Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Hivyo vyote ulivyotaja ni kweli tunavihitaji,vipi kuhusu vile vingine ambavyo ni kandamizi?
Kama vipi? Hakuna ukandamizaji katika sharia. Taja kimoja cha ukandamizaji katika sharia.
 
Huna lolote na wala sitaki kubishana na mnafiki kama weye ikiwa Allah mwenyewe kamsifu katika Quraan
Surat Qalam aya 4 Wainnaka laala khuliq adhiym .Wewe na wenzako Allah kashakupegini Stamp Juzuu ya kwanza
aya ya 7 .Khatama llahu ala Qulubihim na kuendelea .Wewe sio wa mwanzo na hutokuwa wa mwisho namuomba allah akulipe hapa hapa duniani na upotofu wako na kesho akhera Jahannam inakusubiri Loo wajukuu wa Abii lahab.
 
Juhudi ndo uue?
Aliwaachia laana hadi leo, eti ukiua kafir utaingia peponi nako utapewa bikira.

Dah!! Bikira peponi!!!
Hapana, umechanganya mambo au umedanganywa ukadanyika, kuua ni "kital".
 
Hataki tuwe na rais mwanamke huyu. Sijui anamuonea wivu mama Samia!!.
 
Quran ilishuka tu, au ni mawazo ya wanazuoni na mtume?
Qur'an ineshushwa kidogo kidogo kwa muda wa. Miaka 23. Ni kitabu pekee ambacho toka kushushwa kwake kimehifadhiwa vifuani mwa watu wengi zaidi mpaka leo hii.
 
Unataka tuanze kuuna kama sudan
 
Hataki tuwe na rais mwanamke huyu. Sijui anamuonea wivu mama Samia!!.
Siyo kweli, hakuna jwenye Qur'an ilipokataza kuwa na Rais mwanamke.

Waliokudanganya ni wenye chuji na Uislam.

Sharia haifati mawazo ya binaadam, inafata mafundisho ya Mwenyezi Mungu.
 
Unataka tuanze kuuna kama sudan
Sudan wanauwana kwa ujinga wao na tamaa zao za kugombania mali, siyo sharia inayowafanya wauwane.

Tanzania suluhusho la matatizo yetu ni sharia tu. Hakuna kingine.
 
Mtu chake, hongera.
Isome Qur'an, ipo kwa ajili ya walimwengu wote haina mwenyewe. Ni njema sana.

Utaipenda ukiisoma, maswali yote ya namna ya kuishi yanayokutatiza utapata ufumbuzi wake.
 
Sudan wanauwana kwa ujinga wao na tamaa zao za kugombania mali, siyo sharia inayowafanya wauwane.

Tanzania suluhusho la matatizo yetu ni sharia tu. Hakuna kingine.
Ile nchi inaendeshwa kwa sheria ya dini ya kiislam
Hatutaki kama wewe unataka si uende huko wanakoendesha kwa hizo sharia za dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…