Tanzania: Mihimili mitatu ya Dola na mwingiliano unaokanganya

Hata hukumu ya Sabaya, imetolewa kwa maagizo, ndiyo TiSS maana akapewa nafasi ya kuhukumu. Kutokana na maelezo ya wengi, na kauli yake mwenyewe, Sabaya ni mhalifu, lakini shauri lake lilistahili kupita kwenye mfumo huru wa mahakama, si kama alivyotendewa.
Huyu bibi watu walikuwa wanamshangilia sasahivi hawana hamu naye
 
Jajai wa ajabu anafanana tabia na yule kaijage

Kinadharia, Tanzania ina mihimili mitatu ya utawala, SERIKALI, BUNGE NA MAHAKAMA.

Kuanzia awamu ya 5, kimamlaka, mihimili yote mitatu imekufa, umezaliwa mhimili mmoja tu, wa RAIS.

Ndiyo maana unasikia Rais ametoa hela, Rais ameiagiza mahakama, Rais amilikemea bunge.

Ukiona kuna mradi mzuri umejengwa kuwahudumia wananchi, ujue ni Rais.

Ukiona watu wasio na hatia wanapigwa virungu, ujue ni Rais.

Ukiona watu wanafutiwa kesi za kubambikiziwa, uje ni Rais.

Ukiona watu wanabambikiziwa kesi na kusoteshwa mahabusu, ujue ni Rais.

Ukiona viongozi wakubwa au wanafungwe au kusoteshwa mahabusu, ujue ni Rais.

Uhuru wa mahakama umeachwa kwa wezi wa kuku, vitunguu na nyanya.

Uhuru wa Bunge, umeachwa katika kuipongeza Serikali tu!

Rais aliagiza akina Rugemarila, wakae ndani, wakaa ndani. Rais mwinhine akaagiza akina Rugemarilla watolewe, wakatolewa. Kama tungekuwa na mahakama, Rugemarilla na wenzake ama wasingesoteshwa mahabusu, au kama wangekuwa wana kesi, basi wasingetolewa kwa vile tu Rais amebadilika.

Kwa sasa hakuna linalofanyika, liwe jema au baya, bila hiari ya Rais. Na juzi jaji mkuu akakazia kuwa majaji wanapotoa hukumu wasiangalie tu sheria inasema nini bali waangalie pia mahitaji ya mihimili mingine, na kwa vile mihimili yote practically imekufa, alimaanisha majaji waangalie Rais anataka nini.

Mbowe atafungwa au kuachiwa, kutegemea Rais, kama mhimili, atataka nini. Majaji na mahakimu wamekuwa visemeo tu vya mhimili mpya, wa RAIS.

Taifa lipo kwenye hali ngumu sana kwa sababu lipo kwenye maamuzi ya mtu mmoja ambaye kikatiba wala siyo miongoni mwa ile mihimili mitatu, yeye ni kiongozi tu wa mhimili mmoja.

Tupiganie tupate katiba mpya au tuishi kama mbwa au paka anayependwa au kuchukiwa na bwana wake.
 
Tusitegemee KAMWE kwamba hawa wahuni wa maccm ambao wameshahitimisha kwamba hawawezi kuingia madarakani KIHALALI wakishaingia madarakani kwa njia zao HARAMU kupitia wizi, uporaji, vitisho na hata mauaji wasimamie na kulinda HAKI, UHURU na USAWA wa raia, vyama vya siasa na vyombo vya habari.

...Umeiweka vizuri sana ndugu..Nimekuelewa sanaaa na ni fact tupu
 
Anguko la utawala dharimu wa ccm umekalibia
 
Rais akiwa mchapakazi ma akaonekana kuwa bora kiasi kwamba mihimili na watendaji wengine hawaonekani ni kosa lake? Magufuli utendaji wake umeipa heshima kubwa mno kiti cha Rais
 
Kwa Sukuma gang
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kwani hii katiba mbovu inaruhusu rais kua juu ya mihimili mingine? Na je hiyo mpya iataleta matunda gani? Ndugu mtoa mada.
 
Kinadharia, Tanzania ina mihimili mitatu ya utawala, SERIKALI, BUNGE NA MAHAKAMA.

