Nakushauri ujitahidi kufikiri negativities za mkulu kwa uwezo wako na si uwezo wa wanasiasa.Think out of the box mkuu !
Wanafunzi walioitwa vilaza na familia zao wanafuraha! Walioachishwa kazi kwa Sababu ya elimu,wengine balibakiza miaka2 kustahafu,hawakulipwa chochote bila kufikiria kuwa wana watu nyuma hao wanaowategemea,HAWA WANAFURAHA? walimu wa ngazi ya diploma,alikuwa anafundisha sekondari akapelekwa primary huku akilazimishwa kuchangia mwenge,huyo anafuraha? Wakulima wa mahindi, tetemeko kagera, human face iliyofanyika mwanza kwenye bomoa bomoa,je Kimara na maeneo mengine, wanyabiashara wadogo kwa wakubwa+Mo. HAWA WOTE WANAFURAHA?hivi unafikiri kila mwenye ubaya hana mazuri yake?
Ukumbuke si kila jambo likufurahishe wewe.
Nakushauri ujitahidi kufikiri negativities za mkulu kwa uwezo wako na si uwezo wa wanasiasa.
Lia kwa kilio chako, usilie kwa kilio cha wanasiasa, hoja/kelele zao ndio mishahara yao..!!!
Mkuu nimekuelewa, ila labda nikuambie kinachonisibu kutoa hoja zangu ni kuogopa kutumia mawazo/hoja za mawasiasa kuverify kilio changu ambapo kimsingi siasa ni sehemu ya ajira. Uwezo wa kupindua shilingi ni sehemu ya technicality ya siasa.That's a sensational driven argument ! Unapo sema nje ya box ni takataka basi uje na ushahidi usio na shaka mkuu
Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Nini maana ya trade embargo na itatuathiri kivipi? Naomba kufaham hiloBaada ya maongezi ya kina na kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya taasisi nyeti, bila shaka uwoga umetanda kwamba tunaelekea kwenye vikwazo cha kiuchumi. 90%. Tanzania inabidi ianze diplomasia isiyo ya kawaida. Yaani high gear diplomacy
Licha ya misaada kusitishwa, kuna uwezekano wa travel ban pamoja na trade embargo dhidi ya Tanzania kwensa EU pamoja na Uingereza. Nadhani CCM wana jukumu la kutengua uongozi uliopo Marekani kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi aliyopo madarakani kulinusuru taifa dhidi ya haya matatizo yanayokuja
MY TAKE; bora kusitishwa misaada, ila siyo trade embargo. Tutaumia sana Watanzania
Jiwe ndio kwaanza anaandaa mswaada wa vyama vya siasa, inamaana hatoki leo wala kesho.Ndugu yangu usiombe. Angalia Venezuela na Iran. Usiombe yatufike. Bora jiwe atoke
Afanye yote lakini asitupeleke route ya ZimbabweWaisraeli ndio wataalam hawa waarabu Aswan dam yao walijengewa na warusi.
Ndiko tunakoelekea au wewe hujaijua seat number yako?!a
Afanye yote lakini asitupeleke route ya Zimbabwe
Lakini una uhuru wa kutoa maoni yako as independent thinker kwa haya unayo yaona na kuyasikia wewe kama wewe unasemaje?? Tuwaache hao wanasiasa wafanye nao kazi yao kama wanasiasa but mimi na wewe tukiwa kama raia wema tuna haki na wajibu wa kutoa maoni yetu maana mwisho wa siku na sisi tutakuwa wahanga ndani ya nchi yetu mkuuMkuu nimekuelewa, ila labda nikuambie kinachonisibu kutoa hoja zangu ni kuogopa kutumia mawazo/hoja za mawasiasa kuverify kilio changu ambapo kimsingi siasa ni sehemu ya ajira. Uwezo wa kupindua shilingi ni sehemu ya technicality ya siasa.
