Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo sharia zilitoka wapi?Hapa hatuongelei watu tunaongelea sharia. Ukitaka kuongelea mtu binafsi funguwa uzi.
Ni vingi sana,ndo maana nikatoa mfano mmoja tu wa Afghanistan,Kama vipi? Hakuna ukandamizaji katika sharia. Taja kimoja cha ukandamizaji katika sharia.
Juhudi ndo uue?Sawa kabisa hujakosea, bila kufanya juhudi hakuna mafanikio.
Huna lolote na wala sitaki kubishana na mnafiki kama weye ikiwa Allah mwenyewe kamsifu katika QuraanMTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN NA KUKAA UCHI MBELE YA MASWAWABU WAKE.
Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Quran ilishuka tu, au ni mawazo ya wanazuoni na mtume?Qur'an.
Hataki tuwe na rais mwanamke huyu. Sijui anamuonea wivu mama Samia!!.Aisee kama hutaki kuishi Tanzania, nenda Sudan , Egypt, Iran au Saudi Arabia wanaoshika Sharia Law.
Unajua ndani ya Sharia Law , Mkristo haruhusiwi kumuomba Mungu wake na adhabu yake ni kifo. Kuna Faida Gani kuwa na sheria isiyompa mtu uhuru wa kuabudu au kuamini anachokiamini.
Unataka tuanze kuuna kama sudanWengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Siyo kweli, hakuna jwenye Qur'an ilipokataza kuwa na Rais mwanamke.Hataki tuwe na rais mwanamke huyu. Sijui anamuonea wivu mama Samia!!.
Mtu chake, hongera.Qur'an ineshushwa kidogo kidogo kwa muda wa. Miaka 23. Ni kitabu pekee ambacho toka kushushwa kwake kimehifadhiwa vifuani mwa watu wengi zaidi mpaka leo hii.
Vip kuhusu Pakistan na Afghanistan yw TalebanSifahamu hizo nchi ulizozitaja wanazifata kwa kuwango kipi.
Kwa maana hiyo hata Tanzania tunayo sharia kwa kiwango fulani.
Hili swali ni kubwa sana ukilinganisha na uwezo wa kufikiri wa Faizar Fox.Vip kuhusu Pakistan na Afghanistan yw Taleban
Ile nchi inaendeshwa kwa sheria ya dini ya kiislamSudan wanauwana kwa ujinga wao na tamaa zao za kugombania mali, siyo sharia inayowafanya wauwane.
Tanzania suluhusho la matatizo yetu ni sharia tu. Hakuna kingine.