Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Katiba ya kukatana mikono na kupondwa mawe hadi kufaView attachment 2639049
Hakuna sharia ya kuponda nawe, uliiona wapi.

Kukatwa mkono kwa wezi ipo tena ina masharti yake.

Kuuliwa ukiuwa ipo, kama ilivyo sasa Tanzania. Tofauti kubwa kwetu unanyongwa, sharia unakatwa kichwa tena ikiwa tu warithi watakataa kukusamehe, warithi wakikusamehe ndiyo imetoka hiyo.

Unaona raha za sharia hizo?

Msidanganyane kwa kujazwa ujinga kwa kitu msichokijuwa.

Sasa hivi kwenye mabenki, dunia nzima, japo kwa uchache, wameanza kutumia sharia kwenye vitengo vyao vya kibiashara. Jiulize kwanini?
 
Elon Musk mpaka leo anataka kuingiza biashara yaje ya satellite Tanzania kakataliwa, na sisi vipi hapo?

Saudi Arabia wanafata sheria ya Ufalme (monarchy) na kuiinguza ingjza sharia sehemu zingine, hawafati sharia 100% kama ikivyi Tanzabia, tuna common law na sheria zingine zioo jwa uchache wake.

Naongelea sharia, siongelei Saudi Arabia wanafanya nini. Kumbuka hilo.


Hivi huelewi neno letu sheria limetoka wapi? Fikiri.
Huwa mnaanzaga hivi hivi Kiongozi wa nchi akiwa muislam.
 
Mnapenda kuua wengine kmmae zenu mnajifanya nyie mnahukumu mmekua Mungu nyie saturnic islamic religion
 
Ww ni mwehu
Kwa hiyo hoja za mwehu zimekushinda kujibu?

Haya wewe usiye mwehu tupe ufumbuzi wako kwenye ufisadi uliokithiri Tanzania, tunauondosha vipi?

Unajuwa neno la Kiswahili sheria limetokea wapi? Kama hujuwi, elewa kuwa limetokana na neno sharia.
 
Huwa mnaanzaga hivi hivi Kiongozi wa nchi akiwa muislam.
Haijalishi Muislam au siyo Muuislam, tatizo lako huelewi kuwa wazungu ndiyo walikuondolea sharia ili wakutawale vizuri, usifurukute.
 
Mnapenda kuua wengine kmmae zenu mnajifanya nyie mnahukumu mmekua Mungu nyie saturnic islamic religion
Umejazwa ujinga na ukakujaa, usome kidogo Uislam:

Qur'an 5:32
...aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote...


Haya nioneshe Kitabu kingine cha dini chenye kama hayo.
 
SHARIA ZA KIPUMBAVU ZA KUMKANDAMIZA MWANAMKE.


mwanamke haruhusiwi hata KUENDESHA GARI.
 
UKIWAULIZA MBONA MOHAMMED ALIUA NAE AUWAWE???

SHARIA ZA KISHENZI SANA
 
SHARIA ZA KIPUMBAVU ZA KUMKANDAMIZA MWANAMKE.


mwanamke haruhusiwi hata KUENDESHA GARI.
Hiyo siyo katika sharia. Ni ujinga uliojazwa nao ukakujaa.

Sharia imemnyua na. Kumpa hadhi mwanamke zamani sana kukiko sheria nyingine yoyote ile.

Su kuwawacha wanawske uchi au nusu uvhi ndiyo kuwapa uhuru? Mimi naona huo ni ukandamizaji wa hali ya juu.

Kitu cha thamani ya kuitwa mama ukianike hadharani? Khaaaa!

Uone ukandamizaji wa Mwanamke👇🏾
IMG-20230527-WA0043.jpg
 
Mihamedi wengi wanaua kil
UKIWAULIZA MBONA MOHAMMED ALIUA NAE AUWAWE???

SHARIA ZA KISHENZI SANA
Hatuongelei mtu hapa, tunaongelea sharia. Funguwa uzi wa kumuongelea mtu tutakuja kukujibu.


Tunawajuwa, mkishindwa kwa hoja mnafanya kila njia kuibadilisha, nimewastukia.


Unajuwa kuwa neno sheria la Kiswahili kuwa ndilo neno sharia kwa Kiarabu?
 
Aisee kama hutaki kuishi Tanzania, nenda Sudan , Egypt, Iran au Saudi Arabia wanaoshika Sharia Law.
Unajua ndani ya Sharia Law , Mkristo haruhusiwi kumuomba Mungu wake na adhabu yake ni kifo. Kuna Faida Gani kuwa na sheria isiyompa mtu uhuru wa kuabudu au kuamini anachokiamini.
Najua kiingereza ni kigumu ila kuna wanaokielewa na wako hapa JF. Mwenye kuelewa kiingereza naomba atutafsirie maneno yafuatayo (yapo ktk attachment ya mtoa Thread), Nayanukuu:
" The government did not respect religious freedom in law, but generally permitted Shia religious gatherings and non-Muslim private religious practices" Mwisho wa nukuu.

Adhabu ya kifo kwa mkristo iko wapi hapo?
 
Najua kiingereza ni kigumu ila kuna wanaokielewa na wako hapa JF. Mwenye kuelewa kiingereza naomba atutafsirie maneno yafuatayo (yapo ktk attachment ya mtoa Thread), Nayanukuu:
" The government did not respect religious freedom in law, but generally permitted Shia religious gatherings and non-Muslim private religious practices" Mwisho wa nukuu.

