Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Ww ni mwehuUmetaja nchi nyingi sana, tuanze na hiyo moja.
Unafahamu leo hii ndiyo nchi inayoongoza duniani kuongelea na kusambaza sharia?
Unafahamu kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww ni mwehuUmetaja nchi nyingi sana, tuanze na hiyo moja.
Unafahamu leo hii ndiyo nchi inayoongoza duniani kuongelea na kusambaza sharia?
Unafahamu kwanini?
Hakuna sharia ya kuponda nawe, uliiona wapi.Katiba ya kukatana mikono na kupondwa mawe hadi kufaView attachment 2639049
Huwa mnaanzaga hivi hivi Kiongozi wa nchi akiwa muislam.Elon Musk mpaka leo anataka kuingiza biashara yaje ya satellite Tanzania kakataliwa, na sisi vipi hapo?
Saudi Arabia wanafata sheria ya Ufalme (monarchy) na kuiinguza ingjza sharia sehemu zingine, hawafati sharia 100% kama ikivyi Tanzabia, tuna common law na sheria zingine zioo jwa uchache wake.
Naongelea sharia, siongelei Saudi Arabia wanafanya nini. Kumbuka hilo.
Hivi huelewi neno letu sheria limetoka wapi? Fikiri.
Kwa hiyo hoja za mwehu zimekushinda kujibu?Ww ni mwehu
Umejazwa ujinga na ukakujaa, usome kidogo Uislam:Mnapenda kuua wengine kmmae zenu mnajifanya nyie mnahukumu mmekua Mungu nyie saturnic islamic religion
Hiyo siyo katika sharia. Ni ujinga uliojazwa nao ukakujaa.SHARIA ZA KIPUMBAVU ZA KUMKANDAMIZA MWANAMKE.
mwanamke haruhusiwi hata KUENDESHA GARI.
Hatuongelei mtu hapa, tunaongelea sharia. Funguwa uzi wa kumuongelea mtu tutakuja kukujibu.UKIWAULIZA MBONA MOHAMMED ALIUA NAE AUWAWE???
SHARIA ZA KISHENZI SANA
Najua kiingereza ni kigumu ila kuna wanaokielewa na wako hapa JF. Mwenye kuelewa kiingereza naomba atutafsirie maneno yafuatayo (yapo ktk attachment ya mtoa Thread), Nayanukuu:Aisee kama hutaki kuishi Tanzania, nenda Sudan , Egypt, Iran au Saudi Arabia wanaoshika Sharia Law.
Unajua ndani ya Sharia Law , Mkristo haruhusiwi kumuomba Mungu wake na adhabu yake ni kifo. Kuna Faida Gani kuwa na sheria isiyompa mtu uhuru wa kuabudu au kuamini anachokiamini.
Tafsiri :Najua kiingereza ni kigumu ila kuna wanaokielewa na wako hapa JF. Mwenye kuelewa kiingereza naomba atutafsirie maneno yafuatayo (yapo ktk attachment ya mtoa Thread), Nayanukuu:
" The government did not respect religious freedom in law, but generally permitted Shia religious gatherings and non-Muslim private religious practices" Mwisho wa nukuu.
Adhabu ya kifo kwa mkristo iko wapi hapo?
Tusilalamike basi kuwa hakuna maendeleo au ufisadi umezifi au ushoga unaenea kwa kasi au ushirikina mwingi au wizi mwingi.Kwani ikikaa hivi hivi tulivyo sasa kuna ubaya?
Wewe mjinga,Kuna wakiristo wengi tu Iran na Wana makanisa yao,misri pia..ni saudia tu ndiyo hakuna kanisa wanasalia kwenye nyumba zao binafsi, mtume aliishi na wakiristo na wayahudi na akiwaacha waabudu wapendavyo ilimradi wanalipa kodiHawafanyi ibada public kwanza hawaruhusiwi