hayo si mafanikio Mungu kakataza kuuanaAfghanistan😂🤣😂 na iran kule wanauana kuhusu kuvaa vilemba wanawake😎🙄🤣😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayo si mafanikio Mungu kakataza kuuanaAfghanistan😂🤣😂 na iran kule wanauana kuhusu kuvaa vilemba wanawake😎🙄🤣😃
Kumbe Alah hajaweka ADHABU kwa asiyevaa hijabu.. ila ameweka USHAURI.Ndiyo hukumu yake hiyo, kushauriwa tu, au wewe hukuipenda hiyo?
Au unaijuwa nyingune?
Naunga mkono hoja.. Sharia ndio muafaka kwa maendeleo ya Tanzania, na uzinzi utapungua maana bongo kuna ngono sana pengine kuliko nchi zote za Afrika Mashariki.Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Nchi ipi unayoiongelea?Kumbe Alah hajaweka ADHABU kwa asiyevaa hijabu.. ila ameweka USHAURI.
Na Ushauri ni optional na sio lazima.
Sasa Ni Kwa nini hizo nchi zenye Sharia zimeweka ADHABU na sio Ushauri?
Usijitoe ufahamu. Hizo nchi unazijua. Na mojawapo ni IRAN.Nchi ipi unayoiongelea?
Mimi siijuwi.
Usifate uzushi na chuki za mashetani kwenye mitandao.
Sharia ni njema sana.
Bakwata wanapitia hapa JF, wataiona hoja.
Wewe unapenda ufisadi?
Hizo sharia ni primitive, hazina nafasi karne hiiSoma jinsi sharia ilivyofanikiwa kudhibiti maovu Somalia👇🏾
Sura hii inazingatia kama kuna mafunzo ya kujifunza kutokana na uzoefu wa mahakama za Sharia za Mogadishu ambayo ni muhimu kwa amani na upatanisho nchini Somalia. Mahakama hizi ziliibuka mwaka wa 1992 katika kukabiliana na kuanguka kwa serikali. Inasema kwamba mahakama za Sharia zilifaulu pale ambapo nyingine zilishindwa kwa sababu wakati huo huo zilijenga kanuni, mamlaka na desturi zinazojulikana za kitamaduni na kidini, na wakati huohuo zikijibu madai ya wakati huo kwa vitendo. Masomo mawili muhimu zaidi kutoka kwa uzoefu wa mahakama ni: (a) haki nchini Somalia haiwezi kutenganishwa na desturi na mijadala inayohusiana na Sharia; na (b) ni vigumu kuanzisha mamlaka halali ya kisiasa ikiwa nafasi ya kisiasa na viongozi wa kisiasa wanatazamwa na watu wa eneo hilo kupingana na kupinga kanuni za Sharia.
Soma zaidi: The Sharia Courts of Mogadishu: Lessons for Peace and Reconciliation
Kama ipi mojawapo?K
Hizo sharia ni primitive, hazina nafasi karne hii
wee subiri wakati wa mfungo alaf zije nyama za kondoo toka arabuni uone sekeseke wakati wakigawana!!Hivi bakwata hamna ufisadi??
Yaani unawafanya watu kama mazuzu,huko China na Marekani wanadhibitije ufisadi na wizi?Majimbo ya Adamawa,Anambra na Abia huko Nigeria yanayo observe sharia ndo yanayoongoza kwa wizi na ufisadi.Kumbuka ndiko kuna raslimali nyingi za gesi na mafuta.Sharia hazitajirishi jamii bali kunufaisha mtu mmoja mmoja na kuwafanya majority kuwa maskini.Usituchukulie poaKwani wakristo hawataki ufisadi na wizi udhibitiwe?
Merekani ufisadi upi uliozuiliwa? Watu huko mpaka wanaruhusiwa kuoana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake. Wanaruhusiwa kuoana mpaka na wanyama, kama si ufisadi ni nini huo?Yaani unawafanya watu kama mazuzu,huko China na Marekani wanadhibitije ufisadi na wizi?Majimbo ya Adamawa,Anambra na Abia huko Nigeria yanayo observe sharia ndo yanayoongoza kwa wizi na ufisadi.Kumbuka ndiko kuna raslimali nyingi za gesi na mafuta.Sharia hazitajirishi jamii bali kunufaisha mtu mmoja mmoja na kuwafanya majority kuwa maskini.Usituchukulie poa
Fanyeni transformation kwenye taasisi zenu ambazo haziishiwi migogoro ndo tufuate mifano hai.Kuandama mwezi tu kunawagombanisha mar mmeuza viwanja mara mnatumia taasisi zenu kuingiza mali za watu binafsi.Kama ipi mojawapo?
