Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

Ni mambo ma.3 tu yaletayo ushindi vitani!; Uchumi, Silaha, Siasa Makini!
Mwaka 1978, Tanzania ilikuwa na uchumi gani mzuri ? Kwanza ndo ilikuwa na umri wa miaka 17 tangu ipate uhuru, kama ingekuwa binadamu hata kura ilikuwa haina uwezo wa kupiga.
 
Mwaka 1978, Tanzania ilikuwa na uchumi gani mzuri ? Kwanza ndo ilikuwa na umri wa miaka 17 tangu ipate uhuru, kama ingekuwa binadamu hata kura ilikuwa haina uwezo wa kupiga.

Ungesema askari walienda kwa miguu toka mikoani had I front, walipigana kwa kutumia ngumi na mawe, wajifunga swaumu, hawakuumwa...una tatizo gani mkuu?
 
Egypt inaongoza duniani kwa bajeti ya ulinzi na ukubwa wa jeshi???? Nadhani unamaanisha Africa sio duniani kama ulivoandika
 
kama vipi tuombe nao hata mechi ya kirafiki tuone nani mbabe
 
CCp
Cp usu...au 1.v=vumilia!

2.v begani(cpl)=vumilia vumbi > huyu yuko katikati ya vita ni kiongozi mstr wa mbele ktk mapigano...
3.v begani(Sgt)=vumilia vumbi LA vijana manake yuko mstari wa nyuma vitani kwa ajili ya utawala...
 
Rudi hadi miaka ya 70 Uganda ilikua juu sana kijeshi kuliko sisi ila kilichowatokea hadi Leo ni historia hizo chat zisikutishe zinapangwa na wazungu kutegemea umefanya nao biashara kiasi gani au unamahusiano mazuri kiasi gani nao

Kweli mkuu!!,wakati mwingine takwimu huwa zinapotosha sana hasa km mtoa takwimu ana maslahi fulani upande fulani.
 
Kenya inatuzid vip jesh lao limeshidwa na mgambo wa al shabab ambao hawana mafunzo ya kijeshi
 
Hahahaha.......wataka kusema Kenya ndio wametengeneza taarifa hiyo? Usitumie ubongo wako kama kofia mkuu.
 
Rudi hadi miaka ya 70 Uganda ilikua juu sana kijeshi kuliko sisi ila kilichowatokea hadi Leo ni historia hizo chat zisikutishe zinapangwa na wazungu kutegemea umefanya nao biashara kiasi gani au unamahusiano mazuri kiasi gani nao

Ethiopia wanafanya biashara kiasi gani na wazungu wewe zuzu? Usiropokwe bila facts bana!
 
Kenya inatuzid vip jesh lao limeshidwa na mgambo wa al shabab ambao hawana mafunzo ya kijeshi

kENYA inazidi Tanzania kwa kuwa wako somalia, Tanzania iko wapi?
 
mpaka Sudani...????
you cant be serious!!!
 
Jiulize kwa ni sababu ip hawatak kuacha vita na al shabab na kukubal kupigwa na al shabab ni shame kwa taifa na jeshi
 
Ethiopia wanafanya biashara kiasi gani na wazungu wewe zuzu? Usiropokwe bila facts bana!

mkuu Ethiopia wana flight 56 jumla kati ya izo 4 ni 787 dream liner na hazitengenezwi Addis Ababa zinanunuliwa nje..kwa Afrika ndio shirika linaloongoza kwa usafiri wa anga hata kaburu hatii mguu hapo..Ethiopian airlines.
 
Mleta uzi umetoka usingizini au si mtaz ww kwhyo unabeep kupata habari zetu tupa kule huo uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…