Kuanzia awamu ya 5, kimamlaka, mihimili yote mitatu imekufa, umezaliwa mhimili mmoja tu, wa RAIS.

Ndiyo maana unasikia Rais ametoa hela, Rais ameiagiza mahakama, Rais amilikemea bunge.

Ukiona kuna mradi mzuri umejengwa kuwahudumia wananchi, ujue ni Rais.

Ukiona watu wasio na hatia wanapigwa virungu, ujue ni Rais.

Ukiona watu wanafutiwa kesi za kubambikiziwa, uje ni Rais.

Ukiona watu wanabambikiziwa kesi na kusoteshwa mahabusu, ujue ni Rais.

Ukiona viongozi wakubwa au wanafungwe au kusoteshwa mahabusu, ujue ni Rais.

Uhuru wa mahakama umeachwa kwa wezi wa kuku, vitunguu na nyanya.

Uhuru wa Bunge, umeachwa katika kuipongeza Serikali tu!

Rais aliagiza akina Rugemarila, wakae ndani, wakaa ndani. Rais mwinhine akaagiza akina Rugemarilla watolewe, wakatolewa. Kama tungekuwa na mahakama, Rugemarilla na wenzake ama wasingesoteshwa mahabusu, au kama wangekuwa wana kesi, basi wasingetolewa kwa vile tu Rais amebadilika.

Kwa sasa hakuna linalofanyika, liwe jema au baya, bila hiari ya Rais. Na juzi jaji mkuu akakazia kuwa majaji wanapotoa hukumu wasiangalie tu sheria inasema nini bali waangalie pia mahitaji ya mihimili mingine, na kwa vile mihimili yote practically imekufa, alimaanisha majaji waangalie Rais anataka nini.

Mbowe atafungwa au kuachiwa, kutegemea Rais, kama mhimili, atataka nini. Majaji na mahakimu wamekuwa visemeo tu vya mhimili mpya, wa RAIS.

Taifa lipo kwenye hali ngumu sana kwa sababu lipo kwenye maamuzi ya mtu mmoja ambaye kikatiba wala siyo miongoni mwa ile mihimili mitatu, yeye ni kiongozi tu wa mhimili mmoja.

Tupiganie tupate katiba mpya au tuishi kama mbwa au paka anayependwa au kuchukiwa na bwana wake.
Mungu abariki tumbo lililokuzaa
 
Mkuu umesema yote. Wenye kujali watajali. Wasiojali hawatajali.

Bila shaka hata wewe unajua kuwa ulichoandika hapa sio habari ngeni. Wanasema tuangalie tulipojikwaa; sio tulipoangukia. Mfumo wa uongozi wa nchi yetu ulijengwa kwa mtindo huo tangu tupate uhuru. UKUU WA RAIS. Ulisikia kilichowapata waliojaribu kupinga hilo - kina Kambona na wengineo.

Mwalimu Nyerere alipokuwa njiani kung’atuka 1984 alifanya marekebisho kidogo kupunguza udikteta. 1992 akapindua meza kuharakisha mfumo wa vyama vingi. Akakiri mwenyewe jinsi katiba inavyoweza kufanya tuwe na Rais ambaye anaweza kuwa dikteta mbaya sana. Halafu akalalamika kwamba warithi wake wamechukua mabaya “yetu” yote na kuacha mazuri. Nyerere alipenda kutumia wingi hata kwa makosa yake binafsi. To be fair hata kwa mazuri.

Magufuli ndio aliyetudhihirishia kwa vitendo jinsi ubovu wa mfumo wetu wa uongozi unavyoweza kulitesa na hata kuliangamiza taifa. HAKUANZISHA KIPYA. Alitumia madaraka yake ya Rais kwenye mfumo aliorithi kufanya anachotaka bila kujali vipengele vingine vya katiba wala sheria. Mrithi wake naye anaendeleza libeneke. Katiba mpya - baadaye.

Rais wa Tanzania ana madaraka yote juu ya kila kitu na juu ya kila mtu ndani ya nchi hii. Anaweza kuagiza chochote kikafanyika bila kuhojiwa. Hata kupiga risasi mtu asiyemjua barabarani. Inategemea na uzima wa akili na roho yake. Askari wenye mdadi wa kumfurahisha bosi hawakosekani.

