Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Ni pale tu tunaposubiri uchaguzi ufanyike na si vinginevyo. Wewe hoja yako ilikuwa siyo hiyo unayoleta sasa. Ulidai serikali ni muhilili uliokamilifu, hautegemei mingine jambo ambalo siyo kweli. Sijakutukana!!
!
Matusi Au Kejeli Hazitusaidii Sana Mkuu. Nchi Inaweza Kwenda Bila Bunge Wala Mawaziri. Bunge Au Baraza La Mawaziri Linapovunjwa Selikali Huendelea Na Shughuli Zake Kama Kawaida, Huku Ikiandaa Na Kutkeleza Utaratibu Wa Kupata Bunge Lingine.
Ni pale tu tunaposubiri uchaguzi ufanyike na si vinginevyo. Wewe hoja yako ilikuwa siyo hiyo unayoleta sasa. Ulidai serikali ni muhilili uliokamilifu, hautegemei mingine jambo ambalo siyo kweli. Sijakutukana!
Kiongozi, kabla bunge halijapiga kura ya kutokuwa na imani na MKUU, mkuu anapewa official notice ya jambo hilo prior. Yaani, umepanga kumuacha mkeo, kabla ya kumuacha ni lazima umpe taarifa kuwa NAKUSUDIA KUKUACHA rasmi wiki ijayo, kaa ukijua hilo. Yeye anaweza amua kukuacha wewe kabla ya tarehe uliyopanga au akakuacha utende ulilodhamiria pengine atapata HURUMA ya umma.Bunge linaweza kumtoa Rais madarakani kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae.
Yap nimekuelewa!ukichunguza vizuri hii mihimili miwili haiko sawa kwasababu rais humteua Jaji na kumwapisha lakini Jaji humwapisha rais pekee.
Sent using Jamii Forums mobile app
“Deep State” kwa tafsiri isiyo rasmi ni “Waundaji na Waendeleza Taifa”. Tanzania neno “System” (Mfumo) huwa linatumiwa sana kumaanisha deep state lakini kiuhalisia deep state sio system. System ni mojawapo ya zao dogo tu la deep state na inaweza kusambaratishwa wakati wowote.Is the presidency of 6th regime captured by a wrong state establishment?
I foresee from a shorter a distance an impeachment motion in the national assembly. Big changes are on the way, they be willing to find out hiding grounds for the atrocities they commited but it will be too late.......................Jiandaye kisaikolojia.Salaam.
Wakuu, ukisoma maswala ya Babeli kwenye Biblia Mwanzo 11:1-9, unaambiwa kwamba, "Kwanza, watu wote duniani walikuwa na lugha moja na walitumia maneno yaleyale" .
Ukisoma 7 unaambiwa.. "Haya, na tushuke chini na kuivuruga lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.” Mwisho wa kunukuu. Nchi yetu sasa hivi tunashuhudia kila Mwenye Cheo anaongea lugha yake.
Ni wakati wa kuombea taifa ili watendaji na wale wenye Mamlaka watende haki katika kutimiza Majukumu yao.
Katika kuleta usawa, tusiangalie huyu ni Sukuma gang mwenzangu, au huyu ni wa kaskazini tumsingizie kuua Viongozi wa Serikali , au Huyu anatokea Nungwi sisi tunatokea Nangurukuru hivyo hatuhusu, au huyu anatupigia kelele tukiwa tunakula Keki ya taifa tumpe kesi ya Ugaidi ili tufaidi nchi kwa raha.
Ni jukumu la kila Mtu kwa nafasi yake kuhakikisha anatenda haki kwa wote. Vyama vya Siasa vipo kuleta Demokrasia sio chuki na Uhasama..
Wafu ambao hawajaacha maandishi, kuwalinda na kuwatetea na kukumbukwa ni ngumu sana. Hata Nyerere anaishi kwa Vitabu vyake.
Nani asimame Nchi ipone?
#Katibampya.
View attachment 1896416
Actually 5th RegimeIs the presidency of 6th regime captured by a wrong state establishment?
We dada upo? I miss youActually 5th Regime