Hao wote uliowasemea walikuambia wanapata tabu sana ondoa hao wafanyabiashara +Mo ambao sijui unamaabisha nini?Wanafunzi walioitwa vilaza na familia zao wanafuraha! Walioachishwa kazi kwa Sababu ya elimu,wengine balibakiza miaka2 kustahafu,hawakulipwa chochote bila kufikiria kuwa wana watu nyuma hao wanaowategemea,HAWA WANAFURAHA? walimu wa ngazi ya diploma,alikuwa anafundisha sekondari akapelekwa primary huku akilazimishwa kuchangia mwenge,huyo anafuraha? Wakulima wa mahindi, tetemeko kagera, human face iliyofanyika mwanza kwenye bomoa bomoa,je Kimara na maeneo mengine, wanyabiashara wadogo kwa wakubwa+Mo. HAWA WOTE WANAFURAHA?
Ndo tunakokwenda sasa...a
Afanye yote lakini asitupeleke route ya Zimbabwe
Mkuu sitaki kuwa na mtazamo wowote juu ya yeyote kwa sababu matatizo nitayoyapata hayatamgusa yeyote dhidi ya mimi mwenyewe nitakayepaswa kupambana kwa namna yoyote, kwa sababu hata unayempigania sidhani kama anajua unateseka kwa ajili yake.Lakini una uhuru wa kutoa maoni yako as independent thinker kwa haya unayo yaona na kuyasikia wewe kama wewe unasemaje?? Tuwaache hao wanasiasa wafanye nao kazi yao kama wanasiasa but mimi na wewe tukiwa kama raia wema tuna haki na wajibu wa kutoa maoni yetu maana mwisho wa siku na sisi tutakuwa wahanga ndani ya nchi yetu mkuu
Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Mkuu sitaki kuwa na mtazamo wowote juu ya yeyote kwa sababu matatizo nitayoyapata hayatamgusa yeyote dhidi ya mimi mwenyewe nitakayepaswa kupambana kwa namna yoyote, kwa sababu hata unayempigania sidhani kama anajua unateseka kwa ajili yake.
Siipendi hii kauli ila ndio msingi wa hoja yangu "KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE"
Ccm mbele kwa mbeleHivi vikwazo vya magufuli visivyo rasmi bora tuwekewe vilivyo rasmi mpaka atakapokubali Demokrasia mimi naunga mkono vikwazo .
Neno mbele kwa mbele usiliunganishe na vitu vya Kijinga.Ccm mbele kwa mbele
Hahahahaha walao sasa nimekuelewa kuwa unakwepa sana kitu kinachoitwa "personal responsibility"
Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Jiandae kisaikolojia maana hakuna rangi hutoiona! Jifunzeni kwa wengine hasa Zimbabwe na Iran juu ya vikwazo vya kiuchumi! Hali haitakuwa kama ilivyo sasa!
Sawa kagushi,lakini amelitumikia taifa miaka28 kwa weledi wa hali ya juu alafu unamtimu pasipo kifuta jasho. Angalikuwa baba au mama yako amefanyiwa ivo,wewe ungekuwa na furaha? Human face iliyofanyika Mwanza isingefaa maeneo mengine? Hebu tutafakari upande mwingine, mfano kule Mtwara, WAPO wakulima wakubwa na wadogo. Hao wadogo korosho zao huuza wakati wowote kutokana na shida ya maisha. Yupo mtu ana nunua kama middle man,anadunduliza mpaka anapata tani kumi na zaidi,Leo hii korosho kuuza mpaka uoneshe shamba,ukishindwa korosho siyo zako tena,bila kujali hela umetoa wapi,unategemewa na watu wangapi! Hii inatofauti na vyeti feki, HUMAN FACE HAPO IKO WAPI? AMANI NI NENO PANA SANA, UNACHOTAKA UTENDEWE,MTENDEE JIRANI YAKO,HII NDIYO AMANI. Jilazimishe kuwa na akili japo kidogo tu.Hao wote uliowasemea walikuambia wanapata tabu sana ondoa hao wafanyabiashara +Mo ambao sijui unamaabisha nini?
Kwa nini upite njia fupi ya kugushi fyeti na vinginevyo?