mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 482
Wanaficha NINI? Na kupunguza aibu gani na kwa nani?Wanaficha tu hawa kupunguza aibu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaficha NINI? Na kupunguza aibu gani na kwa nani?Wanaficha tu hawa kupunguza aibu!
Kwani hicho nacho umeambiwa hakina mfadhiliMbona wameruka kipande Cha Makutupora Hadi Tabora na Tabora Hadi Isaka?
Kuna kitu tunafichwa hapa.Toka Makutupora mpaka Tabora. Na Tabora Isaka kampuni gani wanajenga?
Hapa tunazungumzia kukabidhiana kazi kwa WAKANDARASI walioshinda Zabuni ya ujenzi wa kipande husika, SIYO WAFADHILI. Huyo waziri wa China, kama Rais wetu Magufuli, wapo hapo kushuhudia zoezi hilo. Pesa za ujenzi ni ZETU! Sisi ndio tunawalipa hao Wakandarasi toka China walioshinda hiyo zabuni! Sijui somo limeeleweka?!Kwani hicho nacho umeambiwa hakina mfadhili
HAKUNA BEBERU MBAYA KAMA CHINA! ULIZENI KTK NCHI NYINGINE ZINAFANYWA NINI! TIME WILL TELLJamani leo wanakubali mabeberu halafu sisi ni matajiri
Hapa watakuwa wanalenga kuendeleza uchumi wa kanda ya ziwa mapema ...sasa huko makutupora-Tabora labda kama wanataka kubeba ubuyu.Mbona wameruka kipande Cha Makutupora Hadi Tabora na Tabora Hadi Isaka?
Kwani uongo?Mlikuwa kimya kwa muda mrefu kwa sababu hamna HOJA, sasa mmepata ISSUE basi mmeanza kusema. Msingoje MATUKIO ndiyo MSEME, bali ibueni HOJA za kiutu uzima tuzione. Wacheni sera ya kudandia ISSUES na kuzifanya za kusemea!
Sio muda watajenga na UCHato= University of ChatoNdio.
Tano tena
Kwa akili yako mgandoNaona hatimaye China imemlegeza sasa atakubali kunywa matapishi yake. Ujenzi wa Bagamoyo Port haukwepeki. Kwa mbali naona JK akipasuka mbavu.