Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Torati = sheria...huu ndio ushauri wa kisheria mkuu..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Torati = sheria...huu ndio ushauri wa kisheria mkuu..?
Utalipwa terminal benefit kwa mujibu wa kifungu 41 cha sheria ya kazi na mahusiano kazini ya mwaka 2004,kwa mujibu wa kifungu 41 cha sheria hiyo ilibidi nakupenda notis.Wakikulipa achana nao,wasipolipa nenda CMANilikuwa nafanya kazi sector binafsi kwenye mradi wa miaka 3,mkataba kwa wafanya kazi ni mwaka mmoja then una-renew.
Mkataba wangu ulikuwa from 1st April 2017 to 31st March2018.
...mkataba unasema ikitokea hawata renew basi one month notice itatolewa-ila all over sudden Jana tar 29.3...wametangaza haturenew mkataba na siku ya mwisho kuwepo kazini ni tar 31...sijapewa barua...ndio nataka kwenda chukua jmos.
....sijui hii imekaaje wakuu
Sheria na taratibu haziko hivyo.apo amna damage yoyote labda kama kuna malipo hujalipwa/unawadai.inaonekana hukufikiria kama hilo linaweza tokea/ulijisahau.
Yapo kama.apo amna damage yoyote labda kama kuna malipo hujalipwa/unawadai.inaonekana hukufikiria kama hilo linaweza tokea/ulijisahau.
Kiongozi, Asante kwa darasa zuri. Mimi nina matatizo makubwa kazini.
- Endapo haya madai yako unayadai ukiwa bado ndani ya ajira hakikisha hazipiti siki 60 kabla hujachukua hatua za kuyadai
- Endapo una madai ambayo tayari umeshaacha/kuachishwa kazi na unamdai mwajiri hakikisha unachukua hatua za kuyadai ndani ya siku 30 kuanzia ulipoachishwa kazi manake nje ya muda huo utasababisha Mwajiri alete pingamizi (preliminary objection) kwa hoja kuwa madai yako yapo nje ya muda endapo utafungua shauri CMA.
Habari kiongozi.Hakuna tatizo, notice ni kwamba utapewa mshahara ya mwezi mmoja mbele, na barua utapewa siku ya mwisho, Kwa uzoefu wangu
Sasa kiongozi, vp kuhusu taratibu za kumfukuza mwajiriwa zinasemajemkataba wenu wa mwanzo wa kazi mpka mwisho wa kazi unakufunga......mkataba unaonesha haitakiwi uendelee kuwa kazini
Kwa uzoefu wangu na sekta niliyopo mkuu hapo inaonekana ni majungu yanaendelea kwa sababu kama ni ishu tangible kwa nini wasikuite?Habari kiongozi.
Mimi ni mwl ktk shule moja ya private hapa Dar es salaam.
Nina matatizo makubwa kazini, Wameniundia zengwe kuwa nimewapa mtihani wanafunzi,
Nikiwa nasahisha, wakanizuia kumalizia wakamalizia wao
Toka siku hyo wamenizuia kuingia shuleni
Na tayari wameshatafuta mtu mwingine
YOTE HAYA YANAFANYIKA
sijaitwa nikahojiwa juu ya tuhuma yangu
Wala sijaandika maelezo yoyote
JE
sheria ikoje ktk kumsimamisha na kumfukuza mwajiriwa. Nina miaka tisa (9) kazini
Pia hawajanipa hata barua ya kumsimamisha zaid ya mkuu wa shule kuwapa amri walinzi wa getini wasiniruhusu
Msaada plz
Natanguliza shukran
kwanza pole sana kwa yaliyokukuta. Pili, mkataba kama unasema ni wa mwaka mmoja wenye uwezekano wa kuongezewa, kuna wengine wanaweka kwamba hawalazimishwi na chochote kukuongezea mkataba baada ya huo wa kwanza kwisha.
Cha msingi, angalia kwa umakini kwenye huo mkataba unasemaje endapo hawataongeza muda. Je, wanatakiwa wakupe taarifa muda gani kabla ya mkataba kwisha muda wake?
Mpaka sasa hivi hujaambiwa chochote mkuu? Kama hawajakwambia chukua mkataba wako mtafute mwanasheria naamin atakushauri kitu kizuri cha kufanya lakin nachokiona hapo ni hila na majungu,hata mim nilifanyiwa sana hila ila walijutaI mean kiongozi mkali kwanza
Hz smartphone nazo
..mkataba unasema in case hawata renew inabidi watoe 1 month notice,...ila in case of redundancy a 2 months notice must be given by employer,and explanatory discussion must take place btn employee and the employer at reasonable time prior to redundancy.IGWE kwanza pole sana kwa yaliyokukuta. Pili, mkataba kama unasema ni wa mwaka mmoja wenye uwezekano wa kuongezewa, kuna wengine wanaweka kwamba hawalazimishwi na chochote kukuongezea mkataba baada ya huo wa kwanza kwisha.
Cha msingi, angalia kwa umakini kwenye huo mkataba unasemaje endapo hawataongeza muda. Je, wanatakiwa wakupe taarifa muda gani kabla ya mkataba kwisha muda wake?