Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

Mkuu umeguswa nini na wewe?mbona umebadilika
Nilishafafanua huko nyuma ila nitaweka mkasa mzima siku ya 25/12/2018,

Nina imani chozi litakudondoka jinsi vikundi vya mauaji na Udhulumati ma mateso dhidi ya Watanzania kwa kigezo cha kuwa ni Wapinzani.
 
Hivi vikwazo vya magufuli visivyo rasmi bora tuwekewe vilivyo rasmi mpaka atakapokubali Demokrasia mimi naunga mkono vikwazo .
Demokrasia gani yahitajika, zaidi ile tuliyoishuhusldia wabunge wameziba midomo au kususia vikao vya bunge!
 
Waweke tu hili jitu arrogant sana..ushamba ushamba tu pamoja na hoja zoote wao wamekomalia ushoga as skipping point..hayajui kula na kipofu, stupid
Marekani wanaandaa nyambizi kubwa wenye Komandoo wa kutosha itakuja mpaka mitaa ya feri usiku kuja kusoma upepo kisha wafanye maamuzi
 
Hivi vikwazo vya magufuli visivyo rasmi bora tuwekewe vilivyo rasmi mpaka atakapokubali Demokrasia mimi naunga mkono vikwazo .
Kweli tayari tuna vikwazo kutoka kwa Mzungu mweusi mwenzetu. Hakuja haja ya kuogopa vikwazo vya Mzungu mweupe.
 
Kum- harass balozi wa EU, lilikuwa ni moja ya kosa kubwa sana kama kutia chumvi kwenye kidonda, hivyo ni lazima watunyooshe.

Mshauri mkuu wa mtukufu toka chato ni Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite asiye na vyeti unategemea nini?
 
Demokrasia gani yahitajika, zaidi ile tuliyoishuhusldia wabunge wameziba midomo au kususia vikao vya bunge!
Usifikiri sisi ni watoto,jenga hoja hata mimi nikiona kinyesi naziba mdomo na pua.
 
Kum- harass balozi wa EU, lilikuwa ni moja ya kosa kubwa sana kama kutia chumvi kwenye kidonda, hivyo ni lazima watunyooshe.
Hakuna wa kunyooka hapa. Niliwahi kukuuliza Je wewe upo tayari kuwapa wakitakacho yaani uwe shoga wao?
 
Mabomu hapana viongozi wote wa CCM wawekewe vyikwazo vya kusafiri nchi za nje Pamoja na baadhi ya wakuu wa mikoa
Spika wa Bunge nae vikwazo tuone
Mkuu Spika wasimhusishe kwenye vikwazo vya kusafiri nje,si unajua anahudhuria kliniki nje?
 
Vikwazo vimewatoa watawala wa kimabavu wengi tu kwenye madaraka akina Buyoya Mugabe na wengineo wengi.
 
Naona inafaa serikali imtumie Rais Mstaafu Kikwete aokoe jahazi kwa masuala ya mahusiano na Marekani nakukumbuka wakati wa utawala wake waliokuwa marais wa Marekani Obama na Bush walikutana hapa Tanzania
 
Mkuu Spika wasimhusishe kwenye vikwazo vya kusafiri nje,si unajua anahudhuria kliniki nje?
Atibiwe Muhimbili yeye si ndio alikuwa kimbelembele kuwa lissu atibiwe muhimbili na baada ya Lissu kupelekwa Kenya akaweka biti la gharama za matibabu sasa na yeye aende Muhimbili
 
Mfano Egypt

https://www.cnn.com/2018/07/25/politics/us-military-aid-egypt/index.html
 
Waweke tu hili jitu arrogant sana..ushamba ushamba tu pamoja na hoja zoote wao wamekomalia ushoga as skipping point..hayajui kula na kipofu, stupid
Wanakomalia ushoga huenda wanafahamu utamu wake, hawataki na wengine wajue. Wivu wa kitoto sana. Mshasema nchi haina dini, sasa kama watu wanatumia miili yao vibaya wewe kinakuuma nini?
 
Atibiwe Muhimbili yeye si ndio alikuwa kimbelembele kuwa lisu atibiwe muhimbili na baada ya Lissu kupelekwa Kenya akaweka biti la gharama za matibabu sasa na yeye aende Muhimbili
Yaani!Hivyo vikwazo wangeanza navyo hata Kesho,hayo mengine yafuate
 
My take;utawala huu uache kiburi na majivuno ya kiseeeela
CCM wote wanaishi kwa kukariri zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM Taifa na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite ni hatari kubwa
 
Yaani!Hivyo vikwazo wangeanza navyo hata Kesho,hayo mengine yafuate

Naunga mkono hoja na vikwazo wakizuia meli kutoka na kuingia pia wazuie watalii kuja Tz na Serikali ikose huduma muhimu pesa ndipo Jwtz na vyombo vingine vya dola wakilala njaa lakini wakinukishe vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…