Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

tumezidi kuwaogopa hao wanyonyaji wa magharibi. Magufuli ana akili ya Gadaff. anaona JINSI tunavyo nyonywa kaamua kutoogopa na kurudi nyuma. acha tuache ili historia nyingine iandikwe kwamba uhuru wa uchumi umeanzia Tanzania kwa mara nyingine.
 
Sasa tukiwekewa trade embago korosho tutauza wapi? Tutapata wapi bidhaa ambazo hatuzalishi kama mafuta nk?
 
tumezidi kuwaogopa hao wanyonyaji wa magharibi. Magufuli ana akili ya Gadaff. anaona JINSI tunavyo nyonywa kaamua kutoogopa na kurudi nyuma. acha tuache ili historia nyingine iandikwe kwamba uhuru wa uchumi umeanzia Tanzania kwa mara nyingine.
do you remember six days war. we can't fight blindly mkuu. midomo yayuponza.
 
Hatuna biashara yoyote yenye tija kwa wanyonge na hao EU.
 
Hiyo nayo hoja! Du, wabunge ni vinyesi!
Wakati kada wako na aliekua Mbunge wa Igunga katika barua yake ya kujiuzulu ubunge alisema hivi;Nimechoshwa na Siasa za Majitaka "Sewage",, mwisho wa kumnukuu swali ni je unajua maana ya majitaka?!..nikuelimishe kidogo alikuwa amechoshwa na siasa za kinyesi kwa hiyo anaaamua kufanya Biashara zake za kawaida....usishtuke sana dogo.
 
Hatuna biashara yoyote yenye tija kwa wanyonge na hao EU.
Nyie ongezeni Kodi tu ruhusuni na madada poa wapeni EFD machines,Kodi ya kufuga Ndevu,Kodi ya kuimba mwimbo wa Taifa,kodi ya kuziangalia Bombadia na Dreamliner kodi ya kupiga punyeto nk..nk mtakusanya mapato ya kutosha halafu njooni huku Chadema na CUF mje mfanye shopping.
 
tumezidi kuwaogopa hao wanyonyaji wa magharibi. Magufuli ana akili ya Gadaff. anaona JINSI tunavyo nyonywa kaamua kutoogopa na kurudi nyuma. acha tuache ili historia nyingine iandikwe kwamba uhuru wa uchumi umeanzia Tanzania kwa mara nyingine.
Uhuru na Udikteta haviwezi kuishi nyumba moja. Hivyo basi hakuna mafanikio ya kiuchumi bila Uhuru. Nchi yoyote ambayo raia wake wanaishi kwa hofu haiwezi kufanikiwa.
 
Hivi vikwazo vya magufuli visivyo rasmi bora tuwekewe vilivyo rasmi mpaka atakapokubali Demokrasia mimi naunga mkono vikwazo .

Wewe vipi,?? Hivyo vikwazo unavyoviomba unadhani wakubwa vitawagusa??!!, ni sisi walalahoi ndio tutakufa kwa vikwazo kutoka nje na KUKAMULIWA KODI kutoka ndani.
 
Waambie wanachelewa MBONA wananchi tupo nyuma yao hata sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…