Halaf tunafunga investment zote za tbl tunaanza kuzalisha kashata na alkasusuNaunga mkono hoja hakuna sheria bora kama sheria ya kiislam, serikali ikihukumu according to Islam hakuna maovu ambayo yatatendeka.
Mfano; adhabu ya mlevi ni viboko arobaini (40).
Mwizi akatwe kiganja cha mkono.
Umeshasema hawaruhusu kuingia nabiblia sasa watachoma kitabu kipi, huko marekan mnapopanda daily humu ndio sehem ambapo misikit namasheik wapo kibao hii huwez kuikuta huko kwandugu zenuSaudi Arabia hawana unafiki unapoomba viza kuna sheria zao uzijuwe moja ukristo Uwe nao mwenyewe tu na sio uwende na biblia yako kueneza ukristo.
Pili hiyo Marekani na Ulaya Unafikiri kuna uhuru Huo unaoufikiria wewe ? Sahau.
Ulaya mpaka Quran zinachomwa moto , jee uliisikia kitabu chochote cha dini kuchomwa moto Saudi Arabia?
Unaweza kushare hiyo katiba aliyoiandaa Mwenyezi Mungu? Maana Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na maarifa, ametuumba sote. Na ametuumba na tofauti zetu nyingi kama rangi, maumbo, akili, na hata dini zetu. Iweje leo mtu aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu, aanze kusema mrengo mmoja tu ndio sahihi. As if yeye ndio Mungu.Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Na nchi nzima itajaa wagonjwa wa kisukari sababu ya kula pipiHalaf tunafunga investment zote za tbl tunaanza kuzalisha kashata na alkasusu
Hamia Iran ukaombe uraia wa huko kama hutarudi bila mikono, imekatwaKama ipi mojawapo?
Mbona zilizopo ambazo kwako wewe siyo orimitive hatuzioni zikitusaidia leo miaka zadi ya 6o baada ya uhuru? Matatizo yetu badala ya kwisha yanaongezeka.
Ufumbuzi wetu ni sharia tu.
Hazina makali na hazina haki.Sheria ndio zinasababisha ufisadi?
Sheria zilizopo Tanzania zinasababishaje Bakwata kuwa na ufisadi hadi kunuka...?
Waislam hawamuogopi hata Mungu?
Tunataka hiyo mikono msikatane mitaani, tuanze kukata hadharani kwa wezi waliohukumiwa kihalali. Tuwache kuwachoma moto wezi mitaani.Hamia Iran ukaombe uraia wa huko kama hutarudi bila mikono, imekatwa
Umeshasema hawaruhusu kuingia nabiblia sasa watachoma kitabu kipi, huko marekan mnapopanda daily humu ndio sehem ambapo misikit namasheik wapo kibao hii huwez kuikuta huko kwandugu zenu
Sharia ilisha feli toka kipindi Cha MuhammadTunataka hiyo. Mikatane tuanze kukata hapa kwa wezi.
Common Law - A type of legal system, often synonymous with "English common law," which is the system of England and Wales in the UK, and is also in force in approximately 80 countries formerly part of or influenced by the former British Empire. English common law reflects Biblical influences as well as remnants of law systems imposed by early conquerors including the Romans, Anglo-Saxons, and Normans. Some legal scholars attribute the formation of the English common law system to King Henry II (r.1154-1189). Until the time of his reign, laws customary among England's various manorial and ecclesiastical (church) jurisdictions were administered locally. Henry II established the king's court and designated that laws were "common" to the entire English realm. The foundation of English common law is "legal precedent" - referred to as stare decisis, meaning "to stand by things decided." In the English common law system, court judges are bound in their decisions in large part by the rules and other doctrines developed - and supplemented over time - by the judges of earlier English courts. READ MORE : Legal system - The World FactbookNNdvyo mnavyolishana ujinga huko? Sheria za Kanisa ni zipí?
Ingawa bagamoyo kisha kujibu, nimeona nilitafsiri jibu la bagamoyo kwa Kiswahili kwa msaada wa chatgpt ili japo na wewe uelewe alichokujibu:NNdvyo mnavyolishana ujinga huko? Sheria za Kanisa ni zipí?
Sema kwa sauti na Umbishie allah kwamba!; muhammad sio kigezio chenu chema!Hajadiliwi mtu hapa, inajadiliwa sharia. Ukitaka kujadili mtu fungua uzi mwengine, tutakuja.
Hakika hili ni jambo jema.Sema kwa sauti na nami naunga mkono Allah na mtune wake wa mwisho muhammad ni Kigezo chenu chema sana.
HUYU ndie kigezo Chetu chema ktk ulimwengu kuifuata na kuiishi Sharia!
“uswatun hasanah”
لَّقَدْ كَانَ لَكُمْ فِي رَسُولِ اللَّهِ أُسْوَةٌ حَسَنَةٌ لِّمَن كَانَ يَرْجُو اللَّهَ وَالْيَوْمَ الْآخِرَ وَذَكَرَ اللَّهَ كَثِيرًا 21
Vatican kuna msikiti sema jingineHata huko Vatican hauwezi kuta misikiti
Sasa huko kwenye haki Za binadamu kwa nini wachome vitabu vya dini ?
Mteja wangu hahusiki na mambo haya.Mtoa mada anafikra za Kishetani
Nambie kati ya nchi zinazoongoza kwa raia wake kuwa na furaha duniani kama kuna nchi ya kiislamuTunataka hiyo. Mikatane tuanze kukata hapa kwa wezi. Tuwache kuwachoma moto.
Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam
Lete ushahidiVatican kuna msikiti sema jingine