Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Naunga mkono hoja hakuna sheria bora kama sheria ya kiislam, serikali ikihukumu according to Islam hakuna maovu ambayo yatatendeka.
Mfano; adhabu ya mlevi ni viboko arobaini (40).
Mwizi akatwe kiganja cha mkono.
Halaf tunafunga investment zote za tbl tunaanza kuzalisha kashata na alkasusu
 
Saudi Arabia hawana unafiki unapoomba viza kuna sheria zao uzijuwe moja ukristo Uwe nao mwenyewe tu na sio uwende na biblia yako kueneza ukristo.
Pili hiyo Marekani na Ulaya Unafikiri kuna uhuru Huo unaoufikiria wewe ? Sahau.
Ulaya mpaka Quran zinachomwa moto , jee uliisikia kitabu chochote cha dini kuchomwa moto Saudi Arabia?
Umeshasema hawaruhusu kuingia nabiblia sasa watachoma kitabu kipi, huko marekan mnapopanda daily humu ndio sehem ambapo misikit namasheik wapo kibao hii huwez kuikuta huko kwandugu zenu
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Unaweza kushare hiyo katiba aliyoiandaa Mwenyezi Mungu? Maana Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na maarifa, ametuumba sote. Na ametuumba na tofauti zetu nyingi kama rangi, maumbo, akili, na hata dini zetu. Iweje leo mtu aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu, aanze kusema mrengo mmoja tu ndio sahihi. As if yeye ndio Mungu.
😂 😂 😂 😂 😂
Bora ukose mali, kuliko kukosa akili.
 
Sheria ndio zinasababisha ufisadi?
Sheria zilizopo Tanzania zinasababishaje Bakwata kuwa na ufisadi hadi kunuka...?
Waislam hawamuogopi hata Mungu?
Hazina makali na hazina haki.

Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam.
 
Hamia Iran ukaombe uraia wa huko kama hutarudi bila mikono, imekatwa
Tunataka hiyo mikono msikatane mitaani, tuanze kukata hadharani kwa wezi waliohukumiwa kihalali. Tuwache kuwachoma moto wezi mitaani.

Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam
 
Umeshasema hawaruhusu kuingia nabiblia sasa watachoma kitabu kipi, huko marekan mnapopanda daily humu ndio sehem ambapo misikit namasheik wapo kibao hii huwez kuikuta huko kwandugu zenu

Hata huko Vatican hauwezi kuta misikiti
Sasa huko kwenye haki Za binadamu kwa nini wachome vitabu vya dini ?
 
Tunataka hiyo. Mikatane tuanze kukata hapa kwa wezi.
Sharia ilisha feli toka kipindi Cha Muhammad

Mtu kakatwa mikono miwili na miguu yote miwili bado akaenda kuiba

.....He was brought a fifth time and he said: Kill him.
So we took him away and killed him. We then dragged him and cast him into a well and threw stones over him. Sunan Abi Dawud 4410

Ila waislamu Wana fiction stories nyingi Sana , 😂🤣🤣 kigutu miguu na mikono na kaenda kuiba
 
NNdvyo mnavyolishana ujinga huko? Sheria za Kanisa ni zipí?
Common Law - A type of legal system, often synonymous with "English common law," which is the system of England and Wales in the UK, and is also in force in approximately 80 countries formerly part of or influenced by the former British Empire. English common law reflects Biblical influences as well as remnants of law systems imposed by early conquerors including the Romans, Anglo-Saxons, and Normans. Some legal scholars attribute the formation of the English common law system to King Henry II (r.1154-1189). Until the time of his reign, laws customary among England's various manorial and ecclesiastical (church) jurisdictions were administered locally. Henry II established the king's court and designated that laws were "common" to the entire English realm. The foundation of English common law is "legal precedent" - referred to as stare decisis, meaning "to stand by things decided." In the English common law system, court judges are bound in their decisions in large part by the rules and other doctrines developed - and supplemented over time - by the judges of earlier English courts. READ MORE : Legal system - The World Factbook
 
