Tanzania na Burundi wakwama kikao kingine cha EAC cha kujadili Corona

Temporary wakati mumewaharibia mji wao wa Nakonde kwa kujaza kirusi huko, yaani huo mji uliopakana na nyie ndio unaongoza Zambia kwa kirusi, jameni Wakenya wa Namanga wajifunze kwa hili maana wakizembea ndio wataongoza hapa Kenya....

Hapo ndipo mnakosea. Hafanyi kwa hisia, utaratibu wa wenzake upo tofauti na wake. Unaweza kwenda kwenye kipindi ambacho hakikuhusu kisa marafiki zako wameingia. Mind you mimi ni pro lockdown, tena proper lockdown siyo partial lockdown lakini huu ujirani wa kinafiki unaanza kunikera.
 
Temporary wakati mumewaharibia mji wao wa Nakonde kwa kujaza kirusi huko, yaani huo mji uliopakana na nyie ndio unaongoza Zambia kwa kirusi, jameni Wakenya wa Namanga wajifunze kwa hili maana wakizembea ndio wataongoza hapa Kenya....

Acha siasa sikiliza hii.

Feelings pelekea nyanya yako
 
Feelings pelekea nyanya yako
Hamna feelings hapo umeanza kutetepa. Nyie mtadanganya Waganda na Wanyarwanda tu. Sisi tunawafahamu mna kelele nyingi lakini kwenye ground vitu tofauti. Watu mnaoshabikia ukabila bila reasoning na kuvumilia wizi wa kupindukia toka kwa wanasiasa wenu hamna la kutufundisha sisi. Siku bwana Kagwe akirudisha pesa ya chai labda nitakusikiliza.
 
What they do not understand is that the virus is not just a respiratory disease, it affects the whole body. New studies from patients have shown that:-
i) The virus can cause blood clots in your circulatory system leading to strokes
ii) The virus can also rapture vessels in your toes causing red lesions what is now called covid toes.
iii) The virus also affects the central nervous system causing loss of taste and smell, dizziness and unconsciousness
iv) It might also be sexually transmitted after researchers found the virus in semen.
v) Tears can also transmit the virus, after the huge loads of the virus were found in tears of patients.
 
Feelings pelekea nyanya yako. Bringing unrelated issues to a discussion.
 
Anko mambo mengine ni ya usalama wa nchi So.. Tupotezee tuu Anko hatuwez kuwa fata upepo ka nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EAC is bullshit...sijawahi kuielewa hii community,inakuwaje kuna community hii halafu kwenye hiyo hiyo community kuna madikteta(wang'ang'ania madaraka) zaidi ya watatu????
Laiti mimi ndo ningekuwa jiwe hii community ingenishinda kitambo sama,
 
Hotuba zake zimejaa hasira sana akitukana watendaji na kusema wanafanya upuzi, mara anasema corona itakufa ikiingia kanisani, nashangaa sana kama hivyo ndivyo wataalam wa Tanzania humshauri.
 
This is scary...freaking scary....
 
"Feelings pelekea nyanya yako" hii ina relate na na discussion au siyo?
Apparently you are too slow to even realize when a person is sarcastically dismissing your unrelated arguments.
 
Hotuba zake zimejaa hasira sana akitukana watendaji na kusema wanafanya upuzi, mara anasema corona itakufa ikiingia kanisani, nashangaa sana kama hivyo ndivyo wataalam wa Tanzania humshauri.
πŸ˜‚πŸ˜‚

Hotuba zake zimejaa hasira sana akitukana watendaji na kusema wanafanya upuzi, mara anasema corona itakufa ikiingia kanisani, nashangaa sana kama hivyo ndivyo wataalam wa Tanzania humshauri.
Sijaelewa unataka azungumze jinsi Mkenya anavyotaka? Siyo siri hata sisi kuna vitu anaongea hatukubaliana naye lakini tuta deal naye ndani ya nchi yetu na jinsi tunavyojua sisi hatuhitaji jirani atuingilie. Mbona Uhuru anaongea kikuyu kwenye mkutano wa kitaifa huku akimnanga Deputy wake tena akiwa amelewa lakini sisi hatusemi? Tatizo ni dogo sana jifunzeni mipaka yenu ipo pale for a reason.
 
Azungumze mambo ya kitaalam sio Kikenya, corona itakufaje ikiingia kanisani, sote tungekua tunapanga mifoleni tukienda kupona humo kanisani, haingekua na haja ya mlozangila mnakokufia huko, nyote mngeenda makanisani na kupona hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…