Hakuna namna watumishi wa umma wanaweza kwenda kinyume na Rais hata kwenye kukiuka sheria na maadili. Kuna kazi mtu asipokubali anaweza kufukuzwa au kujiuzulu. Lakini zipo ambazo ana hatari ya kuangamizwa.
 
Hoja za aina hii zilitakiwa zianze wakati wa hukumu ya Sabaya afu ndo wangemalizia katika hii hukumu ya Mbowe. Ila isiwe ile ya kunya anye kuku afu kwa bata ionekane kaharisha.
Kwa hiyo unataka kusema na Sabaya naye amebambikiwa ule upuuzi wake wa kupora watu fedha zao! Tena akiwa na silaha, mchana kweupe, na cctv camera zikimuonesha!

Jitahidi mkuu kuongeza uwezo wako wa kufikiri. Maana uko chini sana. Fuatilia kesi zote kwa umakini na pasipo na ushabiki maandazi, halafu utaupata ukweli.
 
Tunapofika mahali tukaacha kujadili uzi uliopo mezani na kuanza kulumbana kwa maneno ya kuhudhi ,kiukweli haileti picha nzuri. Iko wazi kuwa hatuwezi kukubaliana kimawazo na kimtazamo humu lakini tofauti hizo zijengwe via hoja na sio matusi na maneno ya kuhudhi. Kwakweli si jambo jema watu badilikeni ni aibu ma great thinker hawawi hivyo.
 
Hivi hamkuelewa lile somo la mhimili uliojichimbia zaidi ? Hakuna mhimili wowote uliokufa
 
Kinadharia, Tanzania ina mihimili mitatu ya utawala, SERIKALI, BUNGE NA MAHAKAMA.

Kuanzia awamu ya 5, kimamlaka, mihimili yote mitatu imekufa, umezaliwa mhimili mmoja tu, wa RAIS.

Ndiyo maana unasikia Rais ametoa hela, Rais ameiagiza mahakama, Rais amilikemea bunge.

Ukiona kuna mradi mzuri umejengwa kuwahudumia wananchi, ujue ni Rais.

Ukiona watu wasio na hatia wanapigwa virungu, ujue ni Rais.

Ukiona watu wanafutiwa kesi za kubambikiziwa, uje ni Rais.

Ukiona watu wanabambikiziwa kesi na kusoteshwa mahabusu, ujue ni Rais.

Ukiona viongozi wakubwa au wanafungwe au kusoteshwa mahabusu, ujue ni Rais.

Uhuru wa mahakama umeachwa kwa wezi wa kuku, vitunguu na nyanya.

Uhuru wa Bunge, umeachwa katika kuipongeza Serikali tu!

Rais aliagiza akina Rugemarila, wakae ndani, wakaa ndani. Rais mwinhine akaagiza akina Rugemarilla watolewe, wakatolewa. Kama tungekuwa na mahakama, Rugemarilla na wenzake ama wasingesoteshwa mahabusu, au kama wangekuwa wana kesi, basi wasingetolewa kwa vile tu Rais amebadilika.

Kwa sasa hakuna linalofanyika, liwe jema au baya, bila hiari ya Rais. Na juzi jaji mkuu akakazia kuwa majaji wanapotoa hukumu wasiangalie tu sheria inasema nini bali waangalie pia mahitaji ya mihimili mingine, na kwa vile mihimili yote practically imekufa, alimaanisha majaji waangalie Rais anataka nini.

Mbowe atafungwa au kuachiwa, kutegemea Rais, kama mhimili, atataka nini. Majaji na mahakimu wamekuwa visemeo tu vya mhimili mpya, wa RAIS.

Taifa lipo kwenye hali ngumu sana kwa sababu lipo kwenye maamuzi ya mtu mmoja ambaye kikatiba wala siyo miongoni mwa ile mihimili mitatu, yeye ni kiongozi tu wa mhimili mmoja.

Tupiganie tupate katiba mpya au tuishi kama mbwa au paka anayependwa au kuchukiwa na bwana wake.
Umeandika vizuri na huu ndio ukweli wa nchi yetu tujipange tupiganie taifa letu.
 
Back
Top Bottom