Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

..Uchumi wa Tz bado ni mdogo kulinganisha na wa Kenya.
Hivi huwa vinalinganishwa vitu gani?

- Kodi zinazokusanywa?

- Mauzo yanayofanywa?

- Pato la kila mtu?

- Mali zinazozalishwa na faida inayopatikana kubaki nchini, au kupelekwa nje ya nchi?

-Wingi wa matajiri, au maskini?

Katika vigezo hivyo, kuna uhakika wowote wa usahihi wa takwimu zinazotumika?

Kwa mfano:

Mwaka 2015/16 GDP ya Ethiopia ililipotiwa kuwa imeipita ile ya Kenya kwa mara ya kwanza, na imekuwa hivyo kwa miaka kadhaa hadi mwaka jana, 2019, ambapo inasemekana GDP ya Kenya imepanda zaidi na kuipita ile ya Ethiopia, na kwa hiyo Kenya kuwa kinara tena katika eneo hili la Mashariki kwa kuwa na pato kubwa, nadhani kwa kuwa na GDP ya $99 Billioni, huku ile ya Ethiopia ikibakia kuwa $91 Billion!

Na wakati huo huo, kila mwaka tokea 2015 uchumi wa Ethiopia ukiwa unakuwa kwa wastani wa zaidi ya asili mia 7, na ule wa Kenya haujazidi 5.6?

Hapo ndipo huwa natokwa na maluilui katika uelewa wa haya mambo ya hizi takwimu za uchumi!

Sina tatizo na uelewa wa takwimu, kwa sababu huzitumia mara nyingi sehemu zinazonihusu, lakini hizi za uchumi, naona ndio kiboko yangu.
 
Knight Frank wealth report 2020. Also, the BBC
Nimekuuliza hivyo manake hio ripoti iko na tatizo kwa data ya Kenya..... Hao jamaa lazima wamekosea kati ya ripoti ya 2019 na 2020

Kwa 2019 wealth report , Data ya Tanzania inaonyeshe >1m dollar millionaires ni

Tz usd dollar millionaires ($1m) 2019 wealth report
5,700 - 2013
6,216 - 2017
6,429 - 2018
7,616 - 2023 -projection

Tz usd dollar millionaires(>$1m) 2020 wealth report

3,000 - 2014
5,118 - 2018
5,553 - 2019
8,532 - 2024- projection

--------------

Kenya usd dollar millionaires (>$1m) 2019 wealth report

8,400 -2013
9,176 -2017
9,482 -2018
11,584 -2023 - projection


Kenya usd dollar millionaires (>$1m) 2020 wealth report

800 - 2014
3,399 - 2018
2,900 - 2019
3,309 - 2024



----------------------------------------------------------------------------------


Hebu sasa tupange hizo data za 2019 report na 2020 report zifwatane ki mwaka


TZ Full data consecutive years base on the report

5,700 - 2013
3,000 - 2014
6,216 - 2017
5,118 - 2018
6,429 - 2018
5,553 - 2019
7,616 - 2023
8,532 - 2024



Kenya Full data consecutive years base on the report
8,400 -2013
800 - 2014
9,176 -2017
3,399 - 2018
9,482 -2018
2,900 - 2019
11,584 -2023
3,309 - 2024




Ukiangalia hia data ya Tanzania angalau iko consistent , Lakini ukiangalia hio data ya Kenya ripoti ya 2019 na ya 2020 ni mbingu na nchi e.g 2013 Kenya iko na 8,400 dollar millionaires alafu mwaka mmoja baadae 2014 tumepoteza dollar millionare karibia 8,000!!!!! alafu 2017 wanaongezeka hadi kufika 9,176 alafu ikifika 2019 wanapungua wote hadi 2,900!!!! Hii haiwezekani hapa wamekosea data set moja kati ya 2019, na 2020...





Kenya 2019



Kenya adds 300 dollar millionaires in 2018
 
Aisee umekokotoa... akalipe kodi sasa ama ahusike kwa uhujumu na utakatishaji...
 
Nenda Twitter kwa yule ndii, amedebate vizuri na wakenya wenzako, utapata mwanga zaidi, unless labda hukubaliani nae sababu Ni mpinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The data does not make sense to me as well ..............too many inconsistencies year on year.
 
Millionaires are good for the economy, they build wealth, pay tax, offer services and create employment. The more the millionaires, the more the tax, the cheaper the services and the more the employment.
 
Je kigezo cha kuwa $millionaire ni kuwa na $1m benki? Nani anawatambua hao mamillionea? Je wamewahesabu matajiri wachafu(wanakuwa wachafu wachafu ila ana 2B) wa dhahabu huko Geita?
 
Millionaires are good for the economy, they build wealth, pay tax, offer services and create employment. The more the millionaires, the more the tax, the cheaper the services and the more the employment.

In fact, we need them. And there is no where I mentioned having problem with their existence. Am just fascinated with the kind of arguments around the subject, it turns out the discussion is rounded on mere boasting.

I was expecting constructive critique!
 
Millionaires are good for the economy, they build wealth, pay tax, offer services and create employment. The more the millionaires, the more the tax, the cheaper the services and the more the employment.
Mkuu watu km hao huwa ni wale wazee wa kwny kahawa, so ucpoteze mda wako mwingi kumwelewesha umuhimu wa matajiri ktk nchi ikiwa ata yy mwenyewe anaenda toi kwasabu ya kibarua chake alichoajiriwa na millionaire, ananunua bidhaa dukani kwa miambili yake kwasabu ya millionaires kuzifata ulaya kumletea yy dukani.
 
Hahahaha, hahahaha. Leo ndio unakataa kwasababu wamesema Tanzania ipo juu, kwanini miaka yote huko nyuma hukukataa data zao kwasababu walisema Kenya ipo juu ya Tanzania.

Mambo mawili lazima ukubali japo ni chungu sana kumeza
1)Kenya haina ubavu wa kupambana na Tanzania ktk uchumi
2)Kenya taarifa nyingi sio kweli, wanajaribu kuomyesha kwamba Kenya ipo vizuri, lakini hali halisi ni tofauti sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Analysis kama hizi ndio zilikua enzi zile JF ikiwa JF kabla haijavamiwa na walalahoi wa Tandale, big up sana, ila wachache watashughulisha ubongo kukuelewa.
 
Matajiri ni wale wale tu hakuna matajiri wapya. Tunataka middle class life kwa watanzania wote mamilione wanatuhusu nini watanzania wenye kipato cha chini?
Tulieni jmn ni juhudi za awamu ya tano😅
 
Halafu eti tunaambiwa sijui vyuma vimefanyaje??
Uwe unatumia kichwa kuchambua mambo, yaani watu 114 wenye hela ndio unaona unatoa kejeli? Vipi hawa million 55+ unawazungumziaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…