Huyu waziri na naibu wake wamefeli,wametuangusha!kama kweli walishauriana wakaona iwe hivi hawatufai kabisa.
Mama yetu tunaekupenda kwa mioyo yetu tunaomba uangalie hili suala la vifurushi
Wengine kazi hatuna,unajipiga upate hata kabando kakupitishia siku huku mitandaoni au hata kucheki movie leo hii wanatupandishia kweli?
Tutatobozaje jamani?
Ee mheshimiwa mama yetu tusaidie kwa hili,upweke utatumaliza!