Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Ndiyo hukumu yake hiyo, kushauriwa tu, au wewe hukuipenda hiyo?

Au unaijuwa nyingune?
Kumbe Alah hajaweka ADHABU kwa asiyevaa hijabu.. ila ameweka USHAURI.

Na Ushauri ni optional na sio lazima.

Sasa Ni Kwa nini hizo nchi zenye Sharia zimeweka ADHABU na sio Ushauri?
 
Naunga mkono hoja.. Sharia ndio muafaka kwa maendeleo ya Tanzania, na uzinzi utapungua maana bongo kuna ngono sana pengine kuliko nchi zote za Afrika Mashariki.
 
Kumbe Alah hajaweka ADHABU kwa asiyevaa hijabu.. ila ameweka USHAURI.

Na Ushauri ni optional na sio lazima.

Sasa Ni Kwa nini hizo nchi zenye Sharia zimeweka ADHABU na sio Ushauri?
Nchi ipi unayoiongelea?

Mimi siijuwi.

Usifate uzushi na chuki za mashetani kwenye mitandao.

Sharia ni njema sana.
 
Nchi ipi unayoiongelea?

Mimi siijuwi.

Usifate uzushi na chuki za mashetani kwenye mitandao.

Sharia ni njema sana.
Usijitoe ufahamu. Hizo nchi unazijua. Na mojawapo ni IRAN.

Sasa jibu swali langu.

Ni Kwa nini hizo nchi zenye Sharia zimeweka ADHABU na sio Ushauri?
 
K
Hizo sharia ni primitive, hazina nafasi karne hii
 
K

Hizo sharia ni primitive, hazina nafasi karne hii
Kama ipi mojawapo?

Mbona zilizopo ambazo kwako wewe siyo orimitive hatuzioni zikitusaidia leo miaka zadi ya 6o baada ya uhuru? Matatizo yetu badala ya kwisha yanaongezeka.

Ufumbuzi wetu ni sharia tu.
 
Kwani wakristo hawataki ufisadi na wizi udhibitiwe?
Yaani unawafanya watu kama mazuzu,huko China na Marekani wanadhibitije ufisadi na wizi?Majimbo ya Adamawa,Anambra na Abia huko Nigeria yanayo observe sharia ndo yanayoongoza kwa wizi na ufisadi.Kumbuka ndiko kuna raslimali nyingi za gesi na mafuta.Sharia hazitajirishi jamii bali kunufaisha mtu mmoja mmoja na kuwafanya majority kuwa maskini.Usituchukulie poa
 
Merekani ufisadi upi uliozuiliwa? Watu huko mpaka wanaruhusiwa kuoana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake. Wanaruhusiwa kuoana mpaka na wanyama, kama si ufisadi ni nini huo?

China watu wanauliwa hovyo kwa dini zao tu, kama si ufisadi ni nini huo?

Au huelewi maana ya neno ufisadi tukupe darsa?

Mfumbuzi wa matatizo wa Tanzania ni sharia tu. No more no less.
 
Kama ipi mojawapo?

Mbona zilizopo ambazo kwako wewe siyo orimitive hatuzioni zikitusaidia leo miaka zadi ya 6o baada ya uhuru? Matatizo yetu badala ya kwisha yanaongezeka.

Ufumbuzi wetu ni sharia tu.
Fanyeni transformation kwenye taasisi zenu ambazo haziishiwi migogoro ndo tufuate mifano hai.Kuandama mwezi tu kunawagombanisha mar mmeuza viwanja mara mnatumia taasisi zenu kuingiza mali za watu binafsi.
Kibaya zaidi hamuwezi hata kuchangia maendeleo ya dini yenu bila misaada.Nyie kwa hapa Tanzania hamfai kuwa mfano wa watu kufuata mafundisho yenu.Na ndo maana rate ya waislamu kubatizwa hapa.nchini ni kubwa sana
 
Jamii nyingi Afrika Mashariki ambako kuna uislam kwa kasi ndo zinaongoza kwa watu kufirana ikiwemo Tanga,Zanzibar,Daresalaam,Mombasa,Lamu na kadhalika.Kuhusu kuuana unakokusema China ni kidogo ukilinganisha na Afghan etal
 
Kuandama mwezi kuna tatizo gani, lini mwezi uliacha kuandama?

Sharia ndiyo mfumbuzi wa matatizo ya Tanzania.
 
Jamii nyingi Afrika Mashariki ambako kuna uislam kwa kasi ndo zinaongoza kwa watu kufirana ikiwemo Tanga,Zanzibar,Daresalaam,Mombasa,Lamu na kadhalika.Kuhusu kuuana unakokusema China ni kidogo ukilinganisha na Afghan etal
Sasa Tanzania kuna sharia? Naona unarusha mawe kizani.

Ufumbuzi wa matatizo ya Tanzania ni sharia.
 
Kumbe Alah hajaweka ADHABU kwa asiyevaa hijabu.. ila ameweka USHAURI.

Na Ushauri ni optional na sio lazima.

Sasa Ni Kwa nini hizo nchi zenye Sharia zimeweka ADHABU na sio Ushauri?
Kumbuka FaizaFoxy anaruhusiwa kutumia takiya (uongo mtakatifu wa Allah) akushawishi , mbane akupe kifungu cha sharia
 
Bakwata wanafata sheria zilizopo Tanzania, ufisadi umejaa mpaka kunanuka.

Sheria ndio zinasababisha ufisadi?
Sheria zilizopo Tanzania zinasababishaje Bakwata kuwa na ufisadi hadi kunuka...?
Waislam hawamuogopi hata Mungu?
 
NNdvyo mnavyolishana ujinga huko? Sheria za Kanisa ni zipí?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…