Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,377
- 2,800
Mfano ni mim simuamini muhamadi kama ni nabii naona ni janja ya shetani kumsumbua binadam kupitia mapepo yalomuingia muhamad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilo ni tatizo la mtu sio sheria apo tunahijltaj viongoz watendaji co kubadili sheriaReport za CAG kila mwaka zinatoka, kiongozi gani amechukuwa hatua?
Mi naamini kwenye msamaha, hapo itakuwaje?Kwa wezi ndio, lakini kabla ya kumkata mkono inatakiws mjiridhishe kuwa alipatiwa fursa ya kujichumia kipato chake kihalali. Mfano, anafanya kazi serikalini, anapokea mshahara halafu hapo hapo anaiba, huyo ni wa kukatwa mkono tu, au unaonaje?
Wezi wengi ni wanaccm wenzako. Watakubali kweli?Najuwa unashangaa lakini moyoni unasema kweli huu ndiyo mwarubaini wetu.
Ambayo leo hii mapepo mmekua mkiyaita ni viumbe vya mungu uku mkiswali navyo misikitini na kuyafuga kwamba yanawasaidia katika mambo kama albadil na mengine ambayo ipo wazi ni ushetani mnafanya.Mfano ni mim simuamini muhamadi kama ni nabii naona ni janja ya shetani kumsumbua binadam kupitia mapepo yalomuingia muhamad
USA,China,Malaysia,Thailand,South Africa,Turkiye,UK,Canada,Scandinavia countries,hizi nchi zote hazitumii huo mwongozo unaopendekeza,na ni nchi zilizoendelea,Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Bibi, ebu tafuta ugali wako ule ulale.Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Kiarabu lugha ya Kimataifa tayari, hilo lisikupe shida.Kwanza ndio maana allah anajua kiarabu tu na siku ya qiyamah atakuwa anaongea kiarabu tu.
Unaonaje baada ya hilo tuweke kiarabu kuwa lugha ya taifa?
Hahahahah!
[emoji23][emoji23]Ujadiliane na nani?....peleka bakwata hoja hii
Simple.Simple.
Sio kuuwa bali kuoa na kuolewa.
Tumekuwa na kampeni inayohalalisha binti asiolewe. Sisi tunahitaji aolewe na aendelee na masomo.
Lkn pia kuna kampeni ya kuwashawishi vijana wa kiume waolewe. Kampeni hizi zinapigiwa debe na viongozi wa imani yenu.
Nirudi kwenye mada.
Ktk somo la falsafa linasema ubora wa serikali yyt inategemea falsafa ya serikali husika, lkn pia hutegemea falsafa na itikadi iliyo ndani ya mioyo ya watendaji wa serikali.
Ndio. Mtendaji hutafsiri jambo kwa vile anavyoliewa yeye. Na uelewa wake unategemea itikadi aliyonayo.
Ndio maana sheria ya wanafunzi wa kiislam kuvaa hijab ilikuwa mbinde, ndio maana sheria ya ugaidi wanaokamatwa na kufungwa vifumgo bila ya ushahidi wala hukumu ni waislam pekee.
Falsafa ya serikali ni Ujamaa. Ujamaa unatokana na uMarx. uMarx inatokana na Atheism (upagani). Wapagani wa watu wenye uhakika kuwa Mungu hayupo.
Hivyo Sirikali za kijamaa kwa msingi huo haiamini uwepo wa Mungu. Na kwa kuwa dini zinamafungamano na mumgu kwa imani hiyo hayupo, na kwa kuwa serikali haina Mungu hivyo haina dini pia. Wakiamini dini ni uraibu, na kwa mujibu wa wajamaa Mungu hajaumba watu bali watu ndio wametumia mungu.
Wajamaa wakiendelea kuthibitisha kuwa Mungu aliuwawa na dola ya warumi na hakufufuka.
Ndio maana tz haina dini haiamini uwepo wa dini wala uwepo wa Mungu. Jambo hili linafichwa lkn ukweli kukuacha mtu huru.
Ndio maana ndani ya katiba hajatajwa Mungu hata sehemu 1.
Hata hivyo kanuni hii imeumdwa kudhitibi baadhi ya dini.
Lkn ni kweli Serikali haina dini?
Dini ni nini?
Dini ni imani, dini yako ni imani yako, dini ni utamaduni, hivyo dini yako ni utamaduni wako.
Kwa muhtadha huo Atheism (Ujamaa)nayo ni imani au dini. Ndio maana Nyerere aliwahi kusema Ujamaa ni imani, kwa maana Ujamaa ni dini.
Kwani dini ni imani na imani ni dini.
Tunataka serikali ya dini zote ili tujifungue kutoka ktk mnyororo na jinamizi hili la kusema serikali haina dini. Ni uongo uliotengenezwa ukarudi rudiwa kutamkwa. Ndio maana haya weye ndugu yangu uongo huu unauamini. Ni kawaida jambo lolote likirudiwa kutamkwa kutamkwa hata kama ni uongo huwa kweli.
Kuna Ubaya gani serikali iwe ya dini zote
Hii nchi ni ya wote. Hivyo dini zote zinapaswa kulindwa.
Kwa Sababu ndio sheria mungu aliekuumba weye na mimi.Nchi yetu ina dini na madhehebu mengi tofauti na waumini wa madhehebu tofauti tofaut? Kwa nin katiba yetu ibebwe na uislam?
Ni mahakama gani ya Tanzania iliyowahi kumhukumu mwizi achomwe moto?Tanzania naona wezi wakichomwa moto, ndiyo sheria bora hiyo?
Acha ubishi kijana hizo sio propaganda bali ni facts.L
Licha kuiuchukia Uislamu lakini una Chuki na Mtume wetu Muhammad Salla llahu alayhi wasalam .Na mimi nitakuwa shahidi siku ya kiyama kwa uzushi wako.Wewe si kwanza kwa uzushi wako na hutakuwa wa mwisho.