Jugado
JF-Expert Member
- Oct 28, 2021
- 1,446
- 3,184
Una ushahidi wote wanaokaba ni wacheza kamari? Je kamari ikifutwa ukabaji utaisha/kupungua?Mbona sisi raia wacheza kamari wanaingilia maisha yetu kwa kutukaba na kutunyanganya fedha za kuchezea kamari? Ina maana mpaka hapo hujaona madhara ya kamari kwenye jamii au mpaka uje upigwe roba uvunjwe meno ndipo ujue ubaya wa kamari?