roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,609
- 2,751
Hamia Afghanistan wewe bibi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzimu wa Nyerere CCM upo haujafa au hujui ,? Na ndiwo unaotutesa kuliko hata huyo Nyerere mwenyewe 😜😜😜Nyerere hayupo tena, nchi yenu ameshawaachia acheni kudeka na kutafuta kichaka cha kuficha matatizo yenu ya ubaguzi.
Ila Ulaya unaruhusiwa kusoma Qur'an barabani na wote wanaoichoma Qur'an hufanya kwa matakwa yao Wala Serikali za Ulaya hazihusiki, kasome Biblia barabarani Saudi Arabia/ Iran uone.
Taja jina la msikiti nifatilie sababu za kuzifunga.Huo ni unafiki , Marekani kuna misikiti imefungwa hata Europe pia , ni unafiki tu
Nyie ndio mna jukumu la kutatua matatizo yenu, Nyerere hayupo tena na hatarudi, kuendelea kumlaumu bila kuchukua hatua hakuwezi kuwasaidia.Mzimu wa Nyerere CCM upo haujafa au hujui ,? Na ndiwo unaotutesa kuliko hata huyo Nyerere mwenyewe 😜😜😜
Sisi Nani , Mimi si CCMNyie ndio mna jukumu la kutatua matatizo yenu, Nyerere hayupo tena na hatarudi, kuendelea kumlaumu bila kuchukua hatua hakuwezi kuwasaidia.
Taja jina la msikiti nifatilie sababu za kuzifunga.
Tuwe kama somalia,chadi, Mauritania,Oman, bila mafuta nchi zote za kiarabu zingekuwa maskini sana
Punguza ujinga
USSR
Aisee kama hutaki kuishi Tanzania, nenda Sudan , Egypt, Iran au Saudi Arabia wanaoshika Sharia Law.
Unajua ndani ya Sharia Law , Mkristo haruhusiwi kumuomba Mungu wake na adhabu yake ni kifo. Kuna Faida Gani kuwa na sheria isiyompa mtu uhuru wa kuabudu au kuamini anachokiamini.
Uzushi Huu nani kakudanganyaAisee kama hutaki kuishi Tanzania, nenda Sudan , Egypt, Iran au Saudi Arabia wanaoshika Sharia Law.
Unajua ndani ya Sharia Law , Mkristo haruhusiwi kumuomba Mungu wake na adhabu yake ni kifo. Kuna Faida Gani kuwa na sheria isiyompa mtu uhuru wa kuabudu au kuamini anachokiamini.
Mbona muislam mwenzako kaka yako kipenzi anapenda ufisadiBakwata wanapitia hapa JF, wataiona hoja.
Wewe unapenda ufisadi?
Huu uchafu kaandika mtu na akili zake kabisa daah.Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Sio uzushi, Wakristo wa Iran na Saudi Arabia wanateseka kwasababu ya Imani Yao.Uzushi Huu nani kakudanganya