Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Mfano ni mim simuamini muhamadi kama ni nabii naona ni janja ya shetani kumsumbua binadam kupitia mapepo yalomuingia muhamad
 
Kwa wezi ndio, lakini kabla ya kumkata mkono inatakiws mjiridhishe kuwa alipatiwa fursa ya kujichumia kipato chake kihalali. Mfano, anafanya kazi serikalini, anapokea mshahara halafu hapo hapo anaiba, huyo ni wa kukatwa mkono tu, au unaonaje?
Mi naamini kwenye msamaha, hapo itakuwaje?
 
Hii nchi tunapoelekea!! Imagine mtu kama huyu ndo awe kiongozi hapo mbeleni.Anyway hayo ni mawazo yako Kuna kipindi niliwahi skia hii nchi ilibakia kiduchu iwe Islamic state usiniulize kipindi gani.
 
Mfano ni mim simuamini muhamadi kama ni nabii naona ni janja ya shetani kumsumbua binadam kupitia mapepo yalomuingia muhamad
Ambayo leo hii mapepo mmekua mkiyaita ni viumbe vya mungu uku mkiswali navyo misikitini na kuyafuga kwamba yanawasaidia katika mambo kama albadil na mengine ambayo ipo wazi ni ushetani mnafanya.
 
USA,China,Malaysia,Thailand,South Africa,Turkiye,UK,Canada,Scandinavia countries,hizi nchi zote hazitumii huo mwongozo unaopendekeza,na ni nchi zilizoendelea,
Mwongozo unaopendekeza unatumika Pakistan, Afghanistan,Iran,Saudia,may be na Qatar.
Sasa linganisha maendeleo,nchi yetu shida yake kubwa ni ccm,ccm ni majambazi kikundi Cha majizi wapo pale kujinufaisha TU,hawakuchaguliwa na mtu!
Katiba ya ki secural kama ya Kenya,ndio tunayohitaji.
Hata kule zenj,kenge wote wanaosifiwa kuwa waliongoza mapinduzi,Sasa hv tunajua wakati wa mapinduzi walikuwa wamejificha Dar!Karume hwkuwa uwanja wa vita,alifichwa Dar na Nyerere,
Katiba mpya ndio inahitajika kuweka mambo sawa
 
Bibi, ebu tafuta ugali wako ule ulale.
Katiba haitaweka ugali mezani.wenye nchi wanaendelelea kutafuna huko juu.
We unaangaishana na makurasa sijui katiba.
 
Kwanza ndio maana allah anajua kiarabu tu na siku ya qiyamah atakuwa anaongea kiarabu tu.


Unaonaje baada ya hilo tuweke kiarabu kuwa lugha ya taifa?

Hahahahah!
Kiarabu lugha ya Kimataifa tayari, hilo lisikupe shida.

Pata shida kwa matatizo tuliyonayo Tanzania hivi sasa, nini ufumbuzi wake?
 
Simple.
Sisi tunapinga mtoto ambae bado hajakomaa kuolewa kwa sababu:
1. Hajafikia umri wa kuweza kuchanganua kati ya ubaya na uzuri.
2. Maumbile yake hayaja komaa kumruhusu kuzaa bila kuathirika.
Ndio maana watoto wa praimari na sekondari hawaruhusiwi kuolewa au kuoa. Ndio maana ukitembea na msichana mwenye umri chini ya miaka 16 unahesabika kuwa umebaka hata kama aliridhia. Nyie mnataka kuoa watoto wa miaka minane. Sisi tunasema akifikia umri wa kuweza kuolewa hata kama yuko chuoni anaweza kuolewa.

Hakuna kampeni inayofanywa ya kushawishi vijana wa kiume kuolewa au wa kike kuoa. Kinachofanyika ni kusema watu wa jinsia moja waliofikia umri ya kuweza kufanya maamuzi hayo waruhusiwe kufanya maamuzi. Na hii inafanyika na watu wa dini zote na sio wa dini yetu peke yao. Kuna madhehebu katika dini yetu yanapinga ndoa za namna hii kwa sauti kubwa.

Suala la uvaaji wa hijab lilipingwa kwa sababu kwa wakati ule katika shule za serikali hawakutaka masuala ya dini za wanafunzi kupewa kipaumbele. Watu wakajadiliana na walipoona haina athari ikaruhusiwa. Lakini siku zote katika shule za dini yenu mliruhusiwa kuweka mkazo katika uvaaji wa hijab hata kwa wale ambao sio wa dini yenu.

