Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

Yani mimi na miaka yangu miwili kazini sijawahi kuisoma. Shukrani kwa reminder
 
Nina miaka 22 kazini na nimeajiriwa zaidi ya NGO 8, sikumbuki lini nilishawahi hata kupata muda wa kusoma mkataba in details, sana sana huwa nasoma working hours, leaves, sick leaves, medical insurance na more more more how much is a salary , mengine huwa nayakuta huko huko
 
deonova,
Kwakweli huu ufafanuzi wako umenikuna sana,kuna mengi nimejifunza hapa!Natamani nikusimulie habari yangu fulani ya kikazi ili uweze kunishauri kama hutajali,naweza kupata mawasiliano yako?
 
Asante sana.Yaani hili ni darasa la kujifunza. Nimejifunza mengi. Ubarikiwe.
 
deonova,
Only kuachishwa kaz na mwajiri? Je kama mfanyakaz amerisign yeye mwenyew au amefikia ile retirement age ,stahik zake n zp???
 
deonova,
Nyongeza vilevile kwa wale wote ambao wamefanya kaz kwamkataba wa muda maalum hawana haki ya kuclaim kiinua mgongo
 
Je ikitokea kampuni haijawalipa wafanyakazi mishahara zaidi ya miezi 3 hatua gani mwajiriwa unaweza kuchikua na zikakusaidia kupata stahiki zako?!
Katika madai kweny hii sheria yetu ya ajira na mahusiano kazin Na6/2004 madai yote yanayohusu ajira kisheria isipite siku 60 uwe tayar umeshapeleka kweny chombo cha sheria hapa i mean TUME

sasa kama unamishahara ya miez mitatu maan yake unamdai juu ya mwajiri wako

Swari je
Ulishawah kumkumbusha mwajiri wako kuhusu mishahara yako?
Kama ndiyo ,njia gan ulitumia ?
1.kwa mdomo au
2.kwa maandishi?
Kama kwa mdomo na alikuwa anakupa kiswahili hata ukienda mbele ya tume itakuwa vigumu ww kupata haki zako maan kama hyo mishahara yko au hayo madai yako yatakuwa nje ya siku 60

Ila kama ulikuwa unakumbusha kwa maandishi unaweza kwenda fungua kesi na kudai mishahar yako hyo ya miez 3 sababu utakuwa n evidenC ya maandishi kwamba licha ya mwajiri wangu kumkumbusha kimaandish lakn hakuna kitu alivhokuwa anafany zaid ya calenda tuu

N:B
KAMA UKO CHAMA CHA WAFANYAKAZ NAOMBA NENDA OFIS HUSIKA YA CHAMA CHA WAFANYAKAZ ILI MWAJIR WAKO AANDIKIWE BARUA YA WITO NA CHAMA AJE AELEZE JUU YA UHALALI WA MALALAMIKO YAKO YA MISHAHARA MBELE YA CHAMA NA CHAMA CHAKO NDICO KITAKACHOKUPA MWONGOZO NN CHA KUFANYA KAMA MWAJIRI N KAIDI
HUMBLY SUBMITTING
 
Mkuu samahani naomba kuuliza je iwapo umefanya kazi kwenye kampuni binafsi kwa zaidi ya miaka mitano bila ya mkataba unaweza pewa stahiki zako kama mfanyakazi mwenye mkataba?
Utapata endapo utakuwa na kumbukumbu za evidence itakayo kuhakikishia ww kwamba umefanya kaz kwa muda huo wote mfano
Kma una
1.salary slip.
2.kam kuna sehem mnasaini

Uwe na nakala yake ili mwisho na siku kama kibarua kitaisha basi waajir weng n wajanja wanakataa kweny kesi mfano utasikia
1. Mm bwana juma cimtambui na siyo mfanyakaz wangu na akijua kwamba hakukupa mkataba wa ajira sasa jukumu la kuthibitish ww n mwajiriwa n huyo mwajiri n kuprove kitu ambacho kitaiaminish tume ww mwajiriw wake

2. Mwajir anaweza akakubali ww ulikuw mfanyakaz wake lakn hatambui hayo madai unayodai kwa miaka mitano yeye anaweza kusema anatambua ww umefanya kaz kwake miaka 2 so unaright ya kudai miaka 2 not 5 ,sasa utaprove vp kwa mwajiri hyo umefanya kaz miaka 5 cyo 2? Salary slip inaweza kukuokoa
So TUME ikijiridhisha basi kama ni unfairterminon utapata stahik zako

N:B
Tunza vielelzo vinavyohusu hyo mwajiri unapofanyia kaz otherwise at the end day itakula kwako
 
Only kuachishwa kaz na mwajiri? Je kama mfanyakaz amerisign yeye mwenyew au amefikia ile retirement age ,stahik zake n zp???