NNdvyo mnavyolishana ujinga huko? Sheria za Kanisa ni zipí?
Ingawa bagamoyo kisha kujibu, nimeona nilitafsiri jibu la bagamoyo kwa Kiswahili kwa msaada wa chatgpt ili japo na wewe uelewe alichokujibu:

Sheria ya Kawaida - Aina ya mfumo wa kisheria, mara nyingi ni sawa na "sheria za kawaida za Kiingereza," ambao ni mfumo wa Uingereza na Wales nchini Uingereza, na pia unatumika katika takriban nchi 80 ambazo hapo awali zilikuwa sehemu au zilizoathiriwa na Milki ya Uingereza ya zamani. Sheria ya kawaida ya Kiingereza inaonyesha athari za Kibiblia na vile vile mabaki ya mifumo ya sheria iliyowekwa na washindi wa mapema wakiwemo Warumi, Waanglo-Saxon na WaNormandi. Baadhi ya wasomi wa sheria wanahusisha uundaji wa mfumo wa sheria ya kawaida wa Kiingereza kwa Mfalme Henry II (r.1154-1189). Hadi wakati wa utawala wake, sheria za kimila kati ya mamlaka mbalimbali za kimaanawi na kikanisa (makanisa) za Uingereza zilisimamiwa ndani ya nchi. Henry II alianzisha mahakama ya mfalme na kutaja kwamba sheria zilikuwa "kawaida" kwa ulimwengu wote wa Kiingereza. Msingi wa sheria ya kawaida ya Kiingereza ni "legal precedent" - inajulikana kama stare decisis, kumaanisha "kusimamia mambo yaliyoamuliwa." Katika mfumo wa sheria za kawaida za Kiingereza, majaji wa mahakama wanafungwa katika maamuzi yao kwa sehemu kubwa na kanuni na mafundisho mengine yaliyotengenezwa - na kuongezewa muda - na majaji wa mahakama za awali za Kiingereza. SOMA ZAIDI : Mfumo wa kisheria - The World Factbook
 
Hajadiliwi mtu hapa, inajadiliwa sharia. Ukitaka kujadili mtu fungua uzi mwengine, tutakuja.
Sema kwa sauti na Umbishie allah kwamba!; muhammad sio kigezio chenu chema!
[emoji116][emoji116]

HUYU ndie kigezo Chetu chema ktk kuifuata na kuiishi Sharia!
“uswatun hasanah”

لَّقَدْ كَانَ لَكُمْ فِي رَسُولِ اللَّهِ أُسْوَةٌ حَسَنَةٌ لِّمَن كَانَ يَرْجُو اللَّهَ وَالْيَوْمَ الْآخِرَ وَذَكَرَ اللَّهَ كَثِيرًا 21
Hakika nyinyi mnayo ruwaza njema kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa anaye mtaraji Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, na akamkumbuka Mwenyezi Mungu sana.
Hii Ndio ruwaza njema!
 
Sema kwa sauti na nami naunga mkono Allah na mtune wake wa mwisho muhammad ni Kigezo chenu chema sana.

HUYU ndie kigezo Chetu chema ktk ulimwengu kuifuata na kuiishi Sharia!
“uswatun hasanah”

لَّقَدْ كَانَ لَكُمْ فِي رَسُولِ اللَّهِ أُسْوَةٌ حَسَنَةٌ لِّمَن كَانَ يَرْجُو اللَّهَ وَالْيَوْمَ الْآخِرَ وَذَكَرَ اللَّهَ كَثِيرًا 21
Hakika hili ni jambo jema.


Ahsante umeliona hilo.
 
Tunataka hiyo. Mikatane tuanze kukata hapa kwa wezi. Tuwache kuwachoma moto.

Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam
Nambie kati ya nchi zinazoongoza kwa raia wake kuwa na furaha duniani kama kuna nchi ya kiislamu
 
Back
Top Bottom