Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Kwa saba


Kwa sababu alitawaliwa na Mwingereza kama sisi na ndiyo sheria waliyoikuta walipopata uhuru, ni kama sisi tu.
Kwa nini asilimia kubwa ya nchi nyingi zenye waislamu wengi na zenye maendeleo hazitumii sharia?
 
Mradi aliozeshwa na wazazi wa n mtoto tatizo nini? Raha tu, amekilea mwenyewe. Tena kwa unmahiri wake mpaka mkuu wa kanisa la coptic akamzawadia kitoto kingine, unaelewa hilo?

Ma shaa Allah.
Hiyo ni Taqiya acha ulongo.Maliyah alikuwa ni kijakazi jamaa akawa anajipigia
 
Ni nchi gani iliyofanikiwa kwa kufuata sharia na ni Nchi ipi iliyofeli kwa kutofuata sharia ?
Mafanikio ya
Shari'a ni ufumbuzi wa matatizo ya kijamii
Kiuchumi
Kisiasa
Na kiutamaduni na kinyume chake ni kutamalaki kwa matatizo hayo ikiwemo vilio vya pengo kubwa la walio nacho na wasio nacho
Ongezeko la mporomoko wa maadili ikiwemo umalaya
Ushoga
Kamari na mengineyo
Nchi
Zote zimefeli kwa kuwa hazitumii shari'a na Nchi yoyote itakayojitahidi kutekeleza basi ulimwengu mzima huipiga vita vya kimwili na kisaikolojia
Zikiongozwa na beberu mkuu USA
 
Naam, usishangae, hakuna kitakachotuokoa zaidi ya sharia. Kila mmoja atapata haki yake bila manung'uniko.
Ukiiba unakatwa mikono, ukizini unapigwa mawe, ukibafili dini unauliwa. Suluhisho kukosekana usawa kwenye uchumi ni watu kusaidia maskini.
Kwanza ni ushauri wsko ni hatari sana na dharau kwa wengine. Nchi hii waislaam ni karibu nusu tu ya raia halafu wengine wawe subjected kwa sharia law ambayo hata nchi za kiislaam kama afghanistan somalia na nyin tu za kislaam imeshinfikana.
 
Hapana, siyo kweli, hakuna hilo kwenye "sharia law". Hizo ni sheria za kukataza kuabudu ni za kibinaadam, zinakiuka sharia. Sharia nasema hakuna kukirihishana katika dini.
Mkuu,kukirihishana Ni Nini?
Nifafanulie tafadhali
 
Ukiiba unakatwa mikono, ukizini unapigwa mawe, ukibafili dini unauliwa. Suluhisho kukosekana usawa kwenye uchumi ni watu kusaidia maskini.
Kwanza ni ushauri wsko ni hatari sana na dharau kwa wengine. Nchi hii waislaam ni karibu nusu tu ya raia halafu wengine wawe subjected kwa sharia law ambayo hata nchi za kiislaam kama afghanistan somalia na nyin tu za kislaam imeshinfikana.
Siyo sharia hizo, unajichanganya.
 
Siyo sharia hizo, unajichanganya.
Mimi naona Faiza Foxy .
Umezongwa na Majuha wasiojua nini wanajadili.
Wewe unapendekeza kutumika kwa Sheria ya Kiislamu badala ya hi ya Kiengereza nacommon law ambayo imeonesha kufeli.
Majuha wanaleta stori za Muhammad na Kumuowa Bi Aisha , Na Maria .
MAJUHA NI WENGI HUMU .
Pole kwa kukuchosha
 
Kwa nini asilimia kubwa ya nchi nyingi zenye waislamu wengi na zenye maendeleo hazitumii sharia?
Swali hili nilikwisha wajibu, bado wanuliza tena
Nchi za Magharibi wakisikia unatumia Sheria ya Kiislamu ,wanakutangazia Vikwazo na kukufilisi rasilimali zilizoko nje.
Wanjua kuwa Kubadili Mfumo kutawaweka pahali pabaya katika nchi zao.

Nilisema Iran ni nchi iliyofanikiwa, 1979-2023 imetoka kuwa taifa Tegemezi hadi Super Power lenye kuwa na Ushawishi mkubwa .
 
Hawa watu wana chuki zaidi kuliko kukubali ukweli.
Muhammad(saw) ni Binadamu aliye badili Historia ya Ulimwengu na ameacha alama.
Yesu (as) ni Binadamu aliyebadili Hostoria ya Ulimwengu na ameacha Alama.
Mussa (as) ni Binadamu aliyebadili Historia ya Ulimwengu na ameacha alama.
Ibrahim(as) ni Baba wa Manabii hao wote , ambaye amebadili Historia na ameacha alama duniani.

Kwanini tusitumie LIBRARY ya taaluma zao?
 
Kama kwa neno "udini" unamaanisha Uislam, basi elewa kuwa naupenda sana na najivunia Uislam wangu.

Mwarubaini wa matatizo ya Tanzania ni sharia.
 

Attachments

  • Who Is Al Lah - Christian Prince.mp4
    1.7 MB
Hamia Syria, Iran, Afghanistan na kwingine ambako sharia ndio inaongoza nchi. Kisha ndio uje utuambie kuna kipi bora walichotuzidi na sie tuweke kwenye katiba.
 
Back
Top Bottom