? Hivi jiwe aliwekwa na nani kiasi cha kuwa untouchable?
 
Wazungu wametoa sababu15, pitia report yao. Hapo unayoyasema ni hisia tu
 
Waisraeli ndio wataalam hawa waarabu Aswan dam yao walijengewa na warusi.
Hata hayo mapiramid ya kihistoria inasemekana yalijengwa na Waisraeli wakati wakiwa utumwani huko Misri.
 
Maongezi ya kina! Anayeweza kukupa taarifa kama hizo ni mtu wa ngazi za juu za serikali. Lakini nikiangalia unavyoandika sioni kama wewe uko kiwango cha kuweza kuzungumza na mtu wa kiwango hicho. UKo chini sana! Labda tu, you are just wishing.
Wewe Soma vizuri utaelewa chanzo/source
 
Mmaombea nchi mabaya mnafikiri watapata tabu viongozi au raia wa kawaida?
 
Nakumbuka hata kafu waliwahi kuimba nyimbo hizi za vikwazo vya kiuchumi,walishindwaaa
UK ndio muwekezaji mkuu,wanaanzaji kukata mti walioukali?
Nchi mpaka iwekewe vikwazo maana yake mabeberu hapo hawana cha kupoteza
 
Wamisri wa Leo kitu walichofaulu ni kutengeneza Shisha tu...halafu unakuja kuwapa mradi mkubwa kama Steglers goarge si watalipua tu, kiasi tu wanaelekea airport huku nyuma kreki zinaanza.
 
Kum- harass balozi wa EU, lilikuwa ni moja ya kosa kubwa sana kama kutia chumvi kwenye kidonda, hivyo ni lazima watunyooshe.
Idiot, alikiuka masharti yake ndiyo maana nchi yake ikamuita, na hilo huwa ni kawaida, ila wewe idiot unaona huyo balozi ni malaika ana nia njema ya kukuendeleza
 
Ashakum si matusi kama wataweka vikwazo kwa sababu tunakataa ushoga waweke tu.
Si kwa sababu ya ushoga tu, kuna sababu 15, iminywaji wa demokrasia, uhuru wa kufanya siasa, uhuru wa kutoa na kupata habari, utekwaji na kushambuliwa kwa raia pamoja na viongozi wa upinzani...... Watu pamoja na watawala wanaisema sababu ya ushoga tu kwa lengo la kuonyesha kuwa maamuzi ya utawala yapo sahihi kwa kuwa karibu wananchi wote hawautaki ushoga ndani ya nchi yetu. Ila ukweli ushoga siyo sababu pekee kwani nchi yetu haijawahi kuukubali, ndo maana hata Makonda alipata ujasiri wa kukurupuka na mawazo yake binafsi ya kupambana nao ambayo yalileta sintofahamu.
 
Kazi ndogo amwage bashite basi
 
Stiegle's goarge unapowapatia waarabu unafikiri EU/USA watafurahi iwapo UNITED FRONT tukichukua Dola 2020 kazi za ujenzi wa Hydroelectric dam tutawapa waIsraeli.
Hoja ya kipuuzi sana. Nenda kqwnye takwimu za misaada kwa Tanzania kwenye miradi mbalimbali.

Kuna miradi mingine mingi tulipewa msaada wa fedha hata bila kulazimika kutumia wakandarasi kutoka kwenye mataifa yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…