Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabunge wanaleana sana,kwanza waliendeleaje kumlipa mshahara mtu wasiejua alipo?
Sekta binafsi huu ujinga haupo
Utoro wa siku 90 pekee unamfukuzisha mwanafunzi na kumkosesha haki yake ya msingi why isiwe na kwa wabunge?
Usiwe mtumwa wa historia.Kama huko nyuma walichemka unataka kuchemka kuendelee?Alipokufa Samweli Sita nani alithibitisha ? Muhimbili walikuwepo?
Alipokufa Mwl Julius K. Nyerere UK muhimbili walikuwepo kuthibitisha?
Msiwe kama wanyama kutofikiria relevance ya comment zenu
Alikuwa katika vegetative state kwa kumkodolea macho tu kwa kumwangalia usoni au kwa Ripoti ya daktari?Yeye hakukataa, angekataa vipi akiwa kwenye "vegetative state". Hii itakuwa ni kesi itakayovuta hisia za watu wengi sana.
Haya mama HurumaUnapaswa kuhurumiwa sababu kufikiri vema sio rahisi kwa wote
kwa hofu ya kumalizwa labda!!Unconscious haonekani kwa macho Ripoti ya madaktari ndio huthibitisha Kama Ni unconscious au la.Madaktari bingwa wa muhimbili ndio walitakiwa kufanya hiyo kazi Lakini yeye akakataa akaenda zake Naorobi
Mkuu kufunga shule sio likizo ya mwalimu,kwa mwaka mfanyakazi analikizo ya siku 22 za kazi hivyo kama anataka likizo lazima aombe kwa mwajili wake.
Mkuu kufunga shule sio likizo ya mwalimu,kwa mwaka mfanyakazi analikizo ya siku 22 za kazi hivyo kama anataka likizo lazima aombe kwa mwajili wake.
Asante Mkuu kwa utaalamu unaouweka kwenye hili jamvi. Mimi nilikuwa Mtumishi wa Shirika la Umma hadi Desemba 2018 na sasa nimestaafu. Lakini mnamo mwaka 2017 mwajiri wangu alinichukilia hatua za nidhamu kwa makosa ambayo aliyafanyia uchunguzi.Hatua alizonichukulia ilikuwa ni 1) Kuniteremsha cheo kwa ngazi moja na 2) kunipunguza ngazi ya mshahara. Nataka kujua kuwa kwa sheria za utumishi wa umma Je Mwajiri alikuwa sahihi kunipa adhabu 2 kwa kosa moja? Pili Je nifanye nini kupata haki yangu kama jibu la hapo juu ni "hakuwa Sahhi". Natanguliza shukrani