Tanzania kwa kuogopa aibu, imekamata Wanahabari wawili wa Kenya

Je waliingia ki halali nchini? Sheria zinawaruhusu kufanya hivyo? Kila mtu ashinde mechi zake, waripoti kuhusu Kenya, wamekujaje Tz?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauifaham Tanzania vizur nazan hivi hao wanahabar wenu huku c Kama paka unazan watu wanajal ,we ngoja mwisho wa cku usije kukimbia hii ni TZ bwana sio Kenya Kama munawanyenyekea huko huko huku ukivunja sheria uwanahabari unawekwa pembeni unashughulikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juha bibi yako, kuingia nchi yoyote lazima upate kibali hiwezi kuingia kama unaingia chooni. Usipofuata utaratibu lazima ukubali matokeo yake jinga wewe
Mbwembwe tu hizo hamna mtu aliyeingia bila kibali.....btw mnaogopa nini wakifanya kazi yao ya kuhabarisha wkt vyombo vyenu mnavinyamazisha?
Cc: Albert Msando
 
Kwanini wasiripoti kwenu jinsi mnavyopigwa mapomu na mapolisi wenu pia mnanjaa mpaka mnapika mawe!
Sisi tunajielewa hatiwezi kunyamazia maujinga km mnavofanya huko kwenu meko anawachezea mnacheka tu
 
Kuna msiba mkuu! Magufuli kafiwa na dada yake.
Isingekua corona wangetangaza sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…