Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

Ukiangalia ripoti zengine hazi support hio information

Kwa mfano hii hapa inayoonyesha Total wealth ya wananchi wote,, Kenya iko mbali zaidi ya Tanzania.... kama ingekua kweli kwamba Tz ina matajiri wengi wa dollar millionare basi tungeona Tanzania ikiwa juu kwa hesabu za total wealth ukihesabu wakaazi wote.. Simple logic.




Kwahivyo usishtuke ukiskia Knight Frank wakisema wamegundua walikosea na wakarekebisha dollar millionnairs wamefika zaidi ya 12,000 in 2019
 
Nenda Twitter kwa yule ndii, amedebate vizuri na wakenya wenzako, utapata mwanga zaidi, unless labda hukubaliani nae sababu Ni mpinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Ndii ni nani? Wewe hauna akili ya kuona kwamba hizo takwimu za wealth report ya 2019 na ya 2020 haziendani? mpka ndii akwambie??
 
Sakehigh,

Sioni kitu cha maana cha kujibishana nawe katika bandiko lako hili.

Lakini kilicho wazi ni kuwa hakuna popote uliporekebisha katika niliyoandika.

So I reserve my detailed comment on it.

unajua tatizo la wana cdm, hua mnapinga kila kitu kiwe kizuri lazima mpinge, sasa apo taarifa znasema wameweka kando wana siasa wewe umeleta siasa unategemea nn! huoni kama una tatizo kichwan
 
You are right....
 
unajua tatizo la wana cdm, hua mnapinga kila kitu kiwe kizuri lazima mpinge, sasa apo taarifa znasema wameweka kando wana siasa wewe umeleta siasa unategemea nn! huoni kama una tatizo kichwan
Si ndio upuuzi wako huo?

Ni wapiulipoona uhusiano wangu na CHADEMA katika andiko langu hilo!

Unajionyesha ulivyo mtupu kichwani.

"taarifa zinasema" wapi kwamba wameweka wanasiasa kando. Unajua kusoma na kuelewa kilichoandikwa wewe?
 
Si ndio upuuzi wako huo?

Ni wapiulipoona uhusiano wangu na CHADEMA katika andiko langu hilo!

Unajionyesha ulivyo mtupu kichwani.

"taarifa zinasema" wapi kwamba wameweka wanasiasa kando. Unajua kusoma na kuelewa kilichoandikwa wewe?



huna macho au
 


na hapa huna macho pia
 
Si ndio upuuzi wako huo?

Ni wapiulipoona uhusiano wangu na CHADEMA katika andiko langu hilo!

Unajionyesha ulivyo mtupu kichwani.

"taarifa zinasema" wapi kwamba wameweka wanasiasa kando. Unajua kusoma na kuelewa kilichoandikwa wewe?

these easy points are complete to explain how you are very ignorant, thats how your life will always be and forever always! be wise young man and see opportunities or else wewe ni mtu wa kelel kuanza nyerere mpaka sasa magufuli we ni mtu wa kulalamika tu
 
Eeenh, haisaidii kitu mkuu 'Stakehigh'.

Uwezo huna!
 
Kwa jibu hili nadhani tumuombe mleta mada kaka yetu Wakudadavuwa aisome post hii kwa utulivu na ikiwezekana hata airudie mara 10 kisha arudi atuambie ameelewaji kulinganisha na hoja yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, leo ndio unaingia kwa undani kukagua ripoti zao na kutafuta makosa sio?, hadi hapo itakapotoka ripoti tofauti na hii, ila kwa sasa hivi Tanzania imeipita Kenya kwa idadi ya matajiri. Hahahaha, hahahaha. Tunajua mnaumia sana kwasababu ninyi ni watu wa kujikweza na kujipiga kifua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Akina Bantugbro hawawezi fanya analysis Kama hii. Mambo ni ushabiki tu.
 
Kila siku kukitoka habari yoyote inayotaja ripoti flani, mimi hua nasoma hio habari na analysis ya alieandika hio habari, kisha nikimaliza natafuta hio ripoti original na kuichambua mwenyewe kiundani hadi nielewe. Kwahivyo hii si siku ya kwanza kukagua ripoti...
Hata kuna habari zengine hua zinaisifu Kenya alafu ukitafuta original report na kujisomea mwenywe unagundua mwanahabari hakufaa kusherehekea ama hata alikosa ku interpret data vizuri....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…