MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,813
Haya endelea kulalamika bei ya vifurushi.
Na Wewe kaendelee Kuusukuma Ukuta.
Haya endelea kulalamika bei ya vifurushi.
Love you too mkuuNow you are talking Mkuu..
Kumbe una personal grudges!
Sasa nimeelewa, ni zaidi ya nilichokoment hapa.
Thanks kwa kuwa wa kwanza kujiweka wazi.!
Mind you, I love you.
Good day Mkuu wangu!
Hii ndiyo maana yakuitwa wanyonge, hata ufurukute vipi!Kuna watu hawaelewi hili.
Nice to hear that.Love you too mkuu
Mi ni mtu peace Sana humu ndani land ka a hunijui mkuu wangu
Mtandao gani[emoji106]View attachment 1740178
Hivyo vidakika kiduchu maana'ake hata kuongea Ni shiiida.
CCM MBERE KWA MBEREEE🙄🙄🙄
Hahahaaa unashea ujinga kama huu babeki! DahAlaf unaambiwa unaweza kushare kifurushi na mtu mwingne. Hiv kwa vifurushi hvyo watu tutashea nin sasa?
Hii ni moja wapo ya kubana Uhuru wa habari! Turudi kwenye TBC ukweli na uhakika na wazee wa zee home!Leo tarehe 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao.
Wamepunguza vifurushi kwa kiasi kikubwa hasa vifurushi vya data, sitaweka hapa kifurushi kimoja baada ya kingine lkn kwenye mitandao yetu hilo lipo.
Nenda kwenye menu tu nadhani utakutana na upuuzi wote.
Nini nataka kusema?
Wakati dunia inakimbia kwa kasi kwenye technolojia sisi tunajirudisha nyuma tena kwa kasi kubwa na wala hapa siyalaumu haya makampuni ya simu kwani yenyewe yanapokea tu order toka Serikalini.
Kama wananchi wa kawaida kabisa tunaiomba Serikali iweze badilisha hiv vifurushi haraka sana maana wanachokifanya ni kurudisha juhudi za maendeleo ya kisayansi nyuma.
Na kwa vile tuna Serikali mpya nina hakika watashughulikia hili haraka sana na wala hawatasubiri hadi mwezi upite maana kilichofanyika ni zaidi ya upuuzi wa hali ya juu.
Kama Serikali itashindwa rekebisha hili basi tutajua hamna mpango na wananchi wa kawaida na mengi mnayoyaongea ni porojo tu
Naomba kuwasilisha.
SijaelewaKWANI HIZO RUDI NYUMA NA MENYU KUU NI GB NGAPI?
Duuh hatari!Leo tarehe 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao.
Wamepunguza vifurushi kwa kiasi kikubwa hasa vifurushi vya data, sitaweka hapa kifurushi kimoja baada ya kingine lkn kwenye mitandao yetu hilo lipo.
Nenda kwenye menu tu nadhani utakutana na upuuzi wote.
Nini nataka kusema?
Wakati dunia inakimbia kwa kasi kwenye technolojia sisi tunajirudisha nyuma tena kwa kasi kubwa na wala hapa siyalaumu haya makampuni ya simu kwani yenyewe yanapokea tu order toka Serikalini.
Kama wananchi wa kawaida kabisa tunaiomba Serikali iweze badilisha hiv vifurushi haraka sana maana wanachokifanya ni kurudisha juhudi za maendeleo ya kisayansi nyuma.
Na kwa vile tuna Serikali mpya nina hakika watashughulikia hili haraka sana na wala hawatasubiri hadi mwezi upite maana kilichofanyika ni zaidi ya upuuzi wa hali ya juu.
Kama Serikali itashindwa rekebisha hili basi tutajua hamna mpango na wananchi wa kawaida na mengi mnayoyaongea ni porojo tu
Naomba kuwasilisha.
😂😂😂Kuna grp fln nimejikuta ni admin[emoji23][emoji23][emoji23]wakati niliomba kuniunga wakanikatalia[emoji23][emoji23][emoji23]