King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Mitano tena.Haya wale walikua wanasema watapandisha bei za internet yamekua, sasa kwa sh 2000 unapata mb 900 na 1000 unapata mb 420.
Hao ni Halotel kifurushi cha siku, wakati vile vifurushi pendwa vya usiku vimepigwa panga.
CCM mbele kwa mbele.
Hapo sawaHaya wale walikua wanasema watapandisha bei za internet yamekua, sasa kwa sh 2000 unapata mb 900 na 1000 unapata mb 420.
Hao ni Halotel kifurushi cha siku, wakati vile vifurushi pendwa vya usiku vimepigwa panga.
CCM mbele kwa mbele.
pakukimbilia kwa sasa hamna maana hawa wote wanafata agizo kutoka juu, Namba tunaisoma wananchiView attachment 1740133
Royal bando
View attachment 1740134
Mega bando kwa wiki
View attachment 1740136
Internet kwa wiki
Kwa mabadiliko haya ya vifurushi kwa nini Waziri Ndugulile asijiudhuru kwa kuudanganya Umma wa Watanzania. Tuliaminishwa kwamba vifurushi vitapatikana kwa gharama nafuu, imekuwa kinyume chake.
Kwa heri Halotel, niliwapenda lkn ndo basi tena. Na jana nimetoka kuwapigia chapuo kuwa mko vizuri, kumbe sikujua masaa machache yajayo ingekuwaje.
Baada ya kutoa yangu moyoni, tujuzane wapi pa kukimbilia kwa sasa.
TIGO NDIO OVYO KULIKO MITANDAO YOTE
Wao wenyewe wameona aibu had wakaamua kutupa dakika za kupiga mitandao yote ukinunua kifurushi cha internetHaya maisha unaweza kutukana ukaishia jela tu.
Halotel Elfu 5 nilikua napata GB7 kwa week sahivi napata GB 2.2 kwa week.
Nasema hivi, nikija kununua bando mimi FALA.
View attachment 1740156
Sio kuwa cost za uendeshaji ama walikuwa hawapat faida, sema mamlaka husika ndio imewataka wafanye hivyo ata wao wanajua madhara yake ila hawana namnaMimi nahisi labda tusiwalaumu sana maana hata wao wanapenda kupata faida na kama wangekuwa wanapata faida kubwa sana basi angetokea kampuni moja likashusha ili lipate wateja wengi zaidi ila ukiangalia kila kampuni vifurushi vyake ni kama vinafanana na mitandao mingine. So nahisi suala litakuwa kwenye cost za uendeshaji kwakuwa wengi wetu haya mambo ya teknolojia hatujui basi tunahisi tunaonewa. Busara ni kwamba angetokea mtu mmoja akatuambia kwanini vifurushi ni bei kubwa hivyo je wao inawacost nn hasa mpaka sisi tuwekewe hivi.
N.b ni sawa na mtu ambae hujui biashara ya ndege vizuri unaweza jiuliza kwanini wasipunguze bei ili wapate wateja wengi kumbe running cost yake ni kubwa so kwa kuwa hujui wewe unaona kama wanazengua
Twitter si bado imefungiwa watu wanalipia VPN ambayo serikali inapata 0% tax hela yote wanakula mabeberu. Haya makampuni ya simu ni ya mabeberu tunapandisha bei kuua wanyonge kutetea mabeberu. Halafu tuna sema serikali ya wanyonge, swali Wanyonge gani. Dunia nzima ina pendelea au kupromotematumizi ya internet sisi tuna discourage. Huko nyuma tulisifiwa sana kwa inclusion sijui tunakwenda wapiTutoe ma social network ibaki twiter na jamii forum basi
Vifurushi vinabadilishwa kesho na siyo leo.
Nina uhakika tigo watakula watu tigo!πππSisi wa Halotel tulia na maumivu, ninyi wa kesho subirini.
Issue ni speed ya internet chief.Weka halo pesa 3000 nunua GB3 dakika 30 na sms ngapi sijui, Halotel wana afadhari,achana na Vodacom hawafai hata kidogo