Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu bibi watu walikuwa wanamshangilia sasahivi hawana hamu nayeHata hukumu ya Sabaya, imetolewa kwa maagizo, ndiyo TiSS maana akapewa nafasi ya kuhukumu. Kutokana na maelezo ya wengi, na kauli yake mwenyewe, Sabaya ni mhalifu, lakini shauri lake lilistahili kupita kwenye mfumo huru wa mahakama, si kama alivyotendewa.
Kinadharia, Tanzania ina mihimili mitatu ya utawala, SERIKALI, BUNGE NA MAHAKAMA.
Kuanzia awamu ya 5, kimamlaka, mihimili yote mitatu imekufa, umezaliwa mhimili mmoja tu, wa RAIS.
Ndiyo maana unasikia Rais ametoa hela, Rais ameiagiza mahakama, Rais amilikemea bunge.
Ukiona kuna mradi mzuri umejengwa kuwahudumia wananchi, ujue ni Rais.
Ukiona watu wasio na hatia wanapigwa virungu, ujue ni Rais.
Ukiona watu wanafutiwa kesi za kubambikiziwa, uje ni Rais.
Ukiona watu wanabambikiziwa kesi na kusoteshwa mahabusu, ujue ni Rais.
Ukiona viongozi wakubwa au wanafungwe au kusoteshwa mahabusu, ujue ni Rais.
Uhuru wa mahakama umeachwa kwa wezi wa kuku, vitunguu na nyanya.
Uhuru wa Bunge, umeachwa katika kuipongeza Serikali tu!
Rais aliagiza akina Rugemarila, wakae ndani, wakaa ndani. Rais mwinhine akaagiza akina Rugemarilla watolewe, wakatolewa. Kama tungekuwa na mahakama, Rugemarilla na wenzake ama wasingesoteshwa mahabusu, au kama wangekuwa wana kesi, basi wasingetolewa kwa vile tu Rais amebadilika.
Kwa sasa hakuna linalofanyika, liwe jema au baya, bila hiari ya Rais. Na juzi jaji mkuu akakazia kuwa majaji wanapotoa hukumu wasiangalie tu sheria inasema nini bali waangalie pia mahitaji ya mihimili mingine, na kwa vile mihimili yote practically imekufa, alimaanisha majaji waangalie Rais anataka nini.
Mbowe atafungwa au kuachiwa, kutegemea Rais, kama mhimili, atataka nini. Majaji na mahakimu wamekuwa visemeo tu vya mhimili mpya, wa RAIS.
Taifa lipo kwenye hali ngumu sana kwa sababu lipo kwenye maamuzi ya mtu mmoja ambaye kikatiba wala siyo miongoni mwa ile mihimili mitatu, yeye ni kiongozi tu wa mhimili mmoja.
Tupiganie tupate katiba mpya au tuishi kama mbwa au paka anayependwa au kuchukiwa na bwana wake.
"Moyo wa mtu msitu" acha nimuamini Mungu wangu, wazazi wangu na mimi mwenyewe nafsi yangu... Full stop.

...Umeiweka vizuri sana ndugu..Nimekuelewa sanaaa na ni fact tupuKinadharia, Tanzania ina mihimili mitatu ya utawala, SERIKALI, BUNGE NA MAHAKAMA.

Rais akiwa mchapakazi ma akaonekana kuwa bora kiasi kwamba mihimili na watendaji wengine hawaonekani ni kosa lake? Magufuli utendaji wake umeipa heshima kubwa mno kiti cha Rais
Jibu lako ni la mlevi wa gongo au kichaa.Ulichoandika ni ujinga mtupu. Sema ndo hivyo unalinda kibarua chako kisiingie mchanga.
Mungu abariki tumbo lililokuzaaKinadharia, Tanzania ina mihimili mitatu ya utawala, SERIKALI, BUNGE NA MAHAKAMA.
Kuanzia awamu ya 5, kimamlaka, mihimili yote mitatu imekufa, umezaliwa mhimili mmoja tu, wa RAIS.
Ndiyo maana unasikia Rais ametoa hela, Rais ameiagiza mahakama, Rais amilikemea bunge.
Ukiona kuna mradi mzuri umejengwa kuwahudumia wananchi, ujue ni Rais.
Ukiona watu wasio na hatia wanapigwa virungu, ujue ni Rais.
Ukiona watu wanafutiwa kesi za kubambikiziwa, uje ni Rais.
Ukiona watu wanabambikiziwa kesi na kusoteshwa mahabusu, ujue ni Rais.
Ukiona viongozi wakubwa au wanafungwe au kusoteshwa mahabusu, ujue ni Rais.
Uhuru wa mahakama umeachwa kwa wezi wa kuku, vitunguu na nyanya.
Uhuru wa Bunge, umeachwa katika kuipongeza Serikali tu!
