Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

Wewe huja jua kila weekend chadrama mcharuko mizee ya matukio huja na story mpya kufuraisha baraza, ujinga mtupu walahi ?
Fyeeekelea mbali bavicha Magoti malofaaaa kweli kweli walahi
Na hawa ndo walioandika na kujidai ni USA wataula wa chuya mwaka huu
 
Super power wenu ni nani hapa Tz?
 
Ni kweli cha msingi tu CCM au CDF afanye jambo jema watuondolee lile kopo la chooni pale kwenye meza ya chakula!!!
Aruhusu watu wapige siasa kama katiba inavyosema,Polisi wasiiingile mikutano ya siasa za na haswa za Upinzani Mbona kikwete alikuwa anakubali kukosolewa Mzee Kikwete ni kama binadamu wengine ananyongo kama Magufuli sasa huyu yeye hataki Upinzani upige siasa,mtu kama Mange hivi Mange Kimambi ndio wa kumuwekea jeshi zima la Polisi?!wakati huo mimi nilikuwa mwanaCCM ilikuwa ni Aibu Polisi badala ya kufanya kazi zao wooote wakafanywa ni Riot police...kiongozi mambo mengine anatakiwa kuyapuuza kama walivyokuwa wenzake waliopita
 
Uranium watachukua wapi?, makampuni yao yatachimba wapi dhahabu? Na hayo makampuni ndio hu influence msimamo wa serikali.
 
nimemaliza kusoma comments zote HAZIJANIRIDHISHA NA WOTE MLIOTUKANA JJIANDAEN
 
Hakuna rangi tutakayo acha iona
 
Eti na kiongozi mmoja mwandamizi. Pumbavuuuu. Kama wewe ni shoga siai hatuutaki huo ushoga. Mtahangaika sana aisee nyani wa bavicha.
 
Cc n dona kantri wewe, hatutishwi, wia oni ze raiti traki tunatekeleza miradi mikubwa kwa pesa zetu za ndani.
 
Msimamo wangu twende na membe.. kazi na bata 2020
 
Bado sana. Hakuna kitu kama hicho.
 
Hivi kwa nini Ya Ben Sanane hao Western hawajaivalia njuga kama Ya Kashoggi.....??
Nafikiri wangetukazia kipindi kile hata mambo yaliyotokea baadae yasingetokea...
HAIWEZEKANI MTU ANAPOTEA TU KAMA HEWA HALAFU SERIKALI IPO TU....binadamu yoyote anathamani kubwa sana kuliko project yoyote ile....hili suala pamoja na la Tundu lissu litamuandama Magufuli mpaka siku atakapotoka madarakani
 
Bado sana. Hakuna kitu kama hicho.
Wewe wasema! Unaijua nguvu ya baraza la seneti la marekani na ile ya baraza kuu la EU? Ingekuwa ni nchi moja labda, lakini ni nchi nyingi zenye nguvu za kiuchumi! Tujiandae tu kisaikolojia kwani maumivu yake siyo ya kitoto!
 

Nairobian, naamini hoja yako ni hii Nadhani CCM wana jukumu la kutengua uongozi uliopo tu katika bandiko lako. Mwenye kuuondoa uongozi madarakano Serikali ni wananchi na hapo kwenye uchaguzi mkuu wa 2020.

Pamoja na bandiko lako Tanzania iko imara kiusalama na kiuchumi kuliko nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…