Sheria imeeleza kuwa kiinua mgongo (severence pay) italipwa pale ambapo termination imekuwa initiated na employer. Endapo mwajiriwa ndiye ameacha kazi mwenyewe au mkataba umefikia ukomo (contract of service has expired or ended by reason of time) basi mwajiriwa hatastahili kulipwa kiinua mgongo.

LAKINI; kama katika mkataba wenu mlikubaliana kulipana kwa mfumo wa gratuity kila mkataba unapofikia ukomo basi hiyo lazima ulipwe. Otherwise stahiki zingine zote zilizoelezwa katika kifungu 44 cha ile sheria unastahili kulipwa.
 
Nyongeza vilevile kwa wale wote ambao wamefanya kaz kwamkataba wa muda maalum hawana haki ya kuclaim kiinua mgongo

Kama mkataba wenu umefikia ukomo by reason of time (haujasitishwa na mwajiri) basi kiinua mgongo hakipo mkuu
 
deonova,
Mkuuuu!! Hapo kwenye wages me nmeshindwa kuelewa kidogo hiyo minimum wage wanayoandika 100,000 au 130,000 kwa mwezi ni mshahara wa MTU kweli kwa nyakati hizi au me ndo sielew
 
Mkuuuu!! Hapo kwenye wages me nmeshindwa kuelewa kidogo hiyo minimum wage wanayoandika 100,000 au 130,000 kwa mwezi ni mshahara wa MTU kweli kwa nyakati hizi au me ndo sielew
Kila sekta ina kima chake cha chini mkuu kwa mujibu wa Tamko la Serikali la kima cha chini cha mishahara ya kisekta; Tamko Namba 196 la mwaka 2013.

Mfano sekta ya kilimo 100,000

Shule binafsi (nursery, primary na secondary)140,000

Sekta ya afya 132,000

Sekta ya mawasiliano 400,000

Taasisi za fedha 400,000

Mkandarasi daraja la kwanza 325,000

Mkandarasi darala la pili hadi la nne 280,000

Mkandarasi daraja la tano hadi la saba 250,000

Sekta ya biashara (trade, industries and commerce) 100,000

Utangazaji, mass media na courier services 150,000

Wafanyakazi wa ndani walioajiriwa na diplomats na potential businessmen 150,000

Wafanyakaz wa ndani employed by entitled officers 130,000

Wafanyakaz wa ndani wengineo lakini hawalali kwa mwajiri wao 80,000

Wafanyakazi wa ndani wengineo lakini wanalala kwa mwajiri 40,000

Hotel za kitalii na hotel kubwa kubwa 250,000

Medium hotels 150,000

Restaurant, guest house and bars 130,000

Kampuni za ulinzi binafsi za kimataifa na kubwa kubwa 150,000

Kampuni za ulinzi ndogo ndogo za ndani nchini 100,000

Sekta ya nishati kwa makampuni ya kimataifa 400,000

Sekta ya nishati kwa kampuni ndogo ndogo 150,000

Aviation services 300,000

Clearing and forwarding 300,000

Inland Transport 200,000

Kampuni zenye leseni ya uchimbaji na utafutaji wa madini 400,000

Kampuni za madini zenye leseni ya uchimbaji mdogo mdogo (PML) 200,000

Kampuni za madini zenye leseni ya Dealers Licence 300,000

Kampuni za madini zenye Brokers Licence 200,000

Fishing and Marine services 200,000

Sekta nyinginezo ambazo hazijatajwa ktk muongozo/tamko hili 100,000

NB: hizi zilizotajwa hapa ni minimum standards, mwajiri anaruhusiwa kulipa above hiki kilichooneshwa hapa ila haruhusiwi kushuka below hicho kiwango.

Kwa hiyo mpaka pale utakapotolewa muongozo mpya, kwa sasa unaotumika ndio huu.
 
Daa

Daaaaa!!!! Kwahyo walimu wa certificate wa serikali mbona hua ndo wa kiwango cha chini kabsa lakini wanalipwa 250000. Halafu kuna watendaji wa vjiji wa certicate , Hawa nao wanaanza na 250000 ila hapo kwa mujibu wa huo mchanganuo wanaangukia kwenye sekta nynginezo ambao imeandikwa 100000
 
Back
Top Bottom