Tanzania na nchi za Afrika zilizojaa wakristo zina uhuru wa imani, Nchi za kiislam zinanyanyasa wakristo, Penye wakristo wengi pana amani ya imani

Tanzania na nchi za Afrika zilizojaa wakristo zina uhuru wa imani, Nchi za kiislam zinanyanyasa wakristo, Penye wakristo wengi pana amani ya imani

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya waislam huongezeka kwa kasi ya ajabu sababu imani zingine hupitia manyanyaso makali, vitisho mpaka mauaji (rejea Nchi nyingi za kiislam) hivyo hulazimika kubadili dini.

Nchi kama Ghana, Tanzania, Kenya, Zambia, Rwanda, Uganda, Zaimbabwe, Botswana, Namibia, n.k. zinasifika kwa amani na ukiangalia kitu kinachochangia zaidi ni kwamba nchi hizi ni secular counries zina sheria za usawa kwa dini zote. na hata ukienda nchi zenye vita ila kuna wakristo wengi kama Congo, bado kuna uhuru wa imani, waislam hawanyanyaswi.

Nchi ya Senegal imejaa waislam ila kuna amani, unajua kwanini ? asilimia 97% ni wasilam lakini wamekataa uislam kuingia kwenye siasa za nchi, hakuna ukandamizaji wa dini zingine, wakristo wanaabudu kwa uhuru, waislam wanasherekea nao christmas, wakristo wana uhuru wa kujenga makanisa, waislam wana uhuru wa kubadili dini kuwa wakristo, kwenye Ramadhan wakristo wanaweza kula hadharani, ni kawaida wakristo wanapewa vyeo, n.k. Nchi inaongozwa kwa sheria zinazojali imani tofauti.

Ukienda nchi kama Algeria, Misri, Nigeria, Somalia, Sudan, Eritrea, Libya, n.k. unakuta kuna waislam wengi tayari uislam unakuwa umeiingizwa kwenye mfumo wa siasa, kunakuwa hakuna uvumilvu wa imani zingine, nchi hizi wakristo hubaguliwa, hunyanyaswa, kuuliwa, n.k.

Hata hapo kwa majirani zetu Zanzibar japo tupo kwenye muungano wakristo hawana uhuru sababu serikali imeingiza siasa za kiislam, ikifika Ramadhan utalazimishwa kufuata sheria za kidini kwa kivuli cha utamaduni, kupewa kibali cha kujenga kanisa utapigwa chenga nyingi, makanisa yanabomolewa, n.k.
 
Ulipoitaja Zanzibar, nimekubaliana nawe kabisa. Aisee wale jamaa Wana Roho ya kwanini! Ni wabaguzi hakuna mfano.

Hiki kisiwa washukuru sana huu Muungano. Wangesha mwaga damu ya kutosha.
Kinachochochea zaidi udini Zanzibar ni kwamba Zanzibar imejaa waislam kwenye serikali, yani kuanzia mahakama, polisi, tamisemi, wizara, wakuu wa mikoa na wilaya, wakurugenzi mpaka ikulu, n.k. kumkuta mkristo ni nadra sana.

Ilibidi huu muungano utumike kupachika wakristo kwenye serikali yao, bila hivi hata Muungano hauna maana sababu wakristo wataendelea kubaguliwa sana huko Zanzibar.
 
Kinachochochea zaidi udini Zanzibar ni kwamba Zanzibar imejaa waislam kwenye serikali,

Ilibidi huu muungano utumike kupachika wakristo kwenye serikali yao, bila hivi hata Muungano hauna maana sababu wakristo wataendelea kubaguliwa sana
Mama Samia anajitahidi kuwaleta waislamu wengi ajira serikalini Tanzania bara Kwa kupitia Muungano anawaleta wengi sana apewe hata miaka 10 hao wanaojazana bara uzanzibari na utamaduni wa mzànzibari utakufa kifo Cha mende weyewe sababu wanaletwa bara kwenye wakristo wengi
Sio lazima wakristo wengi wapelekwe Zanzibar kule wengi waislamu inatakiwa waislamu wengi wa Zanzibar Waletwe bara hao ndio watakuwa chachu ya mabadiliko Zanzibar

Wakirudi kwao Mila na utamaduni wa mzànzibari havitakuwa na maana yoyote kwao
 
Tanzania kati ya Wakristo na Waislamu hakuna wakujidai kwamba wao ndiyo wengi kushinda wenzake,wakristo wamekuwa wakitengeneza mazingira ionekane Tanzania ni nchi ya Kikristo, mshindwe.
Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, sio nchi ya kidini, Ushindwe na ulegee !!
 
We wapwani bira shaka! Embu sogea mikoa mingine yaani utamaliza siku ujaona ijabu.
Nimeishi na kutembelea mikoa mbalimbali hakuna sehemu ina Wakristo tu au useme wapo wengi sana kuliko wengine,kweli idadi inapishana sehemu na sehemu lakini kwa ujumla huwezi kusema Wakristo ndiyo wengi kuliko Waislamu Tanzania hii.
 
Tanzania kati ya Wakristo na Waislamu hakuna wakujidai kwamba wao ndiyo wengi kushinda wenzake,wakristo wamekuwa wakitengeneza mazingira ionekane Tanzania ni nchi ya Kikristo, mshindwe.
Waislamu wako wengi mikoa ya pwani, pia kidogo kwenye makao makuu ya baadhi ya mikoa na wilaya. Sehemu zilizobakia 90% ni wakristo.



Tanzania haina dini.
 
Back
Top Bottom