Tanzania Mbioni Kununua Umeme Kutoka Ethiopia

Watu kama nyie ndio kama kina makamba, maneno mengi, yule mzee hakuwa na mipango ya hivyo, nakwambia tungekuwa tunavuna umeme sasa hivi. Hayo mambo ya kununua umeme ndio wanaiba hela huko.

Ogopa sana watu wanaoongea sana.
 
Duuuuuuuh, This is Tanzania😡
 
Bila shaka Mr. Upara kishafanya yake huko nje 😡
 
Tunaongoza kwa ushirikina. Tunaweza sana kuiba kura, kubambikia kesi wanaokosoa CCM, Rais na Serikali yake, na ufisadi wa kidogo kinachopatikana. Na unafiki wa kusifia kila kotu kinachofanywa na mtawala hata kama kitakuwa hakina maana.
Hahahaaaa.... Usisahau vijana wanahangaika na Ngono zembe.
 
Shameful
 
Ulitaka ununue Kwa.sh.ngapi? Unajua gas unanunua.kwa.sh.ngapi?
Kwanini tununue wakati vyanzo tunavyo? Wakati ethiopia wanajenga 10,000mw sie tunajenga 2000mw.

Uganda na Bukina faso wanajenga 15,000mw kila mmoja sie tunawaza kuagiza kutoka ethiopia, makubwa!
 
Kwanini tununue wakati vyanzo tunavyo? Wakati ethiopia wanajenga 10,000mw sie tunajenga 2000mw.

Uganda na Bukina faso wanajenga 15,000mw kila mmoja sie tunawaza kuagiza kutoka ethiopia, makubwa!
Hatuwezi kuwa tunasubiria vyanzo vikamilike wakati tunaweza pata umeme.
 
Hatuwezi kuwa tunasubiria vyanzo vikamilike wakati tunaweza pata umeme.
Tuunge umeme kutoka ethiopia 2024 tuuzime kwani bwawa litakuwa limekamilika? However, ile mitambo ya 30mw iliyojengwa nyakato mwanza na kikwete inafanyakazi gani?
 
Tuunge umeme kutoka ethiopia 2024 tuuzime kwani bwawa litakuwa limekamilika? However, ile mitambo ya 30mw iliyojengwa nyakato mwanza na kikwete inafanyakazi gani?
Ilizimwa maana ni mitambo ya mafuta
 
umeme utapita wapi, kenya? na unakuja kwa ajili ya nini? SGR? kwani Bwawa la Nyerere si walisema tutatumia hadi utabaki? au
 
Ilizimwa maana ni mitambo ya mafuta
Wakati tunajenga hatukujua inatumia mafuta? Kwahiyo ile pesa imekwenda bure? Kwanini isingebaki kama standby generator ingetumika kipindi hiki cha mgao!
 
umeme utapita wapi, kenya? na unakuja kwa ajili ya nini? SGR? kwani Bwawa la Nyerere si walisema tutatumia hadi utabaki? au
Umewahi sikia kitu inaitwa East Africa power pool? Kama hujui basi jua tuu kwamba Grid inaunganishwa kuanzia Ethiopia hadi Sadc via Kenya,Tanzania na Zambia
 
Serikali ya CCM achieni nchi kwa wenye uwezo wa kuiongoza. Kwa miaka 60 ya uhuru na rasilimali tulizonazo Tanzania sio ya kununua umeme nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…