Jasusi atakuwa kanyimwa Mic si bure.Umesoma na ukaelewa point yake au umejibu tu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jasusi atakuwa kanyimwa Mic si bure.Umesoma na ukaelewa point yake au umejibu tu??
Hakuna chuki hapo. Kaongea hali halisiKamugisha since umefufuka umekuwa msumbufu sana, nakumbuka uliaga humu kuwa una ugonjwa huwezi kupona! Umerudi kimya kimya bila hata kutoa mrejesho uliponaje! Now umejipa kazi ya kusambaza chuki dhidi ya Samia
Kwa utumbo huu ulioandika kile kitabu chako cha shushushu ninani nakitia moto.Tatizo lipo wapi? Kuna mtu ameshikiwa mtutu kwenda upande wowote? Mnapigania uhuru lakini mnataka uhuru uwe upande mmoja tu. Kama wao wanafanya mijadala yao na wanapata watu wachache, nyie mnaopata watu wengi (hadi kutoka KENYA😊) mnapata hofu ya nini? Serikali iache kuongea na wananchi kisa kwa kufanya hivyo inaingilia uhuru wa "wanaharakati"? 🙄
Umeghafilika hadi hujamuelewa mleta mada.Tatizo lipo wapi? Kuna mtu ameshikiwa mtutu kwenda upande wowote? Mnapigania uhuru lakini mnataka uhuru uwe upande mmoja tu. Kama wao wanafanya mijadala yao na wanapata watu wachache, nyie mnaopata watu wengi (hadi kutoka KENYA😊) mnapata hofu ya nini? Serikali iache kuongea na wananchi kisa kwa kufanya hivyo inaingilia uhuru wa "wanaharakati"? 🙄
Mada zake zote ni za chuki dhidi ya Serikali ya SamiaHakuna chuki hapo. Kaongea hali halisi
Kwani kuichukia serikali ni kosa? Unategemea familia za lisu azory na ben ziiipende serikali?Mada zake zote ni za chuki dhidi ya Serikali ya Samia
Unless uko biased. Hakuna chuki hapo.Mada zake zote ni za chuki dhidi ya Serikali ya Samia
Huu sasa ni uchawi..... by the way Samia Hana serikali, stop this nonsenseMada zake zote ni za chuki dhidi ya Serikali ya Samia
Kwakuwa hawana uhakika wa kushinda,labda lugha sahihi ni wakoloni weusi.Kwa nini hamtaki Uchaguzi uwe huru tupate mshindi halali?
Yaani wewe ndiyo Una moyo mdogo tena wakike kabisaa!!!Tatizo lipo wapi? Kuna mtu ameshikiwa mtutu kwenda upande wowote? Mnapigania uhuru lakini mnataka uhuru uwe upande mmoja tu. Kama wao wanafanya mijadala yao na wanapata watu wachache, nyie mnaopata watu wengi (hadi kutoka KENYA😊) mnapata hofu ya nini? Serikali iache kuongea na wananchi kisa kwa kufanya hivyo inaingilia uhuru wa "wanaharakati"? 🙄
There are so many ways in which you can kill a rat. so long you use your intelligence properly.Serikali na chama tawala wamedhibiti watu kusema na kujadiliana kwenye TV na Radio Kwa manufaa ya afya ya akili ya Watanzania. Wakafungia magazeti na baadhi ya online tv. Wakatunga sheria Kali na kuajiri TCRA wapambane na wakosoaji wa serikali.
Kwa kuwa wanaozuiwa kusema ni wale wenye akili timamu, wametafuta mbinu mpya ya kujadiliana bila kuvunja sheria ; wameanzisha club house, space na other online meetings. Kwa roho zetu mbaya tukaamua kuwazimia internet wakahamia kwenye VPN somehow expensive but walijua bure ni ghali. Baada ya mbinu zenu kukwama na tv kukosa mvuto mkanuna.
Kipindi mmenuna mkasikia Maria Sarungi space Ina host thousands of people world wide, mkasikia space ni zaidi ya mkutano wa siasa. Wapinzani na wanaharakati wakanunua Uhuru wao kwa mlango wa nyuma msioweza kudhibiti, wakaanza kuimarika na Sasa wameimarika mara dufu.
What's next, badala mdai Uhuru wa vyombo vya habari mkarudi kwao kuwaomba mjiunge nao. Mkawa observers lakini kwa kuwa mnakerwa na ububu mliojipa mkaamua liwalo na liwe Bora mfukuzwe chama lakini mseme. Sasa hivi mnang'ang'ania kupewa Mic na msipopewa mnalalamika space IPO biased. Kwa kuwa wanaondesha midahalo Wana hekima n wamesoma wakaeleimika wamekuwa wakiwapa mic na kuwafundisha hata namna ya kutumia technology mpya. Shukuruni.
Leo hii ambapo Kuna radio na Televishen nimeshtushwa kusikia hata miadala ya serikali kuhusu rasimali na see mbalimbali mmeipeleka space, zoom nk Je mnaona ubaya Gani kufungulia radio na Televishen I Hadi mkaongelee space ambapo Kuna kundi ya walioelimika TU? Mtawafikiaje wanyonge? Mmepeleka umeme wa REA then mkazima maoni, wanNchi wananufaikaje na habari?
