Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Kunawatu walisema n bora wakose damu ila sio bando, endeleeni kukomaa. Kwa mm ambae bando haina umuhimu mkubwa zaidi ya kuingia inster kucheki umbea nazan ukomo wangu wa kununua bando umefikia hapa
Freebasics atabaki kuwa mkombozi wangu, ntahabarika na kufurahia maisha hapa🤔🤔
Wanasiasa ni wapiga porojo tu, czan kama kutakuwa na mabadiriko ya aina yoyote zaiadi ya keleletu za kufarijiana
Mkuu hapa tunazungumzia upande wa Mb tu ila hata Dakika za maongezi nako hawajaacha salama pia.
 
Toka wamerekebisha virufushi Halotel yamekua yakiibia wananchi ukijiunga kifurushi cha Tsh 2000 ili upate MB 900 yanaiba yanakupa MB 400 tu ambayo ni sawa na Tshs 1000. Muda si mrefu natupa line yenu.
Kile cha buku kwa wiki 1GB ilikuwa lazima baada ya siku tatu kiishe hakidumu zaidi ya hapo hata ujibane vp.
 
Hii kitu waiache kwa kampuni za mawasiliano zishindane zenyewe...

Hapo kabla tulikuwa vizuri tu. Kulikuwa na kasoro za hapa na pale, hizo ndizo zilizopaswa kurekebishwa..

Lakini kwa marekebisho haya ndiyo wameharibu na kuliongeza tatizo kuwa kubwa zaidi...
 
View attachment 1740133
Royal bando

View attachment 1740134
Mega bando kwa wiki

View attachment 1740136
Internet kwa wiki

Kwa mabadiliko haya ya vifurushi kwa nini Waziri Ndugulile asijiudhuru kwa kuudanganya Umma wa Watanzania. Tuliaminishwa kwamba vifurushi vitapatikana kwa gharama nafuu, imekuwa kinyume chake.

Kwa heri Halotel, niliwapenda lkn ndo basi tena. Na jana nimetoka kuwapigia chapuo kuwa mko vizuri, kumbe sikujua masaa machache yajayo ingekuwaje.

Baada ya kutoa yangu moyoni, tujuzane wapi pa kukimbilia kwa sasa.
It's a matter of time tu
 
Wananchi tuna haki ya kujulishwa na kupewa ufafanuzi sahihi kusudi tusijekuwa tunaibiwa.

Kazi mojawapo ya serikali ni pamoja na kulinda wananchi wake kwa namna nyingi, chakula, mipakani, usalama wa raia n.k

Ndungulile uje utujulishe kwa ufasaha itisha press conference mara moja utuambie !
 
Kodi gani ambayo inasemekana kuongezwa?

Kodi siyo sehemu ya gharama za mauzo (COGS) au uzalishaji kiasi cha kuweza kuathiri bei ya bidhaa au huduma,

Werevu watakubaliana nami kuwa Tax has nothing do with pricing of a commodity!
 
View attachment 1740133
Royal bando

View attachment 1740134
Mega bando kwa wiki

View attachment 1740136
Internet kwa wiki

Kwa mabadiliko haya ya vifurushi kwa nini Waziri Ndugulile asijiudhuru kwa kuudanganya Umma wa Watanzania. Tuliaminishwa kwamba vifurushi vitapatikana kwa gharama nafuu, imekuwa kinyume chake.

Kwa heri Halotel, niliwapenda lkn ndo basi tena. Na jana nimetoka kuwapigia chapuo kuwa mko vizuri, kumbe sikujua masaa machache yajayo ingekuwaje.

Baada ya kutoa yangu moyoni, tujuzane wapi pa kukimbilia kwa sasa.
Usitoke, tulia huko huko.
Ngoja nije huko angalau naona kuna unafuu.
 
Back
Top Bottom