Tanzania, mmedhibiti mijadala kwenye radio na Televishen, wanaharakati na wapinzani wamehamia space na zoom mmewafuata kuomba mic; It's Shame

Kwa utumbo huu ulioandika kile kitabu chako cha shushushu ninani nakitia moto.
 
Umeghafilika hadi hujamuelewa mleta mada.
 
Yaani wewe ndiyo Una moyo mdogo tena wakike kabisaa!!!
Ukiguswa kidogo unakuwa kama jongoo moyo wako unakunja,wewe ni jasusi gani usiyeweza kuvumilia mawazo ya wengine mpaka unablock?
Acha roho ya kike hiyoooo
 
There are so many ways in which you can kill a rat. so long you use your intelligence properly.
 
Nilisema kitu fulani Twitter, nikapewa Block

Chahali ana Roho nzuri na (huenda) anatamani kuona Tanzania inasonga mbele

Ila

The guy is a Slow learner, he doesn't see things when they are coming until when it's too late

Mifano ni mingi sana

Chahali alikuwa akimuunga mkono JPM hadi 2018

Chahali ni moja wa watu waliokiwa wakitaka Mbowe asiwe m/kiti 2019

Chahali alishindwa kujua kwamba kesi ya Mbowe ni ya Michongo, hadi baada ya kuanza kusoma proceedings kwa MMM (kwa siri sana)

Chahali haamini kama Space inaweza leta mabadiliko

Chahali anamchukia sana Maria (kisa kamzidi influence)

Kubwa kuliko yote ni hili...

... Chahali anaamini SSH ataleta maendeleo Tz

Afu cha ajabu huyu Chahali anajiita Jasusi, sijui ni jasusi yupi mjinga kiasi cha Chahali kwamba huwa hawezi kuona mambo until when it's too late

Na akiambiwa ukweli kama huu (ambao haupendi) anaBlock watu

SHAME
 
Umeita Habari zenye manufaa kwa nchi?

Sio kwa ubaya, ila naona wewe ni punguani

Yaani kipindi cha JPM Habari zilizokuwa zinarushwa huko TBC and the likes ni zile zenye manufaa kwa nchi?

Habari za kina nabii Titto zilikuwa zinarushwa kwenye utawala Gani?

Au zenye manufaa ni zile ambazo JPM alikuwa akifanisha barakoa na nyonyo?

Sema Kulikiwa na censorship ya kuhakikisha Habari za Upinzani hazipandi kwenye media
 
Tv na radio ni media zilizopitwa na wakati sana,natabiri kuwa ifikapo mwaka 2023 kila mtz atakuwa na access na spaces.
 
Yaani wewe ndiyo Una moyo mdogo tena wakike kabisaa!!!
Ukiguswa kidogo unakuwa kama jongoo moyo wako unakunja,wewe ni jasusi gani usiyeweza kuvumilia mawazo ya wengine mpaka unablock?
Acha roho ya kike hiyoooo
Kwani mkuu we uliwahi kuamini huyo jamaa Ni jasusi?
 
Kwani kuichukia serikali ni kosa? Unategemea familia za lisu azory na ben ziiipende serikali?
Huyu hana chuki na Serikali, ana chuki na Samia binafsi! Serikali kuchukiwa kawaida sana sababu huwezi kuridhisha watu wote ndani ya nchi yoyote
 
Hapa unatumika ule weledi wa kitanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…