Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Wewe utapigwa mawe ufilie mbali Kwa uzinzi!! Wala wikki hautaisha Sharia ikija
 
Nyerere hayupo tena, nchi yenu ameshawaachia acheni kudeka na kutafuta kichaka cha kuficha matatizo yenu ya ubaguzi.
Mzimu wa Nyerere CCM upo haujafa au hujui ,? Na ndiwo unaotutesa kuliko hata huyo Nyerere mwenyewe 😜😜😜
 
Ila Ulaya unaruhusiwa kusoma Qur'an barabani na wote wanaoichoma Qur'an hufanya kwa matakwa yao Wala Serikali za Ulaya hazihusiki, kasome Biblia barabarani Saudi Arabia/ Iran uone.

Huo ni unafiki , Marekani kuna misikiti imefungwa hata Europe pia , ni unafiki tu
 
Mzimu wa Nyerere CCM upo haujafa au hujui ,? Na ndiwo unaotutesa kuliko hata huyo Nyerere mwenyewe 😜😜😜
Nyie ndio mna jukumu la kutatua matatizo yenu, Nyerere hayupo tena na hatarudi, kuendelea kumlaumu bila kuchukua hatua hakuwezi kuwasaidia.
 
Nyie ndio mna jukumu la kutatua matatizo yenu, Nyerere hayupo tena na hatarudi, kuendelea kumlaumu bila kuchukua hatua hakuwezi kuwasaidia.
Sisi Nani , Mimi si CCM
CCM ilianzishwa na Nyerere akailea Sasa imekuwa mtu mzima , Unafikiri kunilaumu Mimi ndio itaondoka ?
 
Koran inasema There is No God but Allah

Sasa sisi wenye kuamini God tunasema HATUTAKI sheria za Al (lah) tunajua maana yake hilo Jina kwa tafsiri ya kiarabu...

Even katiba ya sasa hairuhisu ufisadi

Sema Sharia italeta Mut'a so faiza utaolewa kwa siku tatu tatu na tutakulipa fedha
 
Tuwe kama somalia,chadi, Mauritania,Oman, bila mafuta nchi zote za kiarabu zingekuwa maskini sana

Punguza ujinga

USSR

kwani africa hakuna nchi zenye mafuta? ,mbona bado ni maskini?
 
61qpWAn6sQL._SY445_.jpg
 
Aisee kama hutaki kuishi Tanzania, nenda Sudan , Egypt, Iran au Saudi Arabia wanaoshika Sharia Law.
Unajua ndani ya Sharia Law , Mkristo haruhusiwi kumuomba Mungu wake na adhabu yake ni kifo. Kuna Faida Gani kuwa na sheria isiyompa mtu uhuru wa kuabudu au kuamini anachokiamini.

Usome uislamu upate kujua, na sio kuongea usichokijua

Bhujiku ng'waka
 
Aisee kama hutaki kuishi Tanzania, nenda Sudan , Egypt, Iran au Saudi Arabia wanaoshika Sharia Law.
Unajua ndani ya Sharia Law , Mkristo haruhusiwi kumuomba Mungu wake na adhabu yake ni kifo. Kuna Faida Gani kuwa na sheria isiyompa mtu uhuru wa kuabudu au kuamini anachokiamini.
Uzushi Huu nani kakudanganya
 
Sharia kwe2 Kama waislamu ipo sawa ,Ila kwa society tuliopo dini zingine zipo ,wakristo ,traditionalist ,wahindi etc , hamna need ya kuimpose dini on others , secular constitution is way better
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Huu uchafu kaandika mtu na akili zake kabisa daah.
 
Uzushi Huu nani kakudanganya
Sio uzushi, Wakristo wa Iran na Saudi Arabia wanateseka kwasababu ya Imani Yao.
Saudi Arabia sio sehemu salama pa kuishi Kwa Mkristo hata kukutana pamoja ni hatari, wanataka uabudu nyumbani peke yako, huu ni uminywaji wa uhuru wa kuabudu.
Nina taarifa zote
 
Back
Top Bottom