Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

Think out of the box mkuu !
Nakushauri ujitahidi kufikiri negativities za mkulu kwa uwezo wako na si uwezo wa wanasiasa.
Lia kwa kilio chako, usilie kwa kilio cha wanasiasa, hoja/kelele zao ndio mishahara yao..!!!
 
hivi unafikiri kila mwenye ubaya hana mazuri yake?
Ukumbuke si kila jambo likufurahishe wewe.
Wanafunzi walioitwa vilaza na familia zao wanafuraha! Walioachishwa kazi kwa Sababu ya elimu,wengine balibakiza miaka2 kustahafu,hawakulipwa chochote bila kufikiria kuwa wana watu nyuma hao wanaowategemea,HAWA WANAFURAHA? walimu wa ngazi ya diploma,alikuwa anafundisha sekondari akapelekwa primary huku akilazimishwa kuchangia mwenge,huyo anafuraha? Wakulima wa mahindi, tetemeko kagera, human face iliyofanyika mwanza kwenye bomoa bomoa,je Kimara na maeneo mengine, wanyabiashara wadogo kwa wakubwa+Mo. HAWA WOTE WANAFURAHA?
 
Alisema urais alikua anajaribu, kibaya zaidi tukampa anayejaribu kua Rais wa nchi.
Hili ni fundisho la Karne zinazokuja.
Mlitaka atembee uchi?
Au mlitaka aokote makopo?

Sina neno mie napita tu humu.
ASANTENI SANA
 
Anyway huenda mwenzangu au mwenzetu unaishi kwenye space nyingine tofauti/unacho kifanya hapa ni kunitoa kwenye gist mkuu
Nakushauri ujitahidi kufikiri negativities za mkulu kwa uwezo wako na si uwezo wa wanasiasa.
Lia kwa kilio chako, usilie kwa kilio cha wanasiasa, hoja/kelele zao ndio mishahara yao..!!!

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
That's a sensational driven argument ! Unapo sema nje ya box ni takataka basi uje na ushahidi usio na shaka mkuu

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Mkuu nimekuelewa, ila labda nikuambie kinachonisibu kutoa hoja zangu ni kuogopa kutumia mawazo/hoja za mawasiasa kuverify kilio changu ambapo kimsingi siasa ni sehemu ya ajira. Uwezo wa kupindua shilingi ni sehemu ya technicality ya siasa.
 
Baada ya maongezi ya kina na kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya taasisi nyeti, bila shaka uwoga umetanda kwamba tunaelekea kwenye vikwazo cha kiuchumi. 90%. Tanzania inabidi ianze diplomasia isiyo ya kawaida. Yaani high gear diplomacy

Licha ya misaada kusitishwa, kuna uwezekano wa travel ban pamoja na trade embargo dhidi ya Tanzania kwensa EU pamoja na Uingereza. Nadhani CCM wana jukumu la kutengua uongozi uliopo Marekani kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi aliyopo madarakani kulinusuru taifa dhidi ya haya matatizo yanayokuja

MY TAKE; bora kusitishwa misaada, ila siyo trade embargo. Tutaumia sana Watanzania
Nini maana ya trade embargo na itatuathiri kivipi? Naomba kufaham hilo
 
Mkuu nimekuelewa, ila labda nikuambie kinachonisibu kutoa hoja zangu ni kuogopa kutumia mawazo/hoja za mawasiasa kuverify kilio changu ambapo kimsingi siasa ni sehemu ya ajira. Uwezo wa kupindua shilingi ni sehemu ya technicality ya siasa.
Lakini una uhuru wa kutoa maoni yako as independent thinker kwa haya unayo yaona na kuyasikia wewe kama wewe unasemaje?? Tuwaache hao wanasiasa wafanye nao kazi yao kama wanasiasa but mimi na wewe tukiwa kama raia wema tuna haki na wajibu wa kutoa maoni yetu maana mwisho wa siku na sisi tutakuwa wahanga ndani ya nchi yetu mkuu

