Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kuidharau China kuwa ni tajiri uchwara sio hoja ya msingi. Utapeli wa taifa la China upo wapi? Unatakiwa China imrkuwa na msaada mkubwa sana kwa Tanzania usio na harufu ya kibeberu miaka nenda rudi.
China inawalea viongozi makatili wa Afrika, kwa sababu viongozi hao wanawapa miradi mingi, bila kuhoji ubora wa miradi hiyo. Hivyo hapo China inalindana na viongozi kwa kuwapa 10%, na wao kufaidika na fedha za wananchi kwa miradi substandard. Nenda kaangalie kwenye takwimu deni kubwa la nchi hii ni la mabeberu au wachina, na ni wapi wametoa misamaha zaidi?