Kuidharau China kuwa ni tajiri uchwara sio hoja ya msingi. Utapeli wa taifa la China upo wapi? Unatakiwa China imrkuwa na msaada mkubwa sana kwa Tanzania usio na harufu ya kibeberu miaka nenda rudi.
Hata kama uko nje ya mada, hoja yako ina mantiki.DED wa Geita alinunua gari la milioni 400.
Waziri wa Mambo ya nje wa China katoa msaada wa milioni 380.
Nipo nje ya maada
Mkuu nikipata urais nami nitajenga uwanja wa ndege kijijini kwetu 😁KUna uwanja wa Mpira unakuja. Mkubwa sana
Acha ujuha.DED wa Geita alinunua gari la milioni 400.
Waziri wa Mambo ya nje wa China katoa msaada wa milioni 380.
Nipo nje ya maada
Viongozi makatiri wa Afrika? Hapa Tanzania tuna kiongozi katili? Ten %? Kwenye miradi? Kwa hiyo hata ujenzi wa Sgr unaofanyika kuna 10%? Miradi sustandard?China inawalea viongozi makatili wa Afrika, kwa sababu viongozi hao wanawapa miradi mingi, bila kuhoji ubora wa miradi hiyo. Hivyo hapo China inalindana na viongozi kwa kuwapa 10%, na wao kufaidika na fedha za wananchi kwa miradi substandard. Nenda kaangalie kwenye takwimu deni kubwa la nchi hii ni la mabeberu au wachina, na ni wapi wametoa misamaha zaidi?
Unauliza au unapigia majibu mstari?Viongozi makatiri wa Afrika? Hapa Tanzania tuna kiongozi katili? Ten %? Kwenye miradi? Kwa hiyo hata ujenzi wa Sgr unaofanyika kuna 10%? Miradi sustandard?
Usishangae! Uulize ueleweshwe - na usikariri.Kumbe Waziri wa Mambo ya Nje wa hizi nchi Kubwa Kiuchumi na Kijeshi wakija nchi Masikini ( kama zetu ) Itifaki yetu nayo humtambua kama Rais!
Na akina polepole wanayo mengi sana huko CCMDED wa Geita alinunua gari la milioni 400.
Waziri wa Mambo ya nje wa China katoa msaada wa milioni 380.
Nipo nje ya maada
Chato ipo Tanzania.SGR inaelekea Chato?
Kama nilimsikia vizuri msemaji wa kampuni ya kichina iliyopewa ujenzi wa reli ya kutoka Mwanza kwenda Isaka, alizingumzia kuhusu vipande ulivyo taja hapo juu, kwamba wanaweza kusaidia katika ujenzi wa sections hizo wakitakiwa kufanya hivyo, vile vile nilimsikia Waziri wa miundo mbinu na ujenzi akigusia kwa mbali sections hizo tajwa na kutoa impression as if watapewa Wachina kuzimalizia itakapo bidi - I might be wrong lakini reading between the lines naona huko ndiko tutakapo elekea eventually ni suala la muda tu, Wachina hawakwepeki - binafsi hilo naona ni sawa tu tunacho taka ujenzi wa reli ukamilike kama ilivyo pangwa tangu mwanzo.Mbona wameruka kipande Cha Makutupora Hadi Tabora na Tabora Hadi Isaka?
Kweli, kamanda hana karama ya kupiga porojo, yeye ni kazi na vitendo kwa kwenda mbeleHana karama ya kuzungumza na umma kwa namna bora, ni mjivuni sana.
Mchina kwa reli tumepata mtu sahihi. Hivi vijamaa vinafanya maajabu ya ujenzi wa reli huko kwao utastaajabu.. Unakuta vinajenga reli inapita bonde la urefu wa ghorofa kadhaa inaibukia ndani ya mlima, unachanwa reli inapita inakwenda kupita juu ya mto/ziwa flani then inafika destination mji flani maelfu ya km kadhaa ndani ndani huko. Na hizi project hata hazichukui miaka mingi project imekabidhiwa..
Kama tumekuwa makini kwenye mikataba basi tusiwe na wasi upele umepata mkunaji.. Wanaweza
Hapa watakuwa wanalenga kuendeleza uchumi wa kanda ya ziwa mapema ...sasa huko makutupora-Tabora labda kama wanataka kubeba ubuyu.
Kwahiyo Treni itakuwa ikifika Dodoma inaruka mpaka mwanza!!???Huko hakuna wapandaji
Una uhakika alienda shule!!!????hiko=hicho
hivi huko shuleni mlienda kusomea UJINGA?
Jifunze kuelewa tofauti za shughuri, msiba siyo shughuri ya kikazi au kiserikali, Rais wa nchi nyingine anaweza akaja kutembelea mbuga za wanyama kimyakimya na akaondokea huko huko kimyakimya. Hivi tunakwamawapi kwenye kujua namna ya kupambanua mambo!Si kweli, waziri wa Mambo ya nje wa China amewahi kwenda Congo hakupokelewa na Rais
lakini pia hata Tanzania hivi juzi wakati wa msiba wa Mkapa kuna Marais walipokelewa na mawaziri