Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA(MWANZA-ISAKA)

Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka

Hiko ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni kutoka Morogoro hadi Makutupora

Kipande hiko cha tano kitajengwa na kampuni ya ujenzi ya China. Mkataba wake umetiwa saini mbele ya Rais Magufuli.
Isaka iko wapi mtoa mada?

Unatoa taarifa kienyeji sana!
 
Habari nzuri sana
Tupo tunaangalia ya leo
Hapa Kazi Tu 🎯
 
Back
Top Bottom