Sheria ya ugaidi inahusu watu wa dini zote. Ndio maana katika nchi za magharibi vikundi kama IRA vinatambulika kuwa ni vya kigaidi ingawa wengi wao ni wakatoliki. Sehemu nyingine watu wa imani yenu wamefanya ( na wanaendelea kufanya ) vitendo viovu kama kuwachinja hadharani watu wasiokubaliana na dini yao, kuingia kwenye sehemu za biashara, za usafiri, za starehe n.k. na kuua watu wasiokuwa na hatia yeyote na kusema wazi kuwa wanafanya vitendo hivyo kutokana na imani yao. Ndio maana hata hapa kwetu waliowafungulia mashitaka ya ugaidi watu wa dini yenu walikuwa ni wenzenu. Na walifanya hivi baada ya kutokea vitendo viovu kama hivyo au baadhi ya viongozi wenu kuhimiza kuwa yatendeke. Ndio maana kiongozi wa kisiasa mwenye dini yetu aliweza kufunguliwa mashtaki ya ugaidi na hamna aliyesema kuwa alifanyiwa hivyo kwa sababu ya dini yake.

Marxism hautokani na atheism. Na atheism sio upagani. Atheist haamini katika dini ya aina yeyote lakini mpagani anaamini katika miungu yake ambao wanaweza kuwa ni vitu kama jua au kuwa miungu yake wako katika milima, mapori n.k.

Na kuna tofauti kati ya ujamaa na umarxism. Wajamaa ( socialists) wengi kama Nyerere walikuwa na dini zao na ma marxist wengi hawana imani katika mifumo ya dini. Ndio maana nchi yetu haijawahi kuzuia dini yeyote ile kwa msingi tu wa imani yake. Kinachozuiwa ni dini yeyote kuingilia uhuru wa watu wasio wa dini yake. Ndio maana Mashahidi wa Yehova kwa muda mrefu walikuwa wamebanwa.

Katiba haiwezi kumtaja Mungu kwa sababu sio wote wanamtambua Mungu. Kutomtambua Mungu sio kosa la jinai.

Aliyekwambia kuwa ujamaa ni atheism alikudanganya. Ujamaa hauhusiani kabisa na atheism.

Sio kila imani ni dini. Kuna itikadi za mambo ya kisiasa au uchumi na watu wanakuwa na imani nazo huku wakiendelea kuwa na dini zao. Ndio maana tuna mabepari wengi wa dini yenu na wanaendelea kushikilia dini yao wakati wakiwa na imani katika ubepari.

Hatuwezi kuwa na serikali ya dini zote kwa sababu kwa kufanya hivyo :
1. Kutawapa upendeleo wenye dini dhidi ya wasio na dini.
2. Kuna dini zitataka zipewe upendeleo dhidi ya nyingine. Ndio maana kila siku tunazungumza kana kwamba nchi yetu ina dini mbili tu wakati tuna wapagani, wahindu, wabaha'i, rastafarian, mabuddhist, zoroastrians na wengine wengi.

Hapana, hamna serikali ya dini nyingi inayoweza kudumu. Serikali ibakie bila dini ila raia wawe huru kuwa na dini wanayoitaka. Wote watambuliwe sawa mbele ya serikali bila kujali dini ya watawala.

Serikali kutokuwa na dini ndio kumefanya ndoa za zaidi ya mke mmoja kutambulika kisheria ingawa dini yetu haizitambui. Ndio kunawapa haki ya kuswali kama ambavyo mnavyotakiwa na dini yenu bila kujali kuwa ni wakati wa kufanya kazi. Ndio kumeruhusu vitu kama talaka na mirathi kusimamiwa chini ya sheria za dini yenu.

Amandla...
 
QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN

1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????

2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????

JIBU NI SHETANI.

SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
 
MAJINI YANATUVURUGA SANA .

MAJINI YANAHARIBU VICHWA VYA WATU.

MAJINI NA SHETANI YAPO MNAISHI NAYO KWASABABU YALI SILIMU
 
Nchi zenye sharia hazina maendeleo.

Uislam ni dini isiyotambulika kwangu pamoja na sharia zake.

Kwa yoyote atakayetaka islanic state aende kwenye nchi ambazo tayari ni islamic state.

Madness shall never end.
 
L

Licha kuiuchukia Uislamu lakini una Chuki na Mtume wetu Muhammad Salla llahu alayhi wasalam .Na mimi nitakuwa shahidi siku ya kiyama kwa uzushi wako.Wewe si kwanza kwa uzushi wako na hutakuwa wa mwisho.
Acha ubishi kijana hizo sio propaganda bali ni facts.

Unabisha mtume hakulala na binti mdogo?

Usitumie hisia kufikiri. Tumia hicho kichwa ulichopewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…