Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Vijana wafanye kazi, waache kushinda mitandaoni.
Wakati mwingine unahitaji kufikiri na kutanua mawazo. Hizo kazi katika ulimwengu wa leo zinafanyika kwa msaada wa internet.

Inatakiwa ufahamu kwamba sio kila mtanzania ni muuza duka au Mwalimu au Askari. Wengine kazi zetu twategemea internet. Wengine pia ni wanafunzi wa wanategemea hyo internet.

Kwa kupitisha gharama hizi ni kwamba wameshindwa kufikiria hari ya maisha ya watanzania. Yan wana assumption kwamba wanao nunua hizo bando ni taasis.

Huu ni uchafu na huyo mkurugenzi wa TCRA ntasikitika sana kama hatokuwepo kwenye fraying pan ya jumatatu ya Mh, sabab anamadud mengi.
 
Siyalaumu makampuni ya simu kupandisha bei
Wametumia busara kukuonesha MH raisi hali waliyonayo na ugumu wanaoupata kukupa Kodi
Hivo tumuombe rais Kama alivyosema wiki ijayo tupate muongozi sahihi juu ya Kodi za hawa wawekezaji
Wakipunguziwa Kodi naaamini na wao wataregeza
 
Ikiwezekana GB 1 inunuliwe kwa sh 10K, Ili mitandaoni tubaki watu tunaojielewa. Maana vijana waliacha kufanya kazi kabisa, kijana wa BAVICHA akimiliki itel alafu akaweka bundle la 1000,ilikuwa ni kero sana maana wanachojua ni matusi tu na kufatilia umbea mitandaoni.
"Elimu bila akili ni sawa na choo isiyo na mlango" wanasema. Pia wamesema "kero za jirani ajaye kuomba moto zisikuzuie kupika"
 
Mie naona viongozi wetu wanatuongoza kwa kudhani kuwa, wananchi wa sasa ni sawa na wa mwaka 1935. Na wanalazimisha iwe hivyo. Yaani hawapaswi kufahamu chochote kuhusu dunia tofauti na ndani mwake.

😂 😂 😂
 
CCM mbele kwa mbele au nasema uongo ndugu zangu!!!
Acha siasa za kijinga tunaiongelea TCRA hili sio swala la CCM. Ni ajabu sana kuona Mtanzania anyewaza kwamba kila lifanywalo na serikali eti ni chama tawala. Huu ni upuuzi CCM na vyama vingine wanaandaa watawala wakija uku sis tunataka utendaji.
 
Viongozi wataona la kufanya,maana tuliaminishwa kwa mkongo wa taifa ukifungwa mawasiliano kwa ujumla yatapungua!Hii nini sasa!?
 
Siyalaumu makampuni ya simu kupandisha bei
Wametumia busara kukuonesha MH raisi hali waliyonayo na ugumu wanaoupata kukupa Kodi
Hivo tumuombe rais Kama alivyosema wiki ijayo tupate muongozi sahihi juu ya Kodi za hawa wawekezaji
Wakipunguziwa Kodi naaamini na wao wataregeza
Fahamu kwamba Hizo gharama si za makampuni ya simu hii ni moderation ya TCRA. na wamewataka vendors wote wafanye hivyo baada ya kuwaita na kukaa nao nadhani ilikuwa February km sikosei. Haya madudu ni ya TCRA.
 
DAWA ya kupanda kwa VIFURUSHI ni kugomea internet kwa wiki moja
 
Acha siasa za kijinga tunaiongelea TCRA hili sio swala la CCM. Ni ajabu sana kuona Mtanzania anyewaza kwamba kila lifanywalo na serikali eti ni chama tawala. Huu ni upuuzi CCM na vyama vingine wanaandaa watawala wakija uku sis tunataka utendaji.
TCRA wanatunga sera au kupanga KODi? Hawa wanapokea tuu maelekezo na kutekeleza hata kama Ni ya hovyo.

Hapa wa kulaumiwa ni ccm, period
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ccm ndio ilivyo haina kwema la wananchi. Internet is necessary tool sio starehe. Lakini wao bado wanna finra mgando
 
  • Thanks
Reactions: PNC
[emoji1787]
IMG-20210402-WA0036.jpg
 
Tunaosoma vitu vingi kupitia YOUTUBE ni shida.
Tunaua maarifa tunaongeza ujinga kwa sababu ya siasa.
Wanasoma kupitia mtandao wataniunga mkono.
Bila kuelewa hili pia ni shambulio la kiuchumi!!!
Zipo faida nyingi kwenye mtandao kuliko hasara.
Kuna kusoma na kuelimika
Kuuza na kununua
Kuhabarisha na kuhabarika
Kuburudisha na kuburudika
Mengi yasiyosemeka
 
Back
Top Bottom