Jaribuni kufikiri ni namna Gani mmekosa Uhuru wa Habari na kutoa maoni kwa makatazo yenu yasiyo n tija. Jiulizeni Kati yenu na wao Nani analoose? Wameanza kujirekodi na kusambaza kupitia WhatsApp so wananchi wanapata one side info ambazo nivigumu kwenu CCM na serikali kuzidisprove coz mijadaala kwenye TV mnakuwa wenyewe. Tafute
Saa mbili usiku kill siku badala ya kuangalia taarifa ya habari azam, huwa namwanglia Anerud kwenye Bondita.Hivi kuna mtu tena anapoteza kusikiliza ule utumbo wa matv na maredio??
Nilisema kitu fulani Twitter, nikapewa BlockTatizo lipo wapi? Kuna mtu ameshikiwa mtutu kwenda upande wowote? Mnapigania uhuru lakini mnataka uhuru uwe upande mmoja tu. Kama wao wanafanya mijadala yao na wanapata watu wachache, nyie mnaopata watu wengi (hadi kutoka KENYA[emoji4]) mnapata hofu ya nini? Serikali iache kuongea na wananchi kisa kwa kufanya hivyo inaingilia uhuru wa "wanaharakati"? [emoji849]
Umeita Habari zenye manufaa kwa nchi?niliwahi kufanya kazi kwenye media house moja kubwa nchini tz enzi za utawala wa magufuli.
aisee asikwambie mtu, kuna censorship ya hatari kudhibiti habari ambazo zina maslahi mapana kwa umma.
chief news editors wanakimbizana kufanya proofing ili kuhakikisha kila habari inayotoka haiendi kinyume na utawala.
Tv na radio ni media zilizopitwa na wakati sana,natabiri kuwa ifikapo mwaka 2023 kila mtz atakuwa na access na spaces.Serikali na chama tawala wamedhibiti watu kusema na kujadiliana kwenye TV na Radio Kwa manufaa ya afya ya akili ya Watanzania. Wakafungia magazeti na baadhi ya online tv. Wakatunga sheria Kali na kuajiri TCRA wapambane na wakosoaji wa serikali.
Kwa kuwa wanaozuiwa kusema ni wale wenye akili timamu, wametafuta mbinu mpya ya kujadiliana bila kuvunja sheria ; wameanzisha club house, space na other online meetings. Kwa roho zetu mbaya tukaamua kuwazimia internet wakahamia kwenye VPN somehow expensive but walijua bure ni ghali. Baada ya mbinu zenu kukwama na tv kukosa mvuto mkanuna.
Kipindi mmenuna mkasikia Maria Sarungi space Ina host thousands of people world wide, mkasikia space ni zaidi ya mkutano wa siasa. Wapinzani na wanaharakati wakanunua Uhuru wao kwa mlango wa nyuma msioweza kudhibiti, wakaanza kuimarika na Sasa wameimarika mara dufu.
What's next, badala mdai Uhuru wa vyombo vya habari mkarudi kwao kuwaomba mjiunge nao. Mkawa observers lakini kwa kuwa mnakerwa na ububu mliojipa mkaamua liwalo na liwe Bora mfukuzwe chama lakini mseme. Sasa hivi mnang'ang'ania kupewa Mic na msipopewa mnalalamika space IPO biased. Kwa kuwa wanaondesha midahalo Wana hekima n wamesoma wakaeleimika wamekuwa wakiwapa mic na kuwafundisha hata namna ya kutumia technology mpya. Shukuruni.
Leo hii ambapo Kuna radio na Televishen nimeshtushwa kusikia hata miadala ya serikali kuhusu rasimali na see mbalimbali mmeipeleka space, zoom nk Je mnaona ubaya Gani kufungulia radio na Televishen I Hadi mkaongelee space ambapo Kuna kundi ya walioelimika TU? Mtawafikiaje wanyonge? Mmepeleka umeme wa REA then mkazima maoni, wanNchi wananufaikaje na habari?
Jaribuni kufikiri ni namna Gani mmekosa Uhuru wa Habari na kutoa maoni kwa makatazo yenu yasiyo n tija. Jiulizeni Kati yenu na wao Nani analoose? Wameanza kujirekodi na kusambaza kupitia WhatsApp so wananchi wanapata one side info ambazo nivigumu kwenu CCM na serikali kuzidisprove coz mijadaala kwenye TV mnakuwa wenyewe. Tafute
Kwani mkuu we uliwahi kuamini huyo jamaa Ni jasusi?Yaani wewe ndiyo Una moyo mdogo tena wakike kabisaa!!!
Ukiguswa kidogo unakuwa kama jongoo moyo wako unakunja,wewe ni jasusi gani usiyeweza kuvumilia mawazo ya wengine mpaka unablock?
Acha roho ya kike hiyoooo
Huyu hana chuki na Serikali, ana chuki na Samia binafsi! Serikali kuchukiwa kawaida sana sababu huwezi kuridhisha watu wote ndani ya nchi yoyoteKwani kuichukia serikali ni kosa? Unategemea familia za lisu azory na ben ziiipende serikali?
Ana nini kama hana serikali?Huu sasa ni uchawi..... by the way Samia Hana serikali, stop this nonsense
Hapa unatumika ule weledi wa kitanzaniaSerikali na chama tawala wamedhibiti watu kusema na kujadiliana kwenye TV na Radio Kwa manufaa ya afya ya akili ya Watanzania. Wakafungia magazeti na baadhi ya online tv. Wakatunga sheria Kali na kuajiri TCRA wapambane na wakosoaji wa serikali.