Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Kwa nini asilimia kubwa ya nchi nyingi zenye waislamu wengi na zenye maendeleo hazitumii sharia?Kwa saba
Kwa sababu alitawaliwa na Mwingereza kama sisi na ndiyo sheria waliyoikuta walipopata uhuru, ni kama sisi tu.
Hiyo ni Taqiya acha ulongo.Maliyah alikuwa ni kijakazi jamaa akawa anajipigiaMradi aliozeshwa na wazazi wa n mtoto tatizo nini? Raha tu, amekilea mwenyewe. Tena kwa unmahiri wake mpaka mkuu wa kanisa la coptic akamzawadia kitoto kingine, unaelewa hilo?
Ma shaa Allah.
Usiseme Uongo"Maliya" ndiyo nani, mimi sijamsoma huyo.
Unaota?
Labda utupe Kwanza tafsiri ya maendeleo....Kwa nini asilimia kubwa ya nchi nyingi zenye waislamu wengi na zenye maendeleo hazitumii sharia?
Mafanikio yaNi nchi gani iliyofanikiwa kwa kufuata sharia na ni Nchi ipi iliyofeli kwa kutofuata sharia ?
Ukiiba unakatwa mikono, ukizini unapigwa mawe, ukibafili dini unauliwa. Suluhisho kukosekana usawa kwenye uchumi ni watu kusaidia maskini.Naam, usishangae, hakuna kitakachotuokoa zaidi ya sharia. Kila mmoja atapata haki yake bila manung'uniko.
Mkuu,kukirihishana Ni Nini?Hapana, siyo kweli, hakuna hilo kwenye "sharia law". Hizo ni sheria za kukataza kuabudu ni za kibinaadam, zinakiuka sharia. Sharia nasema hakuna kukirihishana katika dini.
Siyo sharia hizo, unajichanganya.Ukiiba unakatwa mikono, ukizini unapigwa mawe, ukibafili dini unauliwa. Suluhisho kukosekana usawa kwenye uchumi ni watu kusaidia maskini.
Kwanza ni ushauri wsko ni hatari sana na dharau kwa wengine. Nchi hii waislaam ni karibu nusu tu ya raia halafu wengine wawe subjected kwa sharia law ambayo hata nchi za kiislaam kama afghanistan somalia na nyin tu za kislaam imeshinfikana.
Mimi naona Faiza Foxy .Siyo sharia hizo, unajichanganya.
Swali hili nilikwisha wajibu, bado wanuliza tenaKwa nini asilimia kubwa ya nchi nyingi zenye waislamu wengi na zenye maendeleo hazitumii sharia?
Kama kwa neno "udini" unamaanisha Uislam, basi elewa kuwa naupenda sana na najivunia Uislam wangu.
Mwarubaini wa matatizo ya Tanzania ni sharia.
Watumwa wa Al lah wanaitwa Abdulsharia tena,NCHI HAITAMBUI UISLAM