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Wanafunzi walioitwa vilaza na familia zao wanafuraha! Walioachishwa kazi kwa Sababu ya elimu,wengine balibakiza miaka2 kustahafu,hawakulipwa chochote bila kufikiria kuwa wana watu nyuma hao wanaowategemea,HAWA WANAFURAHA? walimu wa ngazi ya diploma,alikuwa anafundisha sekondari akapelekwa primary huku akilazimishwa kuchangia mwenge,huyo anafuraha? Wakulima wa mahindi, tetemeko kagera, human face iliyofanyika mwanza kwenye bomoa bomoa,je Kimara na maeneo mengine, wanyabiashara wadogo kwa wakubwa+Mo. HAWA WOTE WANAFURAHA?
Hao wote uliowasemea walikuambia wanapata tabu sana ondoa hao wafanyabiashara +Mo ambao sijui unamaabisha nini?
Kwa nini upite njia fupi ya kugushi fyeti na vinginevyo?
 
Lakini una uhuru wa kutoa maoni yako as independent thinker kwa haya unayo yaona na kuyasikia wewe kama wewe unasemaje?? Tuwaache hao wanasiasa wafanye nao kazi yao kama wanasiasa but mimi na wewe tukiwa kama raia wema tuna haki na wajibu wa kutoa maoni yetu maana mwisho wa siku na sisi tutakuwa wahanga ndani ya nchi yetu mkuu

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Mkuu sitaki kuwa na mtazamo wowote juu ya yeyote kwa sababu matatizo nitayoyapata hayatamgusa yeyote dhidi ya mimi mwenyewe nitakayepaswa kupambana kwa namna yoyote, kwa sababu hata unayempigania sidhani kama anajua unateseka kwa ajili yake.

Siipendi hii kauli ila ndio msingi wa hoja yangu "KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE"
 
Hahahahaha walao sasa nimekuelewa kuwa unakwepa sana kitu kinachoitwa "personal responsibility"

Sio kukwepa mkuu, kwa nini nihangaike kwa matatizo ya mtu mwingine wakati ya kwangu yananikabili , mahakama zipo ni suala la mtu kuitafuta ilipo.
Mkuu kumbe wew una huruma sana kwa matatizo ya wengine!!! Hongera sana mimi bado huo moyo hallow labda hadi nitakapokuja kuwa mwanasiasa...!!!
Hahahahaha walao sasa nimekuelewa kuwa unakwepa sana kitu kinachoitwa "personal responsibility"

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Jiandae kisaikolojia maana hakuna rangi hutoiona! Jifunzeni kwa wengine hasa Zimbabwe na Iran juu ya vikwazo vya kiuchumi! Hali haitakuwa kama ilivyo sasa!

Daima Tanzania sio nchi ya kufananisha na Zimbabwe nchi tuliyowasaidia kupata uhuru
 
Hao wote uliowasemea walikuambia wanapata tabu sana ondoa hao wafanyabiashara +Mo ambao sijui unamaabisha nini?
Kwa nini upite njia fupi ya kugushi fyeti na vinginevyo?
Sawa kagushi,lakini amelitumikia taifa miaka28 kwa weledi wa hali ya juu alafu unamtimu pasipo kifuta jasho. Angalikuwa baba au mama yako amefanyiwa ivo,wewe ungekuwa na furaha? Human face iliyofanyika Mwanza isingefaa maeneo mengine? Hebu tutafakari upande mwingine, mfano kule Mtwara, WAPO wakulima wakubwa na wadogo. Hao wadogo korosho zao huuza wakati wowote kutokana na shida ya maisha. Yupo mtu ana nunua kama middle man,anadunduliza mpaka anapata tani kumi na zaidi,Leo hii korosho kuuza mpaka uoneshe shamba,ukishindwa korosho siyo zako tena,bila kujali hela umetoa wapi,unategemewa na watu wangapi! Hii inatofauti na vyeti feki, HUMAN FACE HAPO IKO WAPI? AMANI NI NENO PANA SANA, UNACHOTAKA UTENDEWE,MTENDEE JIRANI YAKO,HII NDIYO AMANI. Jilazimishe kuwa na akili japo kidogo tu.
 
Back
Top Bottom