Adhabu ya kifo kwa mkristo iko wapi hapo?
Tafsiri :

" Serikali haikuheshimu uhuru wa kidini kisheria, lakini kwa ujumla iliruhusu mikusanyiko ya kidini ya Shia na desturi za kidini za kibinafsi zisizo za Kiislamu" Mwisho wa nukuu.
 
MUHAMMAD ALISEMA WAISLAMU WATAGANYIKA MADHEHEBU 73 NA WOTE 73 WATAKUWA NDANI YA JEHANAMU NA MOJA LINAKWENDA PEPONI SWALI YUPI ATAINGIA PEPONI KATI YA MADHEHEBU 73?

HII NDIYO ORODHA KAMILI YA MADHEHEBU 73 YA KIISLAMU NA MSIMAMO WA KILA MMOJA



MUHAMMAD AMEKIRI KUWA ATAKWENDA JEHANAMU NA WAISLAMU WATATUPWA JAHANAMU WOTE

Imesimuliwa na Abu Huraira;

Muhammad anasema: Waislam wakamuuliza, Nabii wa Allah tutamuona Bwana wetu? Nabii akawajibu, je mna khofu ya kuona Mwezi mzima kwenye usiku usiyo na mawingu? Wakamjibu hapana. Nabii wa Allah akasema tena, je mna khofu ya kuona Jua siku ambayo haina mawingu? Wakajibu kwa kukataa. Nabii wa Allah akasema, kwenye siku ya ufufuo watu watakusanyika makundi kwa makundi. Mtamuona Allah. Waabudu Mwezi wata ufuata Mwezi. Waabudu Jua watalifuata Jua. Na wengine watafuata miungu yao. Lakini Waislam wote watabakia nyuma pamoja na mimi. Waislam wakamuuliza Nabii wa Allah, tubakie hapa mpaka tutakapo muona Bwana wetu. Ndipo Allah atakuja na kusema mimi ni Bwana wenu. Na Wakamjibu hakika wewe ni Bwana wetu. Ndipo Allah ataweka Daraja kuelekea Jehannam na Mimi Muhammad nitakuwa wa kwanza kuingia kwenye daraja na wafuasi wangu wote watanifuata. Mimi Muhammad nitakuwa wa kwanza wa Manabii kutupwa ndani ya Jehanamu Na kisha Waislam watatupwa wote jehanamu na wataakuwa wakisema Ooo Allah tuokoe, Oooh Allah tuokoe

Sahih Bukhari 12 Juzuu Ya 001, kitabu 012, Hadithi Namba 770.

رواه أبو هريرة. يقول محمد: سأله المسلمون: يا رسول الله هل نرى ربنا؟ أجاب النبي: "هل تخشى أن ترى البدر في ليلة صافية؟" أجابوه بالنفي. قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: هل تخافون من رؤية الشمس في يوم لا يوجد فيه غيوم؟ فأجابوا بالكفر. قال رسول الله صلى الله عليه وسلم يوم القيامة يجتمع الناس في جماعات. سترى الله. عبّاد القمر سيتبعون القمر. سوف يتبع عبدة الشمس الشمس. وسيتبع آخرون آلهتهم. لكن كل المسلمين سيتركون معي. طلب المسلمون من نبي الله أن نبقى هنا حتى نرى ربنا. ثم يأتي الله ويقول أنا ربك. فقالوا: ((أنت ربنا)). ثم يقيم الله الجسر إلى الجحيم وأنا محمد سأكون أول من يدخل الجسر ويتبعني جميع أتباعي. أنا محمد سأكون أول الأنبياء الذين يلقون في جهنم ، وبعد ذلك سيُلقى كل المسلمين في جهنم وسيقولون اللهم احفظنا ، اللهم احفظنا. صحيح البخاري 12 المجلد 001 ، الكتاب 012 ، الحديث رقم 770.



ALLAH HATAWAOKOA WAISLAMU SIKU YA KIYAMA MAANA NA YEYE ATAKUWA NDANI YA JEHANAMU USHAHIDI HUU HAPA NA HATATOKA HUMO
KWA KISWAHILI

Mtume alisema watu watatupwa Jahanamu, naye Allah ataiuliza Jahanamu akisema, Je umejaa nayo Jahanamu itasema kwani kuna nyingine zaidi na ije tu (Quran 50:30)? Mpaka Allah atakapo ingiza mguu wake ndani ya Jehanamu nayo Jahanamu itasema inatosha! Inatosha Qat Qat.
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏

Sahih al-Bukhari 4848 Juzuu ya 6 kiasi cha 60, Hadithi 371


MWISHO WA SOMO

YESU KRISTO NDIYE NJIA YA KWELI NA UZIMA WA MILELE NA NDIYO MAANA QUR'AN YENU IMETHIBITISHA WAKRISTO WANAPATA UZIMA WA MILELE

Yohana 14:6“Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.


Yohana 14:6“Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi
 
Kwani ikikaa hivi hivi tulivyo sasa kuna ubaya?
Tusilalamike basi kuwa hakuna maendeleo au ufisadi umezifi au ushoga unaenea kwa kasi au ushirikina mwingi au wizi mwingi.

Tuendelee Kujijengea jela kwenye majunba yetu bila kuhukumiwa.
 
Hawafanyi ibada public kwanza hawaruhusiwi
Wewe mjinga,Kuna wakiristo wengi tu Iran na Wana makanisa yao,misri pia..ni saudia tu ndiyo hakuna kanisa wanasalia kwenye nyumba zao binafsi, mtume aliishi na wakiristo na wayahudi na akiwaacha waabudu wapendavyo ilimradi wanalipa kodi
 
Back
Top Bottom