Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Sinunui bando na wengine wakigoma mapato yatashuka watajirudi.
 
Wacha kwanza nijifungie ndani nimporomoshee mbunge wetu wa kigamboni matusi yote ninayoyajua kwa upuuzi wake huu ili nipunguze hasira zangu halafu nitarudi.
 
Kweli kabisa,
 
Madaktari hao walikuwa wana deal sana kuchoma makalio ya watu sindano badala ya kutumia udaktari wao katika kufanya tiba sahihi kwa matatizo ya wa Tanzania
 
Kunawatu walisema n bora wakose damu ila sio bando, endeleeni kukomaa. Kwa mm ambae bando haina umuhimu mkubwa zaidi ya kuingia inster kucheki umbea nazan ukomo wangu wa kununua bando umefikia hapa

Freebasics atabaki kuwa mkombozi wangu, ntahabarika na kufurahia maisha hapa🤔🤔

Wanasiasa ni wapiga porojo tu, czan kama kutakuwa na mabadiriko ya aina yoyote zaiadi ya keleletu za kufarijiana
 
Yaani huyo Ndugulile sijajua akili yake inawaza nini najua hawezi kujiuzuru lakini awajibike kwa nafasi yake ameingiza wananchi kwenye tatizo kubwa sana
 
Hakuna aliyenipa utajiri.
Hivi mimi ninayetumia 30k kwa mwezi na hao wachambaji wa instagram wanaotumia buku 2 kwa siku × siku 30 nani anatumia pesa kubwa zaidi??
Stupidity of the highest order. Think twice... Do you real know daily use of internet in our lives. Make use of your brain if you have it!!!!!
 
Serikali kuna watu iliwaamini kuwa wanaweza kuwasaidia wananchi lakini thinking capacity yao inafikirisha sana au kwakua wao wananunuliwa kilia kitu?? Kumbuka hii nchi ni yetu sote msijifanye watu wachache kutupangia maisha..hili swala la vifurushi wapo watanzania wanaishi na kulea familia kwa kutumia internate..acheni kunyanyasa wananchi mliopewa dhamani kumbukeni huku nje kuna watu wazuri kuliko nyinyi
 
Hivi najiuliza haya mabadiliko yanahusu Wayonge wanaotetewa kila siku? Hapa nilipo nimesha unstall Youtube kupunguza gharama.... Inauma sana...
 
Banda ya kuua traditional business kwa kodi kubwa, wameamua kuzorotesha digital business kwa charge kubwa za internet.

Huu ni mpango mahususi kuhakikisha maskini wanaongezeka, ili hao viongozi wakipita tuwapigie magoti.

Wanyonge huwa tunamwachiaga Mungu, na hili tukimwachia Mungu enyi mnaokula na kuvimbiwa mtaanza kupata joto la motoni ili hali mpo duniani.

Mungu wetu ni mwenye nguvu, watu wamedhurika na tamaa zenu za kisiasa, mmefilisi watu kwa hila; tukimwachia Mungu. Naamini majibu mmepata.
 
[emoji3][emoji3] nimejipooza na free 7gb kwa siku 14 yani 500 kila siku ndani ya siku 14 airtel, simu ya 4g kama hujawahi kutumia hizi gb7 zao za bure nazani ni wakati wake nimeanza nanzo leo wakati nasubiri waziri husika asikie kilio cha wanyonge
Hizo nishatumia ila sidhani kama walifikisha hizo siku 14 halafu hata ujibane vp utasikia ghafla Mb 500 za siku zimeisha ilikuwa inabidi nitumie na halotel.
 
Mama Samia ikukupendeza, muondoe katika wizara aliyokabidhiwa na mtangulizi wako. Kama ulivyosema kwenye Kodi, kupanda kwa vifurushi kiwango hiki ni sawa na kuwabambikia watumiaji Kodi kubwa ambayo wanashindwa kuilipa na kuamua kufunga mawasiliano kwa kiasi Fulani.
Huyu Ndungulile hafai katika nafasi hiyo
 
Toka wamerekebisha virufushi Halotel yamekua yakiibia wananchi ukijiunga kifurushi cha Tsh 2000 ili upate MB 900 yanaiba yanakupa MB 400 tu ambayo ni sawa na Tshs 1000. Muda si mrefu natupa line yenu.
 
[emoji3][emoji3] nimejipooza na free 7gb kwa siku 14 yani 500 kila siku ndani ya siku 14 airtel, simu ya 4g kama hujawahi kutumia hizi gb7 zao za bure nazani ni wakati wake nimeanza nanzo leo wakati nasubiri waziri husika asikie kilio cha wanyonge
Unapataje hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…