Una ushahidi wote wanaokaba ni wacheza kamari? Je kamari ikifutwa ukabaji utaisha/kupungua?Mbona sisi raia wacheza kamari wanaingilia maisha yetu kwa kutukaba na kutunyanganya fedha za kuchezea kamari? Ina maana mpaka hapo hujaona madhara ya kamari kwenye jamii au mpaka uje upigwe roba uvunjwe meno ndipo ujue ubaya wa kamari?
Kamari kama bangi au madawa mengine ya kulevya yanayochochea uraibu kwa vijana, nayo ina mchango mkubwa kwenye uzalishaji wa mateja wa kamari ambao wakiishiwa fedha huwakaba raia ili wapate fedha za kuchezea kamari.Una ushahidi wote wanaokaba ni wacheza kamari? Je kamari ikifutwa ukabaji utaisha/kupungua?
MaybeKamari kama bangi au madawa mengine ya kulevya yanayochochea uraibu kwa vijana, nayo ina mchango mkubwa kwenye uzalishaji wa mateja wa kamari ambao wakiishiwa fedha huwakaba raia ili wapate fedha za kuchezea kamari.
Jamaa anadhani kuna pesa imedumbukia nn huko 😄
HahahaJamaa anadhani kuna pesa imedumbukia nn huko 😄
Anasema tunaenda kukaba 😀Wacha watu wabet tuu kwanza wanasaidia sectir ya michezo hela inarudi tuu kwa jamii. Ambaye anabet unue ana hela. Kama huna hela huwezi kubet
Kumkaba nani tenaAnasema tunaenda kukaba 😀
Mitaani ili hela ya kamari ipatikane... Uraibu upo ila kukaba not that sureKumkaba nani tena
Kukaba kupo mkuu. Kumbuka vijana wengi wanashinda na kukesha kwenye kamari; hawana njia ya kuwaingizia kipato. Wakiishiwa hela lazima wakabe ili wapate pesa ya kuchezea kamari.Mitaani ili hela ya kamari ipatikane... Uraibu upo ila kukaba not that sure
Okay. Lakini usitegemee serikali ifute kamari. Pesa ina nguvu sanaKukaba kupo mkuu. Kumbuka vijana wengi wanashinda na kukesha kwenye kamari; hawana njia ya kuwaingizia kipato. Wakiishiwa hela lazima wakabe ili wapate pesa ya kuchezea kamari.
Hamna kitu kama hicho bwana...wacha vijana wabet maisha yenyewe nikubet tuu. Uende kwenye kilimo unabet, kazini unabet biashara unabet. So wala wasiwalaume vijana wacha wajikwamue.Mitaani ili hela ya kamari ipatikane... Uraibu upo ila kukaba not that sure
Sawa tuu kwani mbona tunakabwa na wenye nchi kila leoVijana wakiliwa pesa zikaisha kwenye kamari huenda kuwakaba raia ili wapate fedha za kamari.