Mbona zilizopo ambazo kwako wewe siyo orimitive hatuzioni zikitusaidia leo miaka zadi ya 6o baada ya uhuru? Matatizo yetu badala ya kwisha yanaongezeka.
Ufumbuzi wetu ni sharia tu.
Jamii nyingi Afrika Mashariki ambako kuna uislam kwa kasi ndo zinaongoza kwa watu kufirana ikiwemo Tanga,Zanzibar,Daresalaam,Mombasa,Lamu na kadhalika.Kuhusu kuuana unakokusema China ni kidogo ukilinganisha na Afghan etalMerekani ufisadi upi uliozuiliwa? Watu huko mpaka wanaruhusiwa kuoana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake. Wanaruhusiwa kuoana mpaka na wanyama, kama si ufisadi ni nini huo?
China watu wanauliwa hovyo kwa dini zai tu, kama si ufisadi ni nini huo?
Au huelewi maana ya neno ufisadi tukupe darsa?
Mfumbuzi wa matatizo wa Tanzania ni sharia tu. No more no less.
Kuandama mwezi kuna tatizo gani, lini mwezi uliacha kuandama?Fanyeni transformation kwenye taasisi zenu ambazo haziishiwi migogoro ndo tufuate mifano hai.Kuandama mwezi tu kunawagombanisha mar mmeuza viwanja mara mnatumia taasisi zenu kuingiza mali za watu binafsi.
Kibaya zaidi hamuwezi hata kuchangia maendeleo ya dini yenu bila misaada.Nyie kwa hapa Tanzania hamfai kuwa mfano wa watu kufuata mafundisho yenu.Na ndo maana rate ya waislamu kubatizwa hapa.nchini ni kubwa sana
Sasa Tanzania kuna sharia? Naona unarusha mawe kizani.Jamii nyingi Afrika Mashariki ambako kuna uislam kwa kasi ndo zinaongoza kwa watu kufirana ikiwemo Tanga,Zanzibar,Daresalaam,Mombasa,Lamu na kadhalika.Kuhusu kuuana unakokusema China ni kidogo ukilinganisha na Afghan etal
Kumbuka FaizaFoxy anaruhusiwa kutumia takiya (uongo mtakatifu wa Allah) akushawishi , mbane akupe kifungu cha shariaKumbe Alah hajaweka ADHABU kwa asiyevaa hijabu.. ila ameweka USHAURI.
Na Ushauri ni optional na sio lazima.
Sasa Ni Kwa nini hizo nchi zenye Sharia zimeweka ADHABU na sio Ushauri?
Bakwata wanafata sheria zilizopo Tanzania, ufisadi umejaa mpaka kunanuka.
Kuandama mwezi kunawagombanishaKuandama mwezi kuna tatizo gani, lini mwezi uliacha kuandama?
Sharia ndiyo mfumbuzi wa matatizo ya Tanzania.
Kwa hiyo katiba hii ya sasa ya Tanzania inayochota sheria nyingi za kanisa zilizofundishwa pia ktk vyuo vikuu vya elimu ya juu kutoa wanasheria, mahakimu, majaji, wana psycholojia n.k imefeli nchini Tanzania.
Je kufeli kwake ni kutokana sisi kuchukua imani, mafundisho na falsafa mageni yaliyokuja kwa merikebu hivyo ni bora sasa kujaribu yale yaliyofika kwa majahazi au tuamue kuenzi mila tamaduni na elimu za busara za kiAfrika ambazo tumezipuuza na kuzitupa kama siyo kuzizika kabisa ?
Wachambuzi wa sheria za kisekula wanasema katiba na sheria nyingi za nchi mbalimbali zimechota na kukopa sheria za kanisa na kuziweka ndani ya katiba zao.
Hili si jambo geni kwani kanisa kama taasisi kongwe na kubwa ililazimu kuwa na sheria, kanuni na taratibu ili liweze kujiongoza kama taasisi na pia waumini wake .
Ilipokuja mataifa kuundwa wafalme na washauri wao walibaini umuhimu wa taifa au nchi kuwa na utaratibu wa jinsi ya kujiendesha na hivyo watu makini waliokuwa washauri wa wafalme au marais waliamua na kugundua kanisa tayari kwa karne nyingi walikuwa mbele kwa kujiundia na utaratibu wa kujiendesha na kutoa hukumu n.k n.k kuhusu masuala mbalimbali ...
Pepa ya mtanziko baina ya sheria za kidini na zile za ki-secular umefanyiwa utafiti mkubwa na wanazuoni wa University of Chicago nchini Marekani
University of Chicago
https://chicagounbound.uchicago.edu › ...PDF
Conflicts between Religious and Secular Law
by RH Helmholz · Cited by 16 — The canon law claimed the right to decide all such disputes. So did the courts of the King. The common law claimed...