Rais aliagiza akina Rugemarila, wakae ndani, wakaa ndani. Rais mwinhine akaagiza akina Rugemarilla watolewe, wakatolewa. Kama tungekuwa na mahakama, Rugemarilla na wenzake ama wasingesoteshwa mahabusu, au kama wangekuwa wana kesi, basi wasingetolewa kwa vile tu Rais amebadilika.
Kwa sasa hakuna linalofanyika, liwe jema au baya, bila hiari ya Rais. Na juzi jaji mkuu akakazia kuwa majaji wanapotoa hukumu wasiangalie tu sheria inasema nini bali waangalie pia mahitaji ya mihimili mingine, na kwa vile mihimili yote practically imekufa, alimaanisha majaji waangalie Rais anataka nini.
Mbowe atafungwa au kuachiwa, kutegemea Rais, kama mhimili, atataka nini. Majaji na mahakimu wamekuwa visemeo tu vya mhimili mpya, wa RAIS.
Taifa lipo kwenye hali ngumu sana kwa sababu lipo kwenye maamuzi ya mtu mmoja ambaye kikatiba wala siyo miongoni mwa ile mihimili mitatu, yeye ni kiongozi tu wa mhimili mmoja.
Tupiganie tupate katiba mpya au tuishi kama mbwa au paka anayependwa au kuchukiwa na bwana wake.
Asante...Umeiweka vizuri sana ndugu..Nimekuelewa sanaaa na ni fact tupu
Halafu unamkuta ana sijida kama kitumbua ati anamuogopa Mungu kumbe fiksi tu.jaji Siyani
Watanzania tuache kulalamika sasa tufanye vitendo hii Nchi sio ya CCM tu.Halafu unamkuta ana sijida kama kitumbua ati anamuogopa Mungu kumbe fiksi tu.
Kinadharia, Tanzania ina mihimili mitatu ya utawala, SERIKALI, BUNGE NA MAHAKAMA.
Kuanzia awamu ya 5, kimamlaka, mihimili yote mitatu imekufa, umezaliwa mhimili mmoja tu, wa RAIS.
Ndiyo maana unasikia Rais ametoa hela, Rais ameiagiza mahakama, Rais amilikemea bunge.
Ukiona kuna mradi mzuri umejengwa kuwahudumia wananchi, ujue ni Rais.
Ukiona watu wasio na hatia wanapigwa virungu, ujue ni Rais.
Ukiona watu wanafutiwa kesi za kubambikiziwa, uje ni Rais.
Ukiona watu wanabambikiziwa kesi na kusoteshwa mahabusu, ujue ni Rais.
Ukiona viongozi wakubwa au wanafungwe au kusoteshwa mahabusu, ujue ni Rais.
Uhuru wa mahakama umeachwa kwa wezi wa kuku, vitunguu na nyanya.
Uhuru wa Bunge, umeachwa katika kuipongeza Serikali tu!
Rais aliagiza akina Rugemarila, wakae ndani, wakaa ndani. Rais mwinhine akaagiza akina Rugemarilla watolewe, wakatolewa. Kama tungekuwa na mahakama, Rugemarilla na wenzake ama wasingesoteshwa mahabusu, au kama wangekuwa wana kesi, basi wasingetolewa kwa vile tu Rais amebadilika.
Kwa sasa hakuna linalofanyika, liwe jema au baya, bila hiari ya Rais. Na juzi jaji mkuu akakazia kuwa majaji wanapotoa hukumu wasiangalie tu sheria inasema nini bali waangalie pia mahitaji ya mihimili mingine, na kwa vile mihimili yote practically imekufa, alimaanisha majaji waangalie Rais anataka nini.
Mbowe atafungwa au kuachiwa, kutegemea Rais, kama mhimili, atataka nini. Majaji na mahakimu wamekuwa visemeo tu vya mhimili mpya, wa RAIS.
Taifa lipo kwenye hali ngumu sana kwa sababu lipo kwenye maamuzi ya mtu mmoja ambaye kikatiba wala siyo miongoni mwa ile mihimili mitatu, yeye ni kiongozi tu wa mhimili mmoja.
Tupiganie tupate katiba mpya au tuishi kama mbwa au paka anayependwa au kuchukiwa na bwana wake.
Kwa hiyo unataka kusema na Sabaya naye amebambikiwa ule upuuzi wake wa kupora watu fedha zao! Tena akiwa na silaha, mchana kweupe, na cctv camera zikimuonesha!Hoja za aina hii zilitakiwa zianze wakati wa hukumu ya Sabaya afu ndo wangemalizia katika hii hukumu ya Mbowe. Ila isiwe ile ya kunya anye kuku afu kwa bata ionekane kaharisha.
Umeandika vizuri na huu ndio ukweli wa nchi yetu tujipange tupiganie taifa letu.Kinadharia, Tanzania ina mihimili mitatu ya utawala, SERIKALI, BUNGE NA MAHAKAMA.