Tanzania na nchi za Afrika zilizojaa wakristo zina uhuru wa imani, Nchi za kiislam zinanyanyasa wakristo, Penye wakristo wengi pana amani ya imani

Tanzania na nchi za Afrika zilizojaa wakristo zina uhuru wa imani, Nchi za kiislam zinanyanyasa wakristo, Penye wakristo wengi pana amani ya imani

Duh hv ndo mnadanganyana misikitini ili mkipewa vifu machinj makafir km Msumbiji ? Nenda mbagala daladala zinaweka mawaidha ya kiubaguzi yanajenga chuki za kidini na mawaidha hayo yamejaa uongo ili kuwajaza chuki waislam siku walitaka ichafua nchi inakuwa raia kuwatumia waislam , ulichoandika inawezekana umekata kwenye huo mfumo tyr
Kajifunze kuandika kwanza.
 
I am sure mimi ni mkristo mzuri kuliko wewe mtoa mada ila nashauri uzi kama hizi hazifai.

Hizi hazijengi zinabomoa kabisa!
Nyuzi zanmna hii hazifai kabisa kuugwa mkono kwakua zinajenga chuki na husda mioyoni mwawatu.
Maisha niupendo tuishi kwaupendo.
 